Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Wee; unajadiliana na mtu anayetoa sentensi ya uongo ulio uchi?? Eti kila siku watu weusi wanauawa kama nzige!!!!!? Halafu Dunia ikakaa kumya. Never.Conclusion?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee; unajadiliana na mtu anayetoa sentensi ya uongo ulio uchi?? Eti kila siku watu weusi wanauawa kama nzige!!!!!? Halafu Dunia ikakaa kumya. Never.Conclusion?
Sisi kama jamii ya watu BLACK PEOPLE COMMUNITY tuungane tuwe kitu kimoja, tupendane sisi kwa sisi kwanza,tusichukiane,tusiuane na tuhakikishe tunakemea kitu chochote kibaya kinachoelekezwa kuja kwetu. Hao waarabu na wazungu watasalute tu na kushow respect to us hawatatuchukulia poa tena.Conclusion?
Mkuu; hiyo para ya kwanza hapo juu, dah! Umekuwa too negative. "Poozesha" au "Lainisha" hapo walau basi hata kidogo. Imekuwa Ni lugha kali sana yenye chuki kubwa. Tunahitajiana wote weusi kwa weupe n.k.Hakuna mzungu wala mwarabu anayetupenda sisi WATU WEUSI(WAAFRIKA) wote wanatuona sisi ni takataka tu. So if you are a black man you need to know that your close relative is your fellow black man.
Mimi ndugu yangu ni mweusi mwenzangu ninayeishi naye tanzania ambaye anaweza kunisaidia chumvi,kiberiti na hata jero nikiumwa nipate hata paracetamol ya kutuliza maumivu.
Sina undugu na mpalestina wala myahudi ila siachi kuwaombea AMANI NA UTULIVU waache VITA waache KUUWANA because after all WE ARE ALL HUMANS na ni jukumu la kila binadamu kuifanya DUNIA iwe sehemu salama ya kuishi.
Kwani walikuwa wanapigania nini hao Wapalestina hasa?Nchi ya kiarabu kaitaja moja 1 Yemen peke yao Pelestina kila siku wanaitaja Africa Kusini kama ndugu zao wa dhati.
Wamewashukuru watu wate walikuwa wanawapambania.
Hiyo ni Kujibagua/Ubaguzi. Itakuwa indirectly unamsaidia yule unayemdhania anakubagua i.e. Utakuwa umejibagua kwa hiari yako mwenyewe.Sisi kama jamii ya watu BLACK PEOPLE COMMUNITY tuungane tuwe kitu kimoja, tupendane sisi kwa sisi kwanza,tusichukiane,tusiuane na tuhakikishe tunakemea kitu chochote kibaya kinachoelekezwa kuja kwetu. Hao waarabu na wazungu watasalute tu na kushow respect to us hawatatuchukulia poa tena.
Samahani; rekebisha (ikikupendeza): Wapalestina (Taifa)sio waliokuwa wanapigana bali ni kikundi cha HAMAS ndo walikuwa wanapigana dhidi ya IDF. Asante.Kwani walikuwa wanapigania nini hao Wapalestina hasa?
Wameshinda?
Lakini aliyetendewa wema inampasa kutoa shukrani ili isomeke "Kushukuru ni kuomba tena"Tenda wema uendezako usingoje shukuran
Katika kitu kilichonikatisha tamaa ni kuona katika hotuba ya msemaji wa Hamas hakutaja nchi kama South Africa au Ireland ambao kwa nafasi kubwa wamepambana sana kwenye hii vita.
Zipo nchi za America kusini walifukuza hadi baloz wa Israel, kuna wananchi kibao wa nchi za magharib ambao hata si waislam waliwekwa hadi ndani, wengine walijiua kabisa kama yule mwanajeshi wa marekani.
Ni jambo la ajabu kuja kuwashukuru nchi za kiarabu na ulimwengu wa kiislam wakati kisha unashukuru wengine kwa ujumla.
Hata baada ya zaidi ya miez 15, bado hawajaweza kujua kua “it was not about islam/religion, rather the humanity, which was shown all over the world.”
To be honest, am disappointed to this but am happy the war is end.
Shukrani zimetolewa ndio nashangaa mtoa mada anasema uongoLakini aliyetendewa wema inampasa kutoa shukrani ili isomeke "Kushukuru ni kuomba tena"
Naomba unioneshe sehemu yoyote niliyoandika neno "UBAGUZI" kinyume na hapo utakuwa unanilisha maneno tu mkuu na sio vizuri kumlisha mtu maneno ambayo hajayatamka wala kuyaandika.Hiyo ni Kujibagua/Ubaguzi. Itakuwa indirectly unamsaidia yule unayemdhania anakubagua i.e. Utakuwa umejibagua kwa hiari yako mwenyewe.
