Hamas: Israel watajuta kuvamia Rafah

Hamas: Israel watajuta kuvamia Rafah

Rafah siyo pikiniki.
Al-Quds Brigades operations on 14th of May:

TLDR:
  • Sniped Israeli officer: 1
  • Confirmed eliminated Israeli infantry soldiers: 5
Partially or completely destroyed:
  • Tanks: 2
  • D9 bulldozers: 1
Captured:
- Drones: 1 Evo Max
Total:
  • 6 soldiers and officers eliminated
  • 14 soldiers and officers wounded.

⚡️Al-Quds Brigades:
At 10:15 AM: Our Mujahideen managed to lure a large special force into a well-planned and complex ambush on Gold Market Street, eliminating them at point-blank range with suitable weapons, highly explosive IEDs, and TBG shells.

⚡️Al-Quds Brigades:
Our Mujahideen successfully detonated a "Barq" device on a D9 bulldozer at 3 AM in the Abu Zetoun area of Jabalia Camp, north of the Gaza Strip.

⚡️ Al-Quds Brigades:
At exactly 11:00 AM, our Mujahideen successfully sniped a Zionist soldier fortified in one of the buildings behind Abu Zaytoun schools in Jabalia Camp, north of the Gaza Strip

⚡️ Al-Quds Brigades:
At 1:30 PM: We launched a rocket barrage towards Sderot in response to the Zionist enemy's crimes against our people.

⚡️ Al-Quds Brigades:
We targeted a fortified Zionist force inside a residential apartment on Abu Al-Aish Street in Jabalia Camp with anti-personnel “Barq” grenades

⚡️ Al-Quds Brigades:
We captured a Zionist "Evo Max" drone over East Khan Yunis.

⚡️Al-Quds Brigades:
At exactly 2:00 PM, our Mujahideen successfully detonated a “Barq” device on a Merkava Tank in the Abu Zaytoun area of Jabalia Camp, north of the Gaza Strip

⚡️ Al-Quds Brigades:
Our Mujahideen successfully targeted a Merkava Tank with a tandem charge behind Block 2, east of Jabalia Camp

#Video: Al-Quds Sniper sniping an Israeli officer from the engineering unit east of Gaza City.

Note: Al-Quds Brigades have shelled Israeli forces in the following locations with heavy mortar shells:

  • Rafah Crossing
  • Al-Salam Neighborhood, eastern Rafah
  • Abu Al-Aish Street, Jabalia
  • Jabalia Refugee Camp
  • Block 2, Jabalia
  • The Eastern Cemetery, east of Rafah.
 
Mhhhhu! Kama hakuna kitu mbona sasa Magaidi hao wanahaha? Israeli anajua anachokwenda kufanya hapo - we subiri uone. Hakuna cha mauaji ya kimbari hapo unless useme wewe hujui maana ya mauaji ya kimbari. Hapo ni Myahudi anamfunza adabu HAMAS na kuwaTiisha wale vichwa ngumu watakaokaidi kuondoka kama walivyo amriwa na IDF ili kupisha kichapo.
⚡️ Meja Jenerali (res.) Yitzhak Brick
wa jeshi la Israel:
"Kuendeleza vita kunaweza kusababisha kuporomoka kwa jeshi la akiba na uchumi."

View: https://x.com/warfareanalysis/status/1790630624270971104?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
⚡️ Vikosi vya Al-Aqsa:

Baada ya kurejea kutoka mstari wa mbele, Mujahidina wetu walithibitisha kuwa walifanikiwa kuteka kikosi cha askari wa miguu cha Kizayuni chenye askari 8 kwenye shambulio la kuvizia. Kisha, Mujahidina wetu wakawashughulisha na silaha za kiotomatiki mahali pasipo tupu, na kusababisha askari wote 8 kuanguka ama wakiwa wamekufa au kujeruhiwa vibaya wakati wa mapigano kwenye Mtaa wa Abu Al-Aish katika Kambi ya Jabalia, kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.

View: https://x.com/warfareanalysis/status/1790498191240266028?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

BADO SANA. BADO HUJASEMA DOGO.
 
