Hamas: Israel watajuta kuvamia Rafah

Ukishawasikia wanatoa vitisho lukuki lakini ikawa katika matishio hayo wanataja
watoto, wanawake na wazee na kuziomba jumuiya za kimataifa zisiwaondoe watumishi wao; ujue hapo ni maji ya shingo - Jamaa wanaomba poo kijanja.
 
Magaidi HAMAS kwa sasa naamini wanajilaumu sana kwa kitendo chao cha kukurupuka na kumvamia Mwamba walichofanya October 2023. Kiapo cha Myahudi kinatimilizika.
 
Kwa kweli hali yao (HAMAS)kwa sasa ni ngumu mno.Wamefikishwa kwenye kona na kilichobaki ni sala ya mwisho.........kwani Myahudi hana masihara. Atawamaliza. Dah!
 
Hujui unachokisema Kaskazini wapi ambako hamna Hamas?
Mkuu hauendi na updates za vita hii'nini?

Mwenzako yupo sahihi, hao raia millioni 1.5 ni pamoja na wakimbizi kutoka upande wa kaskazini ilipoanzia ground attack.

Huko nako walianza kwa kutangaziwa hivi hivi kuhama kwa ma loud speaker, tena wakaelekezwa na pa kwenda kabisa ndiyo huko Arafah.

Wote waliokaidi na kukomaza mafuvu walichinjwa.

Israel haivamii kisiri, inaanza kwanza kutangazia raia kuondoka kisha ndiyo inavamia na kukalia maeneo, wanaokutwa hawajaondoka, jamaa wanahesabu ni halali yao.

Kusema watakwenda wapi, adui haulizwi aina hiyo ya swali, maana majibuya mahali pa kwenda huwa wanayapata bila kufundishwa.
 
Sijui hawa Magaidi huwa wanakuwaje - Wanajua kitakachowapata lakini bado wameghairi au wamesusa kuhudhuria majadiliano.
 
Exactly.
Israel always yupo smart. Haji kwa kuvizia. Anakutaarifu na anakupa muda wa kuondoka. Sasa kwa wale wakaidi wajue "Mwana mkaidi hafaidi mpaka siku ya Iddi" Iddi yao itakuwa ni siku IDF watakapotia nanga hapo Rafah.
 
wamechoka kuwa ngao ya kuyakinga magaidi ya hamas huku viongoz wa hamas wakila halua na tende na kunenepeana baada ya kula mapesa ya wafadhili.
Yeah. Halafu wengie wameshtuka kuhusu ahadi ya mabikra 72 na mito ya pombe - mbona wakubwa/Viongozi wa HAMAS ni kama hawachuchumalii kupata hao mabikra na mito ya pombe kama kweli vipo?
 
Hakuna kitu Israel ataenda kukipata Rafah ambacho atajivunia ni ushindi dhidi ya Hamas zaidi ya kufanya mauwaji ya kimbali ya raia na kupata aibu kuu
 
Hakuna kitu Israel ataenda kukipata Rafah ambacho atajivunia ni ushindi dhidi ya Hamas zaidi ya kufanya mauwaji ya kimbali ya raia na kupata aibu kuu
Mhhhhu! Kama hakuna kitu mbona sasa Magaidi hao wanahaha? Israeli anajua anachokwenda kufanya hapo - we subiri uone. Hakuna cha mauaji ya kimbari hapo unless useme wewe hujui maana ya mauaji ya kimbari. Hapo ni Myahudi anamfunza adabu HAMAS na kuwaTiisha wale vichwa ngumu watakaokaidi kuondoka kama walivyo amriwa na IDF ili kupisha kichapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…