Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Wameingia na vifaru kwa kutumia njia ya bahari na kupitia South , je watatoka salama? Sababu vifaru vinaweza kwenda speed ya 60km kufika sehemu si hoja je watabaki? Wao wanataka kuonyesha dunia waneingia Gaza je watarudi na vifaru walivyo ingia navyo? SidhaniLabda Hamas wa kwenu Naivasha au Nakuru, habari yenyewe imetoka kwa mashoga wenzako AFP.