  • Kicheko
Reactions: 511
⚡️ Meja Jenerali (res.) Yitzhak Brick
wa jeshi la Israel:
"Kuendeleza vita kunaweza kusababisha kuporomoka kwa jeshi la akiba na uchumi."

View: https://x.com/warfareanalysis/status/1790630624270971104?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hilo liko wazi. Hakuna vita iliyo njema hata siku moja. Kila mhusika katika vita hiyo anayo gharama atalipia - Sio Israel wala HAMAS wate wanapata hasara. Na hakuna mtu mwenye akili timamu anapenda vita ila inakuwa wakati mwingine hakuna jinsi; basi tuu.
Huyo meja jenerali amesema kwa usahihi kabisa.
 
Wanakumbi.

🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH

Taarifa Rasmi ya Hamas:

"Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi wapatao milioni moja na nusu na watu waliokimbia makazi yao, na onyo lake kwa watu kuondoka maeneo ya mashariki mwa mji huo. mashambulizi ya mara kwa mara ya anga na mizinga, ambayo yaliacha mauaji ya raia wasio na hatia, jinai ambayo inathibitisha sisitizo la serikali ya gaidi Netanyahu ya kuendeleza vita vya maangamizi.

Dhidi ya watu wetu.

Operesheni yoyote ya kijeshi huko Rafah, haitakuwa picnic kwa jeshi la uvamizi la fashisti, na upinzani wetu shupavu, unaoongozwa na Brigedi za Qassam, umejitayarisha kikamilifu kuwalinda watu wetu, kumshinda adui huyu, kuharibu mipango yake, na kuzuia malengo yake.

Tunatoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua za haraka kukomesha uhalifu huo unaotishia maisha ya mamia kwa maelfu ya raia wasio na ulinzi wakiwemo watoto, wanawake na wazee.

Pia tunatoa wito kwa mashirika na mashirika ya kibinadamu, yanayoongozwa na UNRWA, kubaki katika maeneo yao katika mji wa Rafah na kutouacha, au kutii matakwa ya uvamizi wa kifashisti."

Chanzo: Hamas Rasmi tg

View: https://x.com/marionawfal/status/1787454652931264898?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hilo limetimia.

Kichapo wanachochezeaa mazayuni, ndani ya Rafah na viunga vyake, ingekuwa haijarekodiwa hakuna ambae angeamini.

Jionee mazayuni wanavyoumizwa na kujuta kuivamia Rafah:

Kesho asubuhi ni msiba mzito ndani ya nchi ya mchongo ya Israel. Hamas hawana show mbovu zaidi ya panya 40 wa IDF wametangulizwa kwa baba majeruhi wengi hospitali zimeelemewa na majeruhi . Leo ni siku nzito ndani ya taifa la mchongo Israeli. Waliambiwa watoto wa IDF wali nazi wasiingie anga za Hamas hawakusikia wamekutwa na balaa.
 
Wana waomba unrwa na raia wasiondoke ili wawatumie kama ngao. Kaskazin tayar ishakua eneo la israel bado rafa ili gaza yote iwe israel.
Jeshi la israel kazi yao kutoa taarifa tu. Sasa nyie bakini rafa muwasikilize Hamas. Netanyahu kama putin tu akitaka lake hasikii mtu.

Nilisikia makafiri wa kiethiopia waliuawa na hamas, ulisikia hiyo! Basi na wewe jipeleke ukawasaidie ndugu zako mayahudi kama utatoka salama

Hasbunallah wani'mal wakeel
 
Kesho asubuhi ni msiba mzito ndani ya nchi ya mchongo ya Israel. Hamas hawana show mbovu zaidi ya panya 40 wa IDF wametangulizwa kwa baba majeruhi wengi hospitali zimeelemewa na majeruhi . Leo ni siku nzito ndani ya taifa la mchongo Israeli. Waliambiwa watoto wa IDF wali nazi wasiingie anga za Hamas hawakusikia wamekutwa na balaa.

