Hamas kafanya tena, amevuka mpaka wa Israel na Kushmbulia Camp ya Jeshi

Hamas kafanya tena, amevuka mpaka wa Israel na Kushmbulia Camp ya Jeshi

Jambo lilo wazi, Hamas, Parentine, Iran, na wengine.
Hawana cha kuifanya israel.

Nasema" hawana cha kuifanya israel"

Usisahau:
Waliofariki toka vita ianze
37,263 Waparestina
1,139 Makafiri ya kiyaudi aka masheitwani.

Sasa kama ulimaliza darasa la saba, tafuta uwiano.
Ukipata jibu jipigie makofi ya ushindi kimya kimya
 
Sa tukuamini wewe au chief of staff wa Israel ambaye anasema askari walio kufa ni zaidi ya 5000 sa kumbuka Israel akisema wamekufa 5 we piga mara tatu yake hapo, tena hao wanajeshi tu hatujui civilian wangapi lakini na uhakika Hamasi huwa hauwi raia anauwa askari tu😄
 
Mimi sio msemaji wao,
Tumuamini Chief of Staff.
Kifupi hii vita HAMAS ANASHINDA
 
Mimi sio msemaji wao,
Tumuamini Chief of Staff.
Kifupi hii vita HAMAS ANASHINDA
Ashinde mara ngapi Israel kaingia vita hi kwa masharti matatu.

1 Aifute Hamasi

2 Akomboe matekwa wake kwa vita bila mazungumzo yani kwa nguvu hataki kuongea na Hamasi kwa kubadilishana matekwa.

3 Aitawale tena Gaza na aifanye kama singapore na avunje tunnels zote.

Masharti ya Hamasi

1 Harudishi matekwa na Israel hawezi kuwakomboa kwa nguvu za jeshi isipo kiwa kwa kubadilishana tu

2 Hasimamishi vita mpa Israel aondoe majeshi yake yote Gaza

3 Lazima waijenge Gaza

Haya tuone nani atashinda
 
almajd lihamas
 
Kutumia nguvu nyingi ili kuaminisha watu wazima na akili zao kwamba anayepigwa ndiyo msindi,nao ni uzuzu-kalumekenge.
 
Kwahiyo unataka wapigwe wasijitetee kweli wewe hamnazo sasahivi hadi spain kajiunga na afrika kusini kupinga huu udhalimu wa israel ,resistance ni muhimu kwenye mapambano
Kwani Spain wewe unaiona ndo nyumbani kwa Mungu.
 
Baadhi ya jamii za kimataifa wajinga akina SA wanawatetea magaidi badala magaidi wanaotetewa wafiche upumbavu wao; kinyume chake wanaonesha walivyo wapumbavu!
Kati ya Freedom fighters na walowezi ni nani wapumbavu? Kama unajiona upo kamili ingia vitani ukawasaidie ndugu zako, na wataendelea kufa
 
Halafu Israel ikiendelea kuitandika Gaza msiwe mnakuja hapa kulia kulia. Mnafanya ujinga wa kumchokoza, akiibuka mnalia lia.

Akisaidiwa na marekani kulipua manyumba, kuuwa watoto, wamama na wazee sio???? Mpo vizuri kwa hilo, ila kupambana na Hamas ni SIFURI
 
Freedom seekers. Keep it up. Freedom is coming tomorrow. Even if tomorrow is hundred years ahead. Palestine will be free
 
Baadhi ya jamii za kimataifa wajinga akina SA wanawatetea magaidi badala magaidi wanaotetewa wafiche upumbavu wao; kinyume chake wanaonesha walivyo wapumbavu!
muda siwa mrefu watavuka msumbiji na Kuwaingia SA kisha SA wataanza jitambua
 
Kifo ni haki ya kila binadamu aliye zaliwa na ndio maana hata ww utakufa tena saa nyingine bila kuguswa na mtu yeyote.
Hivyo acha kejeli za kipumbavu.
dunian ni sehem salama , waleta fujo wapumzishwe mapema
 
Hao magaidi ndio wanajifanya kwa hao akina mama na watoto sasa hapo unategemea nini kifanyike, watauawa tu maanake hamna namna na hao watoto vilevile ndio magaidi wa kesho.
Hawajifichi kwenye tunnels Tena?;
 
Back
Top Bottom