Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Mimi bado nipo kwenye.msimamo wangu hawajienda popote hao hayo majumba yako 3km kutoka border, wataenda wapi wakienda wanamalizwa tena wanafatwa huko huko walipojoficha kwenye majumba walio vunjaWewe huwa una habari za kufikilika sana,ni wewe ulikuwa unasema IDF waoga hawawezi kutia mguu Gaza,alivyoingia ukapindua maneno kwamba wapo pembezoni huko na wanapigika.Hali inazidi kuwa mbaya HAMAS wamezidiwa hadi wanaomba mapumziko umekuja tena na hadithi yako nyingine ya kubembelezwa.Anyway huwa nafurahia sana kusoma comments zako [emoji3][emoji3]
Ahsante sana kutupa report ukiwa North Gaza ukifanya Live Covarage ya kipigo anachopewa HAMAS,naona umewazidi hadi Aljazeera [emoji3][emoji3]Mimi bado nipo kwenye.msimamo wangu hawajienda popote hao hayo majumba yako 3km kutoka border, wataenda wapi wakienda wanamalizwa tena wanafatwa huko huko walipojoficha kwenye majumba walio vunja
We unajua Gaza iko wapi?
Mtume anasema Al ibtisam li akhiki Sadaqa Kwakweli hakuna raha kama ufurahishe watu.Mimi huwa nazisoma huku nacheka mwanzo mwisho[emoji23][emoji23]
nyuma ya pazia Israel analia Qatar imsaidie we hujui kwamba mkubwa wa Mossad alienda Qatar kuwabembeleza Qatar wawasaidie kuhusu hao matekwa mbona hi habari hamtoi
Punguza jazba ostaz embu pata kikombe cha Gahawa kwanzaNyie wacheni ujinga Hamasi kabembelezwa na Qatar, kwani Qatar si anambiwa America.
Mimi sitaki kuona hata Vita isimame shenzi Type America na Qatar hawa ndio wanataka kuonyesha Israel amebembelezwa wakati nyuma ya pazia Israel analia Qatar imsaidie we hujui kwamba mkubwa wa Mossad alienda Qatar kuwabembeleza Qatar wawasaidie kuhusu hao matekwa mbona hi habari hamtoi [emoji1]
Hebu we tupe link habari ipi unatazama? Au unatazama Hollywood film tuonyeshen basi mko kwenye tunnels au mko Gaza mjini hata Salah Din road hamjafika mtafika Gaza nyie 😄Ahsante sana kutupa report ukiwa North Gaza ukifanya Live Covarage ya kipigo anachopewa HAMAS,naona umewazidi hadi Aljazeera [emoji3][emoji3]
Wewe unashindwa nini kutoa hiyo habari kama wao hawaitoi?
Hawajaona hata moja zaidi ya visima vya maji tu 😄 Sa vipi wajaze maji tena siwatakuwa wanawasaidia Hamasi majiTena hayo mashimo Israel iyajaze maji full
Labda beach ya Tela Avivi, kushuka chini ya kifaru wanaogopa washuke beach, hivi bado mnasikiliza filim ya sisimamishi vita mpaa niwamalize Hamasi mpo kwenye tolea langapiWanajeshi wa Israel jana wamepeperusha bendera ya Israel kwenye Beach ya Gaza wakaimba na wimbo wa taifa la Israel
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Wameiba mafuta ya hospitali lakini wapi.Hamas hawana mafuta ya kuendesha jenereta zao hivyo wanakosa hewa kwenye mahandaki. Ndio maana wanaomba cease fire ya siku tatu.
Hivyo vifaru vimepita lakini havirudi vitamalizwa, wamewachiwa waingie afu wapewe dawa ya moto.Punguza jazba ostaz embu pata kikombe cha Gahawa kwanza
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Sijakuomba chanzo cha habari. Nimekuuliza kama hao hawataki kuitoa hiyo habari, Kwa nini wewe usiitoe?Mossad, CIA chiefs meet Qatar PM in Doha on Gaza hostage deal -source
The U.S. Central Intelligence Agency (CIA) and Israeli Mossad chiefs met with the Qatari prime minister in Doha on Thursday to discuss the parameters of a deal for hostage releases and a pause in Hamas-Israel fighting in the Gaza Strip, a source briefed on the meeting told Reuters.www.reuters.com
Mimi huwa siji na story kama nyie bila dalili
Israhell kama wanaweza wakakomboe watu wao wasingojee usitishwaji vitaHAMAS Wanataka kujipanga , Wapitishe mahitaji mbalimbali.. Wakitaka vita ipumzike waachie mateka wote
Hivyo vifaru vimepita lakini havirudi vitamalizwa, wamewachiwa waingie afu wapewe dawa ya moto.
Hapo Hamasi ndio kawavuta patamu kweli, ngojeni tuone kama vifaru vilivyo sogea kupitia south ya Gaza vitabaki
Israel wakikubali kusitisha mapigo kwa walau siku tatu, mateka 15 wataachiwa huru.............
Negotiations are continuing between Israel and Palestinian group Hamas, mediated by Qatar in coordination with the United States, that could see 10-15 Hamas-held captives released in exchange for a multiday pause in fighting, Hamas and Egyptian sources have told the Reuters and AFP news agencies.
The reports on Wednesday, citing anonymous sources familiar with the negotiations, said that details around a prospective deal remain uncertain.
“The exact number is still unclear at this stage,” an anonymous source told Reuters, which placed the number of captives that could be released at between 10 and 15.
AFP cited a source close to Hamas saying the talks “revolve around the release of 12 hostages, half of them Americans, in exchange for a three-day humanitarian pause”.
Negotiations ongoing for release of 10-15 Hamas-held captives, reports say
Demand for a humanitarian ceasefire during Qatar-mediated talks, but details of deal remain unclear.www.aljazeera.com
15Israel wakikubali kusitisha mapigo kwa walau siku tatu, mateka 15 wataachiwa huru.............