Siku chache zilizopita Israel imelipua ghala kuu la silaha wanazotumia Hezbollah kushambulia miji ya Israel, Ghala limejengwa kati kati ya mji wenye makazi ya watu wengine, Israel iliposhambulio kuna makombora yalianza kufyatuka bila mpangilio, Watu kadhaa wamefariki lakini hii imefichwa sababu kuna video zilionyesha tukio hilo, vinginevyo kama kawaida angesingiziwa Israel.
Na leo tena (mpaka sasa) Hezbollah imefyatua makombora 150 (walipanga kufyatua elf 6), Jeshi la anga la Israel limetuma ndege za kivita 100 kushambulia maeneo yenye mizinga na drones za kivita, Huwezi amini maeneo hayo ni sehemu zenye makazi, Zoezi linakuwa gumu kwa jeshi la Israel sababu inabidi waige hesabu nyingi za kujua namna ya kulipua ili kupunguza maafa ya raia, baadhi ya maeneo inabidi Israel iyaache ikiwa maafa yatakuwa ni makubwa sana.
Ni wazi Hamas na Hezbollah mtaji wao ni kurekodi video za watu wanaoumia na kufa kwa mitego yao ya kuwatumia kama ngao na kutupa lawama zote kwa Israel, Imagine mtu anaweka mzinga pale Kariakoo anaanza kufyatua makombora 100 kuelekea bagamoyo, jeshi la bagamoyo likirusha kombora moja tu kuharibu mzinga ni lazima kutakuwa na maafa kwa watu wengine,