Hamas kafanya tena, amevuka mpaka wa Israel na Kushmbulia Camp ya Jeshi

Hamas kafanya tena, amevuka mpaka wa Israel na Kushmbulia Camp ya Jeshi

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
7,681
Reaction score
9,892
Tukiwambia Israel hana alichofanya zaidi ya kuonea watoto, wanawake, vizee, vijana wasio kuwa wanamgambo wa Hamasi mnasema oh Hamasi wanajificha kwenye nyumba za raia kama ni kweli maneno yenu na maneno ya Israel hayo majumba ya Gaza aliyo yavunja Israel, mashule, masajidi, mahospital, makanisa angekuwa kuwamaliza Hamasi.

Sa leo Hamasi kaingia ndani ya Israel kama alivyo fanya tarehe 7th October na kaingia mpaka camp ya jeshi nakauwa askari wa Israel.

Tukiwambia Jeshi la Israel ni kuku mmabisha.

View: https://youtu.be/RMRlqo3gbKw?si=rkAPuJso8-6NDzLY
 
Sijafungua hiyo video ila natumai common sense tu kuwaza inawezekana vipi nyoka wamevamia nyumbn kwako wanagonga na kuua familia Yako Kisha ww unatoka nduki unaenda kuwatafuta maporini walipotokea ili Hali huku nyuma wanaendelea kuua na kujeruhi familia.
 
Baadhi ya jamii ya kimataifa wajinga akina SA wanawatetea magaidi badala magaidi wanaotetewa wafiche upumbavu wao; kinyume chake wanaonesha walivyo wapumbavu!
Kwahiyo unataka wapigwe wasijitetee kweli wewe hamnazo sasahivi hadi spain kajiunga na afrika kusini kupinga huu udhalimu wa israel ,resistance ni muhimu kwenye mapambano
 
Halafu Israel ikiendelea kuitandika Gaza msiwe mnakuja hapa kulia kulia. Mnafanya ujinga wa kumchokoza, akiibuka mnalia lia.
Ina maana israel alikuwa anapiga watoto na wasiohusika hawezi kuimaliza hamas na anlijua hilo hata waziri wao wa vita alimwambia netanyahu njok na plan au atajiuzulu hii vita bila plan itachukua hata miaka kumi na hawana hizo resources
 
Kipigo always kinafuata baada ya uchokozi wao! Ukiwa mchokozi jiandae kwa kipigo.
hakuna tabu resistance lazima iwepo na this shows israel has failed to eliminate hamas kwa zaidi ya miezi tisa sasa wanabomoa mashule na kuua raia ,bunch of cowards
 
Hatutaki kuona post za 'Pray for Hamas'
ISrael hatoweza kuwamaliza hamas hata apewe miaka mia anahangaika na kujimaliza mwenyewe tu dunia imeshaanza kumfungia vioo spain keshaungana na southafrica icj huku netanyahu amekuwa kama kibaka anawindwa na icc
 
Naona umefunguka vilivyo! Magaidi haki yao ni kifo sio wa kutetewa kwa namna yoyote ile!
Hakuna gaidi pale acha kuimba mwimbo wa madhalimu ambao wanatumia kuua watu wasiowapenda, mandela aliitwa gaidi na wazungu wote hadi marekani wakati anapigania uhuru wa southafrica , huwezi kuwatawala watu kimabavu na kuwatesa halafu wakijitetea uwaite gaidi ,elimu yako inatakiwa ikujengee uwezo wa kufikiria sio kukubali kila kitu kisa mzungu kasema
JAna kuna major general wa jeshi la marekani kajiuzulu kupinga sera za marekani na israel dhidi ya palestina, huyu anakula mshahara mkubwa ila kaamua kuacha yote hayo kwa ajili ya kutetea haki ila kuna wewe huna unachojua zaidi ya kudanganywa na mchungaji wako habari za taifa teule, waafrika hasa wakristo wa wa tanzania ni mazuzu hawafikirii
Hadi sasa kuna senior officers watano ikulu ya marekani akiwemo muisrael mmoja wamejiuzulu kwa ajili ya kupinga udhalimu wa israel dhidi ya palestina ,halafu kuna zoba mmoja huku tanzania anaimba ugaidi wakati hata maana ya hilo neno hujui
 
hakuna tabu resistance lazima iwepo na this shows israel has failed to eliminate hamas kwa zaidi ya miezi tisa sasa wanabomoa mashule na kuua raia ,bunch of cowards
Sasa inatakiwa Israel ifute kabisa hapo,maana naona kama wana wachekea hao magaidi, wawafute wote at once.
 
Tukiwambia Israel hana alichofanya zaidi ya kuonea watoto, wanawake, vizee, vijana wasio kuwa wanamgambo wa Hamasi mnasema oh Hamasi wanajificha kwenye nyumba za raia kama ni kweli maneno yenu na maneno ya Israel hayo majumba ya Gaza aliyo yavunja Israel, mashule, masajidi, mahospital, makanisa angekuwa kuwamaliza Hamasi.

Sa leo Hamasi kaingia ndani ya Israel kama alivyo fanya tarehe 7th October na kaingia mpaka camp ya jeshi nakauwa askari wa Israel.

Tukiwambia Jeshi la Israel ni kuku mmabisha.

View: https://youtu.be/RMRlqo3gbKw?si=rkAPuJso8-6NDzLY

Hamas piga hayo magaidi ya kiyahudi
 
Back
Top Bottom