saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,673
- 7,811
Akili mgando tu za waafrikaHivi purpose huwa ni nini
Maana kila mkoa na wilaya huwa ina mfumo wa kiuongozi kuanzia wakuu na wakurugenzi hadi makatibu tarafa.
Kama eneo likiwa coordinated vizuri na kukawa na ushirikiano na wabunge wa maeneo husika. Shida inakuwa ni nini ?...
Maana kitu ambacho huwa sielewi, majimbo yanaongezeka Ila umaskini ni ule ule. Sasa hapo shida ni ukubwa wa maeneo ya kiuongozi au quality ya viongozi??....
Sisi tunaongozwa na wajinga haswaWaafrika tuna laana kubwa,
Vijitu vimaskini vya kutupwa. Ila vinataka matumizi ya hovyo ya fedha, kwanza ilibidi idadi ya wabunge ipungue how comes nchi maskini kama hii inawabunge hewa zaidi za 100 eti viti maalumu?
Watu wenye bongo sawasawa hawewez kua mpaka leo 2025 wanatumia katiba ya 1970's
Inategemea wanataka nini. Kuna maeneo kutokana na idadi ya watu kubwa na kuzidi kuongezeka ni ngumu kuyafikia na kusikiliza kero na mahitaji yao. Kulingana na population ya Mbeya mjini haiwezi ikawa inawakilishwa na mbunge mmoja wakati Rungwe ina wabunge wawili na sehemu kubwa ni pori na population yake ni ndogo.Nitamshangaa Rais Samia akikubali kugawa eneo lolote la nchi kiutawala, aendelee na msimamo wa mtangulizi wake JPM, Magufuli aliapa asingegawa eneo lolote na akafa na msimamo wake. Kitu muhimu ni kujenga miundo mbinu imara na ya kisasa. Jifunzeni kutoka madiwani wa jiji la Arusha na wa Manispaa ya Moshi wamekuwa wazalendo sana kukataa majimbo yao kugawanywa wapongezwe. Kuhudumia jimbo ni gharama kubwa sana, nchi hii bado ni maskini. Ukitakata kujua umaskini pitia barabara za kutoka Dodoma-Kongwa-Kiteto-kilindi-Handeni, Chukua barabara ya Kiteto-Simanjiro-Arusha, chukua barabara ya Karatu-Mbulu-Haydom-Nduguti-Ibaga-Sibiti-Meatu-Lalago-Kolandoto. Hiyo ni mifano michache, wananchi wa maeneo tajwa hawajui hata matunda ya uhuru wa nchi hii. Watu wa Mbeya walishasahau kuhusu barabara ya lami wao walipendelewa tangia enzi ya mwl. Nyerere. Mh. Rais jenga miundo mbinu ya barabara watu wengine bado wako Tanganyika kabla ya uhuru. Acha kutumikia maslahi binafsi ya wanasiasa, Spika anatakiwa aoneshe mfano kuonesha uzalendo kwa nchi yake. Bahati nzuri km unataka aendelee kuwa spika si lazima awe mbunge km anamhofia Sugu. Hata hivyo nchi hii hakuna mwenye hati miliki usiendeshe nchi kwa maslahi ya watu wachache. Achana na mpango wa kugawa majimbo. Jimbo la Sikonge ni kubwa kuliko baadhi ya mikoa sijasikia mpango wa kuigawa, hapo Mbeya kuna siasa ya hovyo usiwaendekeze
