Kesaboso
JF-Expert Member
- Apr 16, 2019
- 426
- 358
Membe akiitikia huo wito uchwara na mimi narudisha kadi ya ACT
Mbona hukuwadhalau A komu na kubenea walipoitwa, kuhibu tuhuma zao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Membe akiitikia huo wito uchwara na mimi narudisha kadi ya ACT
Hata kubishana na mimi na hujui nani kanituma ni kosa kubwa kisheriaKwani kosa la Membe ni lipi? Kumjibu musiba ndio kosa? Kwahiyo musiba alikuwa anamsema Membe kwaniaba ya Chama cha Mapinduzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa chama ndio kimerudi kwa wanachama kutoka kwa mafisadi!
CCM ni chama makini tofauti na Chadema ambao meya ametaka kutekwa wakawabembeleza watekaji!Ni kweli, wanatakiwa wabaki makondoo wa Magu tu.
Wananchi wanaipenda CCM hilo halina mjadala!Chama ndio rasmi kimegeuka kuwa cha kijeshi. Vyombo vya dola ndio vimebaki pumzi halisi ya ccm. Hata akina januari wanajua fika chama kinatamba sio kwakuwa kuna uwezo wa kushawishi, bali wanajua fika wananchi wanakihofia kwakuwa ukiwapinga unatekwa.
CCM ni chama makini tofauti na Chadema ambao meya ametaka kutekwa wakawabembeleza watekaji!
Wananchi wanaipenda CCM hilo halina mjadala!
Hawezi kusubiri genge la wahuni mpaka lipotezr nchi ndio agombee, mzalendo mzuri ana intervene at per.Membe papara zake zimemponza angetulia 2025 njia ilikuwa nyeupe kupitishwa na CCM urais
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulivyo kondoo wa DJ Mbowe!
alikwishastaafu siku nyingi huyo ni raia kama wengine habanwi na sheria yoyote ana haki ya kujihusisha na siasa za chama chochoteNdiye yeye. Ile sheria ya kuwataka wafanyakazi wa umma kutojihusisha na siasa ilikuwa kiini macho tu.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha!Sasa chama ndio kimerudi kwa wanachama kutoka kwa mafisadi!
Kama Dr Slaa wa ChademaNape na January wamekuwa 'foreigner' kwenye chama walichokipigania kwa jasho na damu.!
kweli kila zama na kitabu chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliomba msamaha?!
Kwa siku usipoitaja CHADEMA zaidi ya mara 100 unaweza kufa wewe!CCM siyo ukoo wa kambale kama Chadema....... Hao wameitwa kwa mujibu wa katiba ya CCM!