Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Kwahiyo unataka wapigwe wasijitetee kweli wewe hamnazo sasahivi hadi spain kajiunga na afrika kusini kupinga huu udhalimu wa israel ,resistance ni muhimu kwenye mapambanoBaadhi ya jamii ya kimataifa wajinga akina SA wanawatetea magaidi badala magaidi wanaotetewa wafiche upumbavu wao; kinyume chake wanaonesha walivyo wapumbavu!
Ina maana israel alikuwa anapiga watoto na wasiohusika hawezi kuimaliza hamas na anlijua hilo hata waziri wao wa vita alimwambia netanyahu njok na plan au atajiuzulu hii vita bila plan itachukua hata miaka kumi na hawana hizo resourcesHalafu Israel ikiendelea kuitandika Gaza msiwe mnakuja hapa kulia kulia. Mnafanya ujinga wa kumchokoza, akiibuka mnalia lia.
Hakuna mtu aliyepost pray for Hamas,watu hulalama watoto na akina mama,wazee kuuawaHatutaki kuona post za 'Pray for Hamas'
Kipigo always kinafuata baada ya uchokozi wao! Ukiwa mchokozi jiandae kwa kipigo.Kwahiyo unataka wapigwe wasijitetee kweli wewe hamnazo sasahivi hadi spain kajiunga na afrika kusini kupinga huu udhalimu wa israel ,resistance ni muhimu kwenye mapambano
hakuna tabu resistance lazima iwepo na this shows israel has failed to eliminate hamas kwa zaidi ya miezi tisa sasa wanabomoa mashule na kuua raia ,bunch of cowardsKipigo always kinafuata baada ya uchokozi wao! Ukiwa mchokozi jiandae kwa kipigo.
ISrael hatoweza kuwamaliza hamas hata apewe miaka mia anahangaika na kujimaliza mwenyewe tu dunia imeshaanza kumfungia vioo spain keshaungana na southafrica icj huku netanyahu amekuwa kama kibaka anawindwa na iccHatutaki kuona post za 'Pray for Hamas'
Naona umefunguka vilivyo! Magaidi haki yao ni kifo sio wa kutetewa kwa namna yoyote ile!hakuna tabu resistance lazima iwepo na this shows israel has failed to eliminate hamas kwa zaidi ya miezi tisa sasa wanabomoa mashule na kuua raia ,bunch of cowards
Roho ya umwagaji damu mkuu imewang'ang'ania shetani anawa remote hawa kobazi.Halafu Israel ikiendelea kuitandika Gaza msiwe mnakuja hapa kulia kulia. Mnafanya ujinga wa kumchokoza, akiibuka mnalia lia.
Hakuna gaidi pale acha kuimba mwimbo wa madhalimu ambao wanatumia kuua watu wasiowapenda, mandela aliitwa gaidi na wazungu wote hadi marekani wakati anapigania uhuru wa southafrica , huwezi kuwatawala watu kimabavu na kuwatesa halafu wakijitetea uwaite gaidi ,elimu yako inatakiwa ikujengee uwezo wa kufikiria sio kukubali kila kitu kisa mzungu kasemaNaona umefunguka vilivyo! Magaidi haki yao ni kifo sio wa kutetewa kwa namna yoyote ile!
Sasa inatakiwa Israel ifute kabisa hapo,maana naona kama wana wachekea hao magaidi, wawafute wote at once.hakuna tabu resistance lazima iwepo na this shows israel has failed to eliminate hamas kwa zaidi ya miezi tisa sasa wanabomoa mashule na kuua raia ,bunch of cowards
Hawana uwezo huo , fikiria kama miezi tisa wanahangaika na mgambo na wameshindwa kuwaokoa mateka ,acheni kudanganyika na movieSasa inatakiwa Israel ifute kabisa hapo,maana naona kama wana wachekea hao magaidi, wawafute wote at once.
Hamas piga hayo magaidi ya kiyahudiTukiwambia Israel hana alichofanya zaidi ya kuonea watoto, wanawake, vizee, vijana wasio kuwa wanamgambo wa Hamasi mnasema oh Hamasi wanajificha kwenye nyumba za raia kama ni kweli maneno yenu na maneno ya Israel hayo majumba ya Gaza aliyo yavunja Israel, mashule, masajidi, mahospital, makanisa angekuwa kuwamaliza Hamasi.
Sa leo Hamasi kaingia ndani ya Israel kama alivyo fanya tarehe 7th October na kaingia mpaka camp ya jeshi nakauwa askari wa Israel.
Tukiwambia Jeshi la Israel ni kuku mmabisha.
View: https://youtu.be/RMRlqo3gbKw?si=rkAPuJso8-6NDzLY