Naunga mkono hoja...Nitamshangaa Rais Samia akikubali kugawa eneo lolote la nchi kiutawala, aendelee na msimamo wa mtangulizi wake JPM, Magufuli aliapa asingegawa eneo lolote na akafa na msimamo wake. Kitu muhimu ni kujenga miundo mbinu imara na ya kisasa. Jifunzeni kutoka madiwani wa jiji la Arusha na wa Manispaa ya Moshi wamekuwa wazalendo sana kukataa majimbo yao kugawanywa wapongezwe. Kuhudumia jimbo ni gharama kubwa sana, nchi hii bado ni maskini. Ukitakata kujua umaskini pitia barabara za kutoka Dodoma-Kongwa-Kiteto-kilindi-Handeni, Chukua barabara ya Kiteto-Simanjiro-Arusha, chukua barabara ya Karatu-Mbulu-Haydom-Nduguti-Ibaga-Sibiti-Meatu-Lalago-Kolandoto. Hiyo ni mifano michache, wananchi wa maeneo tajwa hawajui hata matunda ya uhuru wa nchi hii. Watu wa Mbeya walishasahau kuhusu barabara ya lami wao walipendelewa tangia enzi ya mwl. Nyerere. Mh. Rais jenga miundo mbinu ya barabara watu wengine bado wako Tanganyika kabla ya uhuru. Acha kutumikia maslahi binafsi ya wanasiasa, Spika anatakiwa aoneshe mfano kuonesha uzalendo kwa nchi yake. Bahati nzuri km unataka aendelee kuwa spika si lazima awe mbunge km anamhofia Sugu. Hata hivyo nchi hii hakuna mwenye hati miliki usiendeshe nchi kwa maslahi ya watu wachache. Achana na mpango wa kugawa majimbo. Jimbo la Sikonge ni kubwa kuliko baadhi ya mikoa sijasikia mpango wa kuigawa, hapo Mbeya kuna siasa ya hovyo usiwaendekeze
Viti maalumu ni ujinga tuKwanza majimbo yapunguzwe ni mengi sn na viti maalumu vifutwe haraka
Hovyo kabisa vifutwe harakaViti maalumu ni ujinga tu
Naunga mkono hojaTundu Lisu naona alitoa pendekezo zuri. Uwakilishi upatikane kulingana na population iliyopo na si ukubwa wa eneo.
Hili swali halitajibiwa.Hivi purpose huwa ni nini
Maana kila mkoa na wilaya huwa ina mfumo wa kiuongozi kuanzia wakuu na wakurugenzi hadi makatibu tarafa.
Kama eneo likiwa coordinated vizuri na kukawa na ushirikiano na wabunge wa maeneo husika. Shida inakuwa ni nini ?...
Maana kitu ambacho huwa sielewi, majimbo yanaongezeka Ila umaskini ni ule ule. Sasa hapo shida ni ukubwa wa maeneo ya kiuongozi au quality ya viongozi??....
Naunga mkono hoja sioni umuhimu wake.Kwanza majimbo yapunguzwe ni mengi sn na viti maalumu vifutwe haraka
Kabisa, kuna maelfu ya viongozi wanafanya kazi kwa ngazi ya mtaa na hawa ndio wanakutana na wananchi na kuwahudumia directly lakini pia hawa ndio wanatoa taarifa kwa madiwani na wabunge...Hili swali halitajibiwa.
Kwa sababu tathimini yenye kuzingatia maslahi ya taifa,kubana matumizi ni mambo yasiyozingatiwa.
Kama umeme unapelekwa kila kijiiji,maji yanasogezwa karibu na wananchi na kila Kijiji kuna Mwenyekiti wa Kijiji(ambaye anawajua wananchi zaidi),kuongeza jimbo haina maana kama viongozi wa ngazi za chini hawapewi vitendea kazi na maslahi kuboresha utendaji na usimamizi.
Nitasahihishwa kama nitakuwa nimekosea.Waafrika tuna laana kubwa,
Vijitu vimaskini vya kutupwa. Ila vinataka matumizi ya hovyo ya fedha, kwanza ilibidi idadi ya wabunge ipungue how comes nchi maskini kama hii inawabunge hewa zaidi za 100 eti viti maalumu?
Watu wenye bongo sawasawa hawewez kua mpaka leo 2025 wanatumia katiba ya 1970's