Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
- Thread starter
- #21
😄 lazima wafiche ukweli ni aibu sana.From tomato source. Hakuna shambulio kama ilo kwa leo. Ni tukio la zamani.
View: https://youtu.be/YZUOwuzpKSY?si=e3Uoi9Bv3qwArjBa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄 lazima wafiche ukweli ni aibu sana.From tomato source. Hakuna shambulio kama ilo kwa leo. Ni tukio la zamani.
Tukiwambia Israel hana alichofanya zaidi ya kuonea watoto, wanawake, vizee, vijana wasio kuwa wanamgambo wa Hamasi mnasema oh Hamasi wanajificha kwenye nyumba za raia kama ni kweli maneno yenu na maneno ya Israel hayo majumba ya Gaza aliyo yavunja Israel, mashule, masajidi, mahospital, makanisa angekuwa kuwamaliza Hamasi.
Sa leo Hamasi kaingia ndani ya Israel kama alivyo fanya tarehe 7th October na kaingia mpaka camp ya jeshi nakauwa askari wa Israel.
Tukiwambia Jeshi la Israel ni kuku mmabisha.
View: https://youtu.be/RMRlqo3gbKw?si=rkAPuJso8-6NDzLY
Kifo ni haki ya kila binadamu aliye zaliwa na ndio maana hata ww utakufa tena saa nyingine bila kuguswa na mtu yeyote.Naona umefunguka vilivyo! Magaidi haki yao ni kifo sio wa kutetewa kwa namna yoyote ile!
Issue sio Israel kuitandika Gaza bali wanachotakiwa kufanya ni kuwapiga hata kuwaangamiza hao mnaowaita "magaidi" lakini Israel wameshindwa kupambana na Hamas wamebaki kuwadanganya watu wao kwa kuua watu wengine wasio na hatia wakidai wameua Hamas.Halafu Israel ikiendelea kuitandika Gaza msiwe mnakuja hapa kulia kulia. Mnafanya ujinga wa kumchokoza, akiibuka mnalia lia.
Sa leo Hamasi kaingia ndani ya Israel kama alivyo fanya tarehe 7th October na kaingia mpaka camp ya jeshi nakauwa askari wa Israel.
Ni Hamas au Hezbollah wa Lebanon?ISrael hatoweza kuwamaliza hamas hata apewe miaka mia anahangaika na kujimaliza mwenyewe tu dunia imeshaanza kumfungia vioo spain keshaungana na southafrica icj huku netanyahu amekuwa kama kibaka anawindwa na icc
ila wakitoka hapo wanaenda kujificha kwa raia, alafu kuna mtu anakuja anasema hao ni mashujaa.
All in all hayo magaidi inabidi yauliwe yote dunia ibaki salamaHawana uwezo huo , fikiria kama miezi tisa wanahangaika na mgambo na wameshindwa kuwaokoa mateka ,acheni kudanganyika na movie
DUnia itabaki salama haki itakapotendeka huwezi kudhulumu haki za watu ukategemea amani , utaendelea kuita wapigania haki magaidi kumbe wewe ndio mwizi ,na hilo jina limetungwa makusudi kwa watu wanaodhulumiwa wasipiganie haki zao ,ila waafrika wengi wajinga hawajaelimika vya kutosha kujua walipotoka na wanapopelekwa mnaishia kushabikia kila kitu mnachodanganywa na wazungu, angalia libya walivyoingia cha kike sasahivi wanahangaika na maisha, tujitahidi kuelimikaAll in all hayo magaidi inabidi yauliwe yote dunia ibaki salama
south afrika ni wabaguzi sana kwa waafrika wenzao. yani sijui afrika nani katurogaBaadhi ya jamii za kimataifa wajinga akina SA wanawatetea magaidi badala magaidi wanaotetewa wafiche upumbavu wao; kinyume chake wanaonesha walivyo wapumbavu!
ISrael hatoweza kuwamaliza hamas hata apewe miaka mia anahangaika na kujimaliza mwenyewe tu dunia imeshaanza kumfungia vioo spain keshaungana na southafrica icj huku netanyahu amekuwa kama kibaka anawindwa na iccs
Unaambiwa hadi sasa Israel hajaua Hamas hata mmoja
Hatoweza kuwamaliza hamas hata apewe miaka mia, na gallant ambae ni waziri wa vita wa israel aliita press na kumwambia netanyahu on the face kwamba atafute long lasting solution hii vita haitosaidia kuwamaliza hamasNi Hamas au Hezbollah wa Lebanon?
Ndio maana wanaitwa magaidi mkuu.Sijafungua hiyo video ila natumai common sense tu kuwaza inawezekana vipi nyoka wamevamia nyumbn kwako wanagonga na kuua familia Yako Kisha ww unatoka nduki unaenda kuwatafuta maporini walipotokea ili Hali huku nyuma wanaendelea kuua na kujeruhi familia.
Israel ikitoka Gaza na ikiacha kufanya mashambulizi ya anga na ikiacha Gaza blockade basi Hamas hawatowashambulia.Baadhi ya jamii za kimataifa wajinga akina SA wanawatetea magaidi badala magaidi wanaotetewa wafiche upumbavu wao; kinyume chake wanaonesha walivyo wapumbavu!
Mkuu nadhani watu wengi humu ndani hamjui mnachokichangia.Halafu Israel ikiendelea kuitandika Gaza msiwe mnakuja hapa kulia kulia. Mnafanya ujinga wa kumchokoza, akiibuka mnalia lia.
Una ushahidi mkuu kama wanajificha kwa raia?ila wakitoka hapo wanaenda kujificha kwa raia, alafu kuna mtu anakuja anasema hao ni mashujaa.
Dunia itabaki salama pale wamagharibi na USA watakapoacha world policing.All in all hayo magaidi inabidi yauliwe yote dunia ibaki salama
HamasiNi Hamas au Hezbollah wa Lebanon?
Hahaha mnanikumbusha America na Israel walipo anza vita Biden, Blinken, Hillary Clinton, Shetanyahau walisema hakuna kusimamisha vita mpaa Hamasi afutwe kabisa kuwe hakuna kitu kinaitwa Hamasi.Hapo Cha msingi tel Aviv waendelee kupeleka moto kule Gaza na Rafah bila hivyo ni shida
Hamas ni kama chawa huwezi wajua kama hawako kwenye nguo Yako