Hamas hawana shukran au hawana ufahamu, kifupi wako primitive

Conclusion?
Wee; unajadiliana na mtu anayetoa sentensi ya uongo ulio uchi?? Eti kila siku watu weusi wanauawa kama nzige!!!!!? Halafu Dunia ikakaa kumya. Never.
 
Conclusion?
Sisi kama jamii ya watu BLACK PEOPLE COMMUNITY tuungane tuwe kitu kimoja, tupendane sisi kwa sisi kwanza,tusichukiane,tusiuane na tuhakikishe tunakemea kitu chochote kibaya kinachoelekezwa kuja kwetu. Hao waarabu na wazungu watasalute tu na kushow respect to us hawatatuchukulia poa tena.
 
Mkuu; hiyo para ya kwanza hapo juu, dah! Umekuwa too negative. "Poozesha" au "Lainisha" hapo walau basi hata kidogo. Imekuwa Ni lugha kali sana yenye chuki kubwa. Tunahitajiana wote weusi kwa weupe n.k.
 
Nchi ya kiarabu kaitaja moja 1 Yemen peke yao Pelestina kila siku wanaitaja Africa Kusini kama ndugu zao wa dhati.

Wamewashukuru watu wate walikuwa wanawapambania.
Kwani walikuwa wanapigania nini hao Wapalestina hasa?
Wameshinda?
 
Hiyo ni Kujibagua/Ubaguzi. Itakuwa indirectly unamsaidia yule unayemdhania anakubagua i.e. Utakuwa umejibagua kwa hiari yako mwenyewe.
Lakini tambua kwamba mtizamo huo wako ni Hasi kwani hakuna hizo harakati za kuwabagua watu weusi kivile kiasi hicho ulivyo sema.
 
Kwani walikuwa wanapigania nini hao Wapalestina hasa?
Wameshinda?
Samahani; rekebisha (ikikupendeza): Wapalestina (Taifa)sio waliokuwa wanapigana bali ni kikundi cha HAMAS ndo walikuwa wanapigana dhidi ya IDF. Asante.
 


Mbona Hamas wameshukuru wote walio waunga mkono? wewe unasema Hamas ipi?
 
Naomba unioneshe sehemu yoyote niliyoandika neno "UBAGUZI" kinyume na hapo utakuwa unanilisha maneno tu mkuu na sio vizuri kumlisha mtu maneno ambayo hajayatamka wala kuyaandika.

Usitumie "HISIA" kwenye mijadala kama hii, tumia "UBONGO" zaidi.
 
Ndio maana Israel huwa anawapiga sana kwa sababu akili haisomi vizuri...
 
Kama wamefanya hivyo wamekosea sana, sana!
Vuguvugu la SA limechangia pakubwa maamuzi yaliyotolewa na ICC, kuna watu waliandamana UK, wanafunzi US.

Kuna makundi mengi sana ambayo kuyataja ni heshima na shukrani na zisingezidi dakika 3.

Hizo nchi za kiarabu wanafki wakubwa zaidi ya Iran, Yemen, Qatar na Lebanon waliwapambania wapi tunaofutilia hiyo vita tusione?

Next time watakosa wa kuwasemea maana vita yao haiishi ni imeenda half time tu.
 
Wapo sawa mungu wa PALESTINA na MUNGU wa south Africa ni tofauti na kwanini uwashobokee wa PALESTINA
 
Kwani walikuwa wanapigania nini hao Wapalestina hasa?
Wameshinda?
To be fair, siyo Wapalestina wote.

Hamas ndo wa kulaumiwa kuhusu hiki kilichotokea baada ya Oktoba 7.

Viongozi wa Hamas ni wapumbavu na ni majuha.

Hakuna cha maana walichokipata zaidi ya kuuliwa na kudhalilishwa. Wamefunuliwa mafuvu, wengine wamehasiwa kwa kulipuliwa makende, n.k.

Wamesababisha Wapalestina zaidi ya 40K kufa.

Wengine wamepata vilema vya maisha.

Kuna watoto ambao wamekuwa mayatima.

Gaza imevunjwa vunjwa. Hakuna cha maana kilichobaki pale.

Halafu bado kuna watu wanadai eti Hamas imeshinda!

In the end, anybody with half a brain would ask Hamas; was it worth the blood spilled and the [little] treasure spent?

Palestinians in Gaza should thoroughly reject Hamas going forward.
 
Usiwalaumu muda mchache mambo,mengi muhimu ulinzi wa taifa lao changa na kulinda usalama wake na raia.Muda wa kuwashukuru wote waliotoa michango yao bado upo mwingi.Huenda shukrani hizo ziksnifikia hata mimi.
 
Nani kakwambia vita imeisha?
Vita havitaisha baina ya Israel na Hamas hadi utimilifu wa dahari.
 
nchi gani ya Kiisllamu walisimama nao zaidi ya Iran....wanafiki tu hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…