Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,423
- 29,012
Kwa nini mbunge anafanya kazi peke yake mkuu?..Inategemea wanataka nini. Kuna maeneo kutokana na idadi ya watu kubwa na kuzidi kuongezeka ni ngumu kuyafikia na kusikiliza kero na mahitaji yao. Kulingana na population ya Mbeya mjini haiwezi ikawa inawakilishwa na mbunge mmoja wakati Rungwe ina wabunge wawili na sehemu kubwa ni pori na population yake ni ndogo.
Tundu Lisu naona alitoa pendekezo zuri. Uwakilishi upatikane kulingana na population iliyopo na si ukubwa wa eneo.
Halafu fikiria, mbeya ambalo ni jiji lenye transit ya nchi kibao lakini pia lina shughuli za kutegemewa na nchi kama kilimo. Kwa nini tuwe na wabunge wawili ilhali linatakiwa kuwa ni eneo strategic ambalo serikali inatakiwa kuliangalia kwa potential yake kama ilivyo Dar Es salaam
Sasa kama Mbeya haitazamwi, hapo tatizo ni kukosa mbunge au Mbeya kutokuwekwa kama priority katika mipango ya nchi??...
Kingine kuna mbunge anaepigania Dar kupata flyovers, madaraja na hospital, the same way Dodoma inajengwa kwa sasa?...
Kama jibu sio, je kuongeza mbunge jijini Mbeya kutaleta yote haya kuliko kuishinikiza serikali kuiingiza Mbeya katika mipango yake mikubwa. Na hii haifanywi na mbunge pekee bali policy makers na wadau wa maendeleo kwa ujumla