Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Ni namna ya kulipana fadhila kwa UVCCMUpumbavu vyeo vya mchongo havina maana yeyote kutwa kuzungukia miradi wakati mkurugenzi yupo.
Ni namna ya kulipana fadhila kwa UVCCMUpumbavu vyeo vya mchongo havina maana yeyote kutwa kuzungukia miradi wakati mkurugenzi yupo.
Ni bunge kubwa halafu halina tija hata kidogoSidhani kama Mbunge husikiliza kero za mtu mmoja mmoja kama daktari anavyohudumia wagonjwa, bali huwa ni kero za jamii husika. Hivyo watu wawe 500K au 20K katika kata kama kero ni barabara Mbunge mmoja anatosha kuisemea na siyo lazima wawe wabunge wawili au zaidi ndiyo isikilizwe!
Kimsingi Bunge letu ni kubwa mno bila sababu linapaswa kupunguzwa na badala yake waongezwe wataalam (watumishi), vitendea kazi na fedha za kutosha kuhudumia wananchi.
Katika ujinga sijawahi kuuelewa ni kugawa/kuongeza maeneo ya kiutawala eti ili kusogeza huduma kwa wananchi!!Hivi purpose huwa ni nini
Maana kila mkoa na wilaya huwa ina mfumo wa kiuongozi kuanzia wakuu na wakurugenzi hadi makatibu tarafa.
Kama eneo likiwa coordinated vizuri na kukawa na ushirikiano na wabunge wa maeneo husika. Shida inakuwa ni nini ?...
Maana kitu ambacho huwa sielewi, majimbo yanaongezeka Ila umaskini ni ule ule. Sasa hapo shida ni ukubwa wa maeneo ya kiuongozi au quality ya viongozi??....
Inatakiwa iwe moja ya hoja za msingi ili ipitishwe kuondoa huo upumbavu. Bunge lina idadi kubwa ya wabunge ni mzigo kwa sisi wananchi.Ni namna ya kulipana fadhila kwa UVCCM
Tupige kelele haswa hawa wapumbavu wajue kuwa nchi ni yetu soteInatakiwa iwe moja ya hoja za msingi ili ipitishwe kuondoa huo upumbavu. Bunge lina idadi kubwa ya wabunge ni mzigo kwa sisi wananchi.