HAMAS itaachia mateka 15 kama Israel ikikubali kusitisha mapigo kwa muda

HAMAS itaachia mateka 15 kama Israel ikikubali kusitisha mapigo kwa muda

Wewe huwa una habari za kufikilika sana,ni wewe ulikuwa unasema IDF waoga hawawezi kutia mguu Gaza,alivyoingia ukapindua maneno kwamba wapo pembezoni huko na wanapigika.Hali inazidi kuwa mbaya HAMAS wamezidiwa hadi wanaomba mapumziko umekuja tena na hadithi yako nyingine ya kubembelezwa.Anyway huwa nafurahia sana kusoma comments zako [emoji3][emoji3]
Mimi bado nipo kwenye.msimamo wangu hawajienda popote hao hayo majumba yako 3km kutoka border, wataenda wapi wakienda wanamalizwa tena wanafatwa huko huko walipojoficha kwenye majumba walio vunja

We unajua Gaza iko wapi?
 
Ahsante sana kutupa report ukiwa North Gaza ukifanya Live Covarage ya kipigo anachopewa HAMAS,naona umewazidi hadi Aljazeera [emoji3][emoji3]
 
Mimi huwa nazisoma huku nacheka mwanzo mwisho[emoji23][emoji23]
Mtume anasema Al ibtisam li akhiki Sadaqa Kwakweli hakuna raha kama ufurahishe watu.

Sa we lino utaingia Uislam?

Natanyahu hashindi vita.

Kuna promise mbili ya kwanza Natanyahu alisema Hasimamishi vita mpaa awamalize Hamasi na awachie Matekwa wote, hakuna atakaye pata

Promise ya Hamasi haturudishi matekwa wa Israel ila kwa masharti yetu.

Yani Hamasi ukiona kawaxhia matekwa ni kwa sababu ya utu tu wa kislam, si kwa vitisho vya Nya
 
Wewe unashindwa nini kutoa hiyo habari kama wao hawaitoi?

nyuma ya pazia Israel analia Qatar imsaidie we hujui kwamba mkubwa wa Mossad alienda Qatar kuwabembeleza Qatar wawasaidie kuhusu hao matekwa mbona hi habari hamtoi
 
Nyie wacheni ujinga Hamasi kabembelezwa na Qatar, kwani Qatar si anambiwa America.

Mimi sitaki kuona hata Vita isimame shenzi Type America na Qatar hawa ndio wanataka kuonyesha Israel amebembelezwa wakati nyuma ya pazia Israel analia Qatar imsaidie we hujui kwamba mkubwa wa Mossad alienda Qatar kuwabembeleza Qatar wawasaidie kuhusu hao matekwa mbona hi habari hamtoi [emoji1]
Punguza jazba ostaz embu pata kikombe cha Gahawa kwanza

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Ahsante sana kutupa report ukiwa North Gaza ukifanya Live Covarage ya kipigo anachopewa HAMAS,naona umewazidi hadi Aljazeera [emoji3][emoji3]
Hebu we tupe link habari ipi unatazama? Au unatazama Hollywood film tuonyeshen basi mko kwenye tunnels au mko Gaza mjini hata Salah Din road hamjafika mtafika Gaza nyie 😄
 
Wewe unashindwa nini kutoa hiyo habari kama wao hawaitoi?

Mimi huwa siji na story kama nyie bila dalili
 
Wanajeshi wa Israel jana wamepeperusha bendera ya Israel kwenye Beach ya Gaza wakaimba na wimbo wa taifa la Israel

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Labda beach ya Tela Avivi, kushuka chini ya kifaru wanaogopa washuke beach, hivi bado mnasikiliza filim ya sisimamishi vita mpaa niwamalize Hamasi mpo kwenye tolea langapi
 
Mimi huwa siji na story kama nyie bila dalili
Sijakuomba chanzo cha habari. Nimekuuliza kama hao hawataki kuitoa hiyo habari, Kwa nini wewe usiitoe?
 
Hivyo vifaru vimepita lakini havirudi vitamalizwa, wamewachiwa waingie afu wapewe dawa ya moto.

Hapo Hamasi ndio kawavuta patamu kweli, ngojeni tuone kama vifaru vilivyo sogea kupitia south ya Gaza vitabaki

Wewe si hapo juu umesema Israel hawajaingia hata Salah Din Road.Sasa hii ya kubadili tena maneno na kuwa Hamas kawavuta yanatoka wapi tena? Kwa hiyo tunakubaliana IDF wapo Gaza ama la?
 
Israel wakikubali kusitisha mapigo kwa walau siku tatu, mateka 15 wataachiwa huru.............

Negotiations are continuing between Israel and Palestinian group Hamas, mediated by Qatar in coordination with the United States, that could see 10-15 Hamas-held captives released in exchange for a multiday pause in fighting, Hamas and Egyptian sources have told the Reuters and AFP news agencies.

The reports on Wednesday, citing anonymous sources familiar with the negotiations, said that details around a prospective deal remain uncertain.
“The exact number is still unclear at this stage,” an anonymous source told Reuters, which placed the number of captives that could be released at between 10 and 15.

AFP cited a source close to Hamas saying the talks “revolve around the release of 12 hostages, half of them Americans, in exchange for a three-day humanitarian pause”.

Wawaachie mateka wote halafu ufuate mkong’oto wa nguvu usio na kikomo! Hiyo ndiyo dawa yake!
 
Israel wakikubali kusitisha mapigo kwa walau siku tatu, mateka 15 wataachiwa huru.............

Negotiations are continuing between Israel and Palestinian group Hamas, mediated by Qatar in coordination with the United States, that could see 10-15 Hamas-held captives released in exchange for a multiday pause in fighting, Hamas and Egyptian sources have told the Reuters and AFP news agencies.

The reports on Wednesday, citing anonymous sources familiar with the negotiations, said that details around a prospective deal remain uncertain.
“The exact number is still unclear at this stage,” an anonymous source told Reuters, which placed the number of captives that could be released at between 10 and 15.

AFP cited a source close to Hamas saying the talks “revolve around the release of 12 hostages, half of them Americans, in exchange for a three-day humanitarian pause”.
15
 
Back
Top Bottom