Hamas kafanya tena, amevuka mpaka wa Israel na Kushmbulia Camp ya Jeshi

Hakuna mtu aliyepost pray for Hamas,watu hulalama watoto na akina mama,wazee kuuawa
Hao magaidi ndio wanajifanya kwa hao akina mama na watoto sasa hapo unategemea nini kifanyike, watauawa tu maanake hamna namna na hao watoto vilevile ndio magaidi wa kesho.
 
Baadhi ya jamii za kimataifa wajinga akina SA wanawatetea magaidi badala magaidi wanaotetewa wafiche upumbavu wao; kinyume chake wanaonesha walivyo wapumbavu!
Wapigwee
 
Huna hela ya bando acha mbaambaaa
 
Sasa mkuu si wako katika vita? Sheria za vita zinataka upige wanajeshi sio wananchi! Sasa hapo msifu Hamas kwa kufuata sheria za kimataifa sinazosimamia vita sio kama Israel yeye anarusha ata sokoni ilimradi tu
 
Fake
 
Ndio maana Hamas wanakataa mpango wa kisitisha Vita?! Wanajona kuwa wanashinda Vita?!

Wanajidanganya sana sana.
 
Unaweza kuta wewe hapo msikitini kwenu ndiye msomi wanayemuaminia
 
Unaweza kuta wewe hapo msikitini kwenu ndiye msomi wanayemuaminia
We wachana na ujinga wa kanisani kila Jpili ukapapaswe mapaja eti mko kwenye ibada ukristo umekaa kishetani shetani.
 
Yanni vijamaa vinne vimechomoza shimoni vikakaribia karibu na jeshi Mwanajeshi alikuwa Muarabu Druze Muislam akaona ni nduguze akashangaa wakamdunga risasi... Drone ikatumwa ikawaua wawili na kifaru nacho kikaachia mzinga mmoja akafa na mwingine akafanikiwa kusepa Raffah bahati yake.. ila hana siku nyingi atadedishwa tu
 
Wa
Watanznaia ni wajinga sana achana nao ukimbana sawa swa hawezi kukweliza hasa gaid anafananaje ,zaidi ya hearsay
 
Sasa mkuu si wako katika vita? Sheria za vita zinataka upige wanajeshi sio wananchi! Sasa hapo msifu Hamas kwa kufuata sheria za kimataifa sinazosimamia vita sio kama Israel yeye anarusha ata sokoni ilimradi tu
Myahudi anaogopa sana kufa ..ila kuua anataka ..hata ukikohoa tu anakumiminia risasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…