Halmashauri ya jiji la Mbeya jifunzeni kutoka Halmashauri ya jiji la Arusha na Manispaa ya Moshi kukataa jimbo kugawanywa

Ni bunge kubwa halafu halina tija hata kidogo
 
Kwanini tunaendelea kuwa maskini, ni kwasababu tunatabia za kimaskini, tuna matumizi mabaya ya fedha.

Ushahidi ni ripoti za kila mwaka za Mkaguzi Mkuu wa Serikali(CAG)
 
Katika ujinga sijawahi kuuelewa ni kugawa/kuongeza maeneo ya kiutawala eti ili kusogeza huduma kwa wananchi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…