Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Hao Hamas wazuie watoto na akina mama wa palestine wasiuaweHakuna mtu aliyepost pray for Hamas,watu hulalama watoto na akina mama,wazee kuuawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao Hamas wazuie watoto na akina mama wa palestine wasiuaweHakuna mtu aliyepost pray for Hamas,watu hulalama watoto na akina mama,wazee kuuawa
Hao magaidi ndio wanajifanya kwa hao akina mama na watoto sasa hapo unategemea nini kifanyike, watauawa tu maanake hamna namna na hao watoto vilevile ndio magaidi wa kesho.Hakuna mtu aliyepost pray for Hamas,watu hulalama watoto na akina mama,wazee kuuawa
WapigweeBaadhi ya jamii za kimataifa wajinga akina SA wanawatetea magaidi badala magaidi wanaotetewa wafiche upumbavu wao; kinyume chake wanaonesha walivyo wapumbavu!
We baki naujinga wako kuamini anacho ongea Israel na America, sa kwa tarifa yako na leo wamefanya yale yale kama janaFake News.
Huna hela ya bando acha mbaambaaaSijafungua hiyo video ila natumai common sense tu kuwaza inawezekana vipi nyoka wamevamia nyumbn kwako wanagonga na kuua familia Yako Kisha ww unatoka nduki unaenda kuwatafuta maporini walipotokea ili Hali huku nyuma wanaendelea kuua na kujeruhi familia.
We baki naujinga wako kuamini anacho ongea Israel na America, sa kwa tarifa yako na leo wamefanya yale yale kama jana
Israel alikanusha hata Iron dome kuwa imepigwa na Hezbullah juzi, nakakataza watu wasitoe picture tazama hi footage uone uwongo wa Israel
View: https://youtu.be/a_uaMIe_aOk?si=39jzcyzBXhNBUCzq
Huna hela ya bando acha mbaambaaa
Tuwekee sources za kiingereza hicho Kiarabu sisi hatujasoma Koroani
Tukiwambia Israel hana alichofanya zaidi ya kuonea watoto, wanawake, vizee, vijana wasio kuwa wanamgambo wa Hamasi mnasema oh Hamasi wanajificha kwenye nyumba za raia kama ni kweli maneno yenu na maneno ya Israel hayo majumba ya Gaza aliyo yavunja Israel, mashule, masajidi, mahospital, makanisa angekuwa kuwamaliza Hamasi.
Sa leo Hamasi kaingia ndani ya Israel kama alivyo fanya tarehe 7th October na kaingia mpaka camp ya jeshi nakauwa askari wa Israel.
Tukiwambia Jeshi la Israel ni kuku mmabisha.
View: https://youtu.be/RMRlqo3gbKw?si=rkAPuJso8-6NDzLY
Tukiwambia Israel hana alichofanya zaidi ya kuonea watoto, wanawake, vizee, vijana wasio kuwa wanamgambo wa Hamasi mnasema oh Hamasi wanajificha kwenye nyumba za raia kama ni kweli maneno yenu na maneno ya Israel hayo majumba ya Gaza aliyo yavunja Israel, mashule, masajidi, mahospital, makanisa angekuwa kuwamaliza Hamasi.
Sa leo Hamasi kaingia ndani ya Israel kama alivyo fanya tarehe 7th October na kaingia mpaka camp ya jeshi nakauwa askari wa Israel.
Tukiwambia Jeshi la Israel ni kuku mmabisha.
View: https://youtu.be/RMRlqo3gbKw?si=rkAPuJso8-6NDzLY
Unaweza kuta wewe hapo msikitini kwenu ndiye msomi wanayemuaminiaHahaha mnanikumbusha America na Israel walipo anza vita Biden, Blinken, Hillary Clinton, Shetanyahau walisema hakuna kusimamisha vita mpaa Hamasi afutwe kabisa kuwe hakuna kitu kinaitwa Hamasi.
Nchi zilikuwa zinataka kusimamisha vita America akawa anapiga veto pale UN hataki vita isimame, leo Biden anapeleka mpa UN eti vita isimame 😄
Hamasi wanaume nyie wacheni mchezo America, Saud Arabia, Egypt, Jordan, UAE, Germany. UK, Canada, Morocco,
Baharain, Philippines, India, Ethopia, mpaa wale walio enda kusomea kilimo ndugu zenu wote walimsaidia Israel na bado wamemshindwa Hamasi aibu gani hi.
We wachana na ujinga wa kanisani kila Jpili ukapapaswe mapaja eti mko kwenye ibada ukristo umekaa kishetani shetani.Unaweza kuta wewe hapo msikitini kwenu ndiye msomi wanayemuaminia
Sawa kila kitu anacho ongea America na Israel ndio sawa, wengine wote waongo 😄Fake
Watanznaia ni wajinga sana achana nao ukimbana sawa swa hawezi kukweliza hasa gaid anafananaje ,zaidi ya hearsayHakuna gaidi pale acha kuimba mwimbo wa madhalimu ambao wanatumia kuua watu wasiowapenda, mandela aliitwa gaidi na wazungu wote hadi marekani wakati anapigania uhuru wa southafrica , huwezi kuwatawala watu kimabavu na kuwatesa halafu wakijitetea uwaite gaidi ,elimu yako inatakiwa ikujengee uwezo wa kufikiria sio kukubali kila kitu kisa mzungu kasema
JAna kuna major general wa jeshi la marekani kajiuzulu kupinga sera za marekani na israel dhidi ya palestina, huyu anakula mshahara mkubwa ila kaamua kuacha yote hayo kwa ajili ya kutetea haki ila kuna wewe huna unachojua zaidi ya kudanganywa na mchungaji wako habari za taifa teule, waafrika hasa wakristo wa wa tanzania ni mazuzu hawafikirii
Hadi sasa kuna senior officers watano ikulu ya marekani akiwemo muisrael mmoja wamejiuzulu kwa ajili ya kupinga udhalimu wa israel dhidi ya palestina ,halafu kuna zoba mmoja huku tanzania anaimba ugaidi wakati hata maana ya hilo neno hujui
Myahudi anaogopa sana kufa ..ila kuua anataka ..hata ukikohoa tu anakumiminia risasiSasa mkuu si wako katika vita? Sheria za vita zinataka upige wanajeshi sio wananchi! Sasa hapo msifu Hamas kwa kufuata sheria za kimataifa sinazosimamia vita sio kama Israel yeye anarusha ata sokoni ilimradi tu