Lakini tambua kwamba mtizamo huo wako ni Hasi kwani hakuna hizo harakati za kuwabagua watu weusi kivile kiasi hicho ulivyo sema.
Ndio maana Israel huwa anawapiga sana kwa sababu akili haisomi vizuri...Katika kitu kilichonikatisha tamaa ni kuona katika hotuba ya msemaji wa Hamas hakutaja nchi kama South Africa au Ireland ambao kwa nafasi kubwa wamepambana sana kwenye hii vita.
Zipo nchi za America kusini walifukuza hadi baloz wa Israel, kuna wananchi kibao wa nchi za magharib ambao hata si waislam waliwekwa hadi ndani, wengine walijiua kabisa kama yule mwanajeshi wa marekani.
Ni jambo la ajabu kuja kuwashukuru nchi za kiarabu na ulimwengu wa kiislam wakati kisha unashukuru wengine kwa ujumla.
Hata baada ya zaidi ya miez 15, bado hawajaweza kujua kua “it was not about islam/religion, rather the humanity, which was shown all over the world.”
To be honest, am disappointed to this but am happy the war is end.
Kama wamefanya hivyo wamekosea sana, sana!Katika kitu kilichonikatisha tamaa ni kuona katika hotuba ya msemaji wa Hamas hakutaja nchi kama South Africa au Ireland ambao kwa nafasi kubwa wamepambana sana kwenye hii vita.
Zipo nchi za America kusini walifukuza hadi baloz wa Israel, kuna wananchi kibao wa nchi za magharib ambao hata si waislam waliwekwa hadi ndani, wengine walijiua kabisa kama yule mwanajeshi wa marekani.
Ni jambo la ajabu kuja kuwashukuru nchi za kiarabu na ulimwengu wa kiislam wakati kisha unashukuru wengine kwa ujumla.
Hata baada ya zaidi ya miez 15, bado hawajaweza kujua kua “it was not about islam/religion, rather the humanity, which was shown all over the world.”
To be honest, am disappointed to this but am happy the war is end.
Wapo sawa mungu wa PALESTINA na MUNGU wa south Africa ni tofauti na kwanini uwashobokee wa PALESTINAKatika kitu kilichonikatisha tamaa ni kuona katika hotuba ya msemaji wa Hamas hakutaja nchi kama South Africa au Ireland ambao kwa nafasi kubwa wamepambana sana kwenye hii vita.
Zipo nchi za America kusini walifukuza hadi baloz wa Israel, kuna wananchi kibao wa nchi za magharib ambao hata si waislam waliwekwa hadi ndani, wengine walijiua kabisa kama yule mwanajeshi wa marekani.
Ni jambo la ajabu kuja kuwashukuru nchi za kiarabu na ulimwengu wa kiislam wakati kisha unashukuru wengine kwa ujumla.
Hata baada ya zaidi ya miez 15, bado hawajaweza kujua kua “it was not about islam/religion, rather the humanity, which was shown all over the world.”
To be honest, am disappointed to this but am happy the war is end.
To be fair, siyo Wapalestina wote.Kwani walikuwa wanapigania nini hao Wapalestina hasa?
Wameshinda?
Usiwalaumu muda mchache mambo,mengi muhimu ulinzi wa taifa lao changa na kulinda usalama wake na raia.Muda wa kuwashukuru wote waliotoa michango yao bado upo mwingi.Huenda shukrani hizo ziksnifikia hata mimi.Katika kitu kilichonikatisha tamaa ni kuona katika hotuba ya msemaji wa Hamas hakutaja nchi kama South Africa au Ireland ambao kwa nafasi kubwa wamepambana sana kwenye hii vita.
Zipo nchi za America kusini walifukuza hadi baloz wa Israel, kuna wananchi kibao wa nchi za magharib ambao hata si waislam waliwekwa hadi ndani, wengine walijiua kabisa kama yule mwanajeshi wa marekani.
Ni jambo la ajabu kuja kuwashukuru nchi za kiarabu na ulimwengu wa kiislam wakati kisha unashukuru wengine kwa ujumla.
Hata baada ya zaidi ya miez 15, bado hawajaweza kujua kua “it was not about islam/religion, rather the humanity, which was shown all over the world.”
To be honest, am disappointed to this but am happy the war is end.
Nani kakwambia vita imeisha?Katika kitu kilichonikatisha tamaa ni kuona katika hotuba ya msemaji wa Hamas hakutaja nchi kama South Africa au Ireland ambao kwa nafasi kubwa wamepambana sana kwenye hii vita.