Na watakufa makafiri hao waliolaaniwa

Hasbunallah wani'mal wakeel
 
Israel hawezi kuwamaliza Hamas Gaza maana Hamas wana support ya karibu Palestinians wote ndani ya Gaza. Wanaamini Hamas ndo anaweza kuwakomboa dhidi ya unyanyasaji wanaofanyiwa na IDF ya Netanyahu.

Mipango ya Netanyahu kuitawala Gaza baada ya vita haitawezekana itakuwa ni confrontations za kila siku. Mfano ni US ndani ya Afghanistan ambako pamoja na nguvu za kijeshi alizonazo US kwa kukosa support ya Afghans imesababisha US kuondoka baada ya miaka 20 ya ngumi na kuwaachia nchi Taleban.

Ila pia unaweza kuona wakati Israel akiamini amewamaliza Hamas Northern Gaza na kuhamishia operation Rafah kashtuka Hamas wameji mobilize na kujaa tena Northern Gaza.

Kiufupi Israel hawatoishi kwa amani kama Palestina haiko huru. Ni mpaka wahafidhina wa kiyahudi watakapo gundua kwamba chanzo cha migogoro ni wao kuikalia ardhi ya Palestina na sio mashambulizi ya kushtukiza ya Hamas ndipo watakapo pata amani.
 
Nilisikia makafiri wa kiethiopia waliuawa na hamas, ulisikia hiyo! Basi na wewe jipeleke ukawasaidie ndugu zako mayahudi kama utatoka salama

Hasbunallah wani'mal wakeel
Wayahud hawahitaji msaada wangu. Labda hamas ndo wanahitaji msaada.
 
Kesho asubuhi ni msiba mzito ndani ya nchi ya mchongo ya Israel. Hamas hawana show mbovu zaidi ya panya 40 wa IDF wametangulizwa kwa baba majeruhi wengi hospitali zimeelemewa na majeruhi . Leo ni siku nzito ndani ya taifa la mchongo Israeli. Waliambiwa watoto wa IDF wali nazi wasiingie anga za Hamas hawakusikia wamekutwa na balaa.
Uwezi kushinda vita kwa kurusha mabomu hovyo na kubomoa nyumba huo ni uoga ingia chini upigane vita vya ardhini IDF wanajua Hamas ni nani wakigusa ardhi tu ni msiba angalia hii video wanajinyea tu 😀

View: https://x.com/nadira_ali12/status/1790672090871550377?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wayahud hawahitaji msaada wangu. Labda hamas ndo wanahitaji msaada.

Wayahudi na silaha zao, na teknolojia yao ila wameshindwa kupambana na Hamas, kazi kuuwa watoto, wamama, wazee na kuomba msaada nchi za magharibi zije kusaidia kuuwa innocent people, hiyo ni akili kweli!!
 
Netanyahu kachanganyikiwa anasema anaenda Rafah watarudi na mateka 😃
 
Netanyahu kachanganyikiwa anasema anaenda Rafah watarudi na mateka 😃
Hilo haliwezekani, kupsmbana na hamas hawezi, anachoweza yeye ni kuuwa watoto, na hilo kafanikiwa. So Huyo atakufa kifo cha kidhalili sheikh, laana ya Allah iwe juu yake kafiri huyo
 
Hilo haliwezekani, kupsmbana na hamas hawezi, anachoweza yeye ni kuuwa watoto, na hilo kafanikiwa. So Huyo atakufa kifo cha kidhalili sheikh, laana ya Allah iwe juu yake kafiri huyo
MKUU: Al-Qassam (Hamas)

Wapiganaji walifanikiwa kuwavizia askari 15 wa IOF na kuwamaliza, baada ya kulenga nyumba yenye ngome iliyokuwa na idadi kubwa ya askari wanaotumia mgodi wa kupambana na wafanyakazi uitwao "Ra'diya."

Kisha wapiganaji hao walivamia nyumba hiyo na kuwakabili askari waliosalia kwenye eneo lisilo na kitu wakiwa na bunduki nyepesi na mabomu ya kutupa kwa mkono katika kitongoji cha Al-Tannur mashariki mwa Rafah.

View: https://x.com/aryjeay/status/1791734060542312850?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom