Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushabiki na kejeli za kidini haviwezi kubadilisha hali halisi ya kinachowapata Waparestina na Hamas yenyewe. Nani alikwambia kuna mashoga wengi wa Kiyaud kuliko Waarabu? Mashoga wapo kila jamii na kila dini, hisipokuwa wenzetu mnajitoa ufahamu kana kwamba hamjui kinachoendelea wakati wote tunajua na tunaona jamii ya Kiislam ilivyohathiliwa na ushoga.ICJ coz Jeshi la LGBTQ limeua watoto na Wanawake wenzao lakini limeshindwa kuwafikia waliopita mateka wao hapana chezea wanaume
By the way walienda ICJ ni SOUTH AFRICA na si HAMAS
Pambav weee
Hamas waliwezaje kuivamia Israel na kuua wanajeshi na kuwateka wayahudi zaidi ya 1000?
Inajulikana kuwa Israel ni taifa lenye mifumo ya kisasa kabisa ya ulinzi ya kugundua na kupiga maadui lakini ni miezi 4 sasa inashindwa kufikia malengo yake kule Gaza. Israel imeikandamiza Palestine tangu mwaka 1967 na kuikalia kimabavu bila kujali nani anasema nini.
Hii ni kusema kuwa ukiwakandamiza sana kwa muda mrefu watu unaodhani ni dhaifu na wanyonge kwakutumia uwezo, maguvu, mamlaka na hila iko siku watu hao "dhaifu" watakuwa wakakamavu kwako na pengine kukushinda vibaya sana. Watawala tendeni haki kwa raia wenu, wazazi tendeni haki kwa watoto wenu, walimu tendeni haki kwa wanafunzi wenu, wachungaji tendeni haki kwa waumini wenu maana iko siku watu wenu watainuliwa na kubuni mbinu mpya ya kuwaangusha.
Hajielewi mleta mada Kuna nchi hazichokozwi Mfano hata Marekani na uwezo wao mkubwa wa kijasusi walivamiwa September 11 miaka ile Marekani na Magaidi wa Alkaeda akina Osama kilichofuata walipinduannchi kibao wafadhili wao na kuwaua kuanzia Osama,Gaddafi ,Raisi wa Iraki Sadamu Hussein,Kuvamia Somalia , Afghanistan na Arab Spiring iliyoondoa maraisi kibao Kwa kipigo Cha mbwa Koko Cha kivitaMuda huongea...
Hata wakati wa Nyerere tulikuwa tukiimba ni heri ya kufa kuliko kuonewa, Nyerere alitufundisha hivyo, Leo hii vijana wetu wanaona ni heri ya kuonewa kuliko kufa.Wameuawa wapalestina zaidi ya 23,000 dhidi ya waisrael 1,000 na kibano Bado kinaendelea huko Gaza na Kwa mtamzamo wako unaona mmeshinda vita,,DINI nyingine kuzitofautisha na ugaini ni vigumu,TATIZO uelewa kaka
Hamas waliwezaje kuivamia Israel na kuua wanajeshi na kuwateka wayahudi zaidi ya 1000?
Inajulikana kuwa Israel ni taifa lenye mifumo ya kisasa kabisa ya ulinzi ya kugundua na kupiga maadui lakini ni miezi 4 sasa inashindwa kufikia malengo yake kule Gaza. Israel imeikandamiza Palestine tangu mwaka 1967 na kuikalia kimabavu bila kujali nani anasema nini.
Hii ni kusema kuwa ukiwakandamiza sana kwa muda mrefu watu unaodhani ni dhaifu na wanyonge kwakutumia uwezo, maguvu, mamlaka na hila iko siku watu hao "dhaifu" watakuwa wakakamavu kwako na pengine kukushinda vibaya sana. Watawala tendeni haki kwa raia wenu, wazazi tendeni haki kwa watoto wenu, walimu tendeni haki kwa wanafunzi wenu, wachungaji tendeni haki kwa waumini wenu maana iko siku watu wenu watainuliwa na kubuni mbinu mpya ya kuwaangusha.
Vita ya siku 6.
Si utueleze Mkuu Kavulata....Nini likitokea Vita vya siku sita....Itakuwa ni somo kwa wengi...
[emoji1630] Al-Qassam (Hamas) has since this morning targeted:Hamas waliwezaje kuivamia Israel na kuua wanajeshi na kuwateka wayahudi zaidi ya 1000?
Inajulikana kuwa Israel ni taifa lenye mifumo ya kisasa kabisa ya ulinzi ya kugundua na kupiga maadui lakini ni miezi 4 sasa inashindwa kufikia malengo yake kule Gaza. Israel imeikandamiza Palestine tangu mwaka 1967 na kuikalia kimabavu bila kujali nani anasema nini.
Hii ni kusema kuwa ukiwakandamiza sana kwa muda mrefu watu unaodhani ni dhaifu na wanyonge kwakutumia uwezo, maguvu, mamlaka na hila iko siku watu hao "dhaifu" watakuwa wakakamavu kwako na pengine kukushinda vibaya sana. Watawala tendeni haki kwa raia wenu, wazazi tendeni haki kwa watoto wenu, walimu tendeni haki kwa wanafunzi wenu, wachungaji tendeni haki kwa waumini wenu maana iko siku watu wenu watainuliwa na kubuni mbinu mpya ya kuwaangusha.
Sasa hapo kuna somo gani zaidi ya kuuwa wanawake na watoto na kubomoa majengo kivita huo ni ujingaIsrael kuichakaza Gaza somo Kwa Magaidi Wote. Gaza imefanywa Magofu Hamas wamekimbia
Tunataka mashoga muache kushughulikiwa nyutuMmekimbilia ICJ kufanya Nini?
[emoji1630] Al-Qassam (Hamas) has since this morning targeted:
[emoji839]1 IOF Helicopter
[emoji839]6 Merkava tanks
[emoji839]1 APC
[emoji839]1 Military D9-bulldozer
[emoji839]3 Infantry force
[emoji839]Eliminate 2 IOF soldiersView attachment 2870533

Historia ya mgogoro huu ni ndefu sana sana sana kwakuwa lazima uanzie kuleeee kwa akina Nabii Ibrahi na wake na watoto wake, utawala wa waingereza Palestine, mauaji ya wayahud kule ujerumani na mataifa mengine, nguvu za wayahudi raia wa Marekani, maamuzi ya UN kuhusu Palestine na Israel, mataifa ya kiarabu hasa Egypt, Syria, Jordan, Lebanon, Iran, nk. Ni hadithi ndefu sana.Mkuu Kavulata.....Kwa nini umesema Israel imekalia hapo mahali toka 1967, kwa nini husemi kuanzia 1948? Nimeangalia mijadala mingi ndani ya Jamii Forum, naweza kusema wengi ni watupu! Ni ushabiki tu! Inawezekana ni wa Kidini (Pande zote) Na Wengine ni hamasa ya kutetea tu anayedai kaonewa! Bila kueleza kaonewa vipi!
Wewe umekuja na 1967 na kusema ndio Israel ilianza kukandamiza Israel, Sidhani uko sahihi mkuu!, Waarabu wote wanadai ni "Occupation ya Israel toka 1948" yaani miaka kama 75 ......Hivyo kuwasaidia wengi ungeelezea context ya nini kilianzisha 1967 War angalau! Kumbuka pia kuna 1956 War (Suez Canal Crisis) ! Je Israel iliamka asubuhi tu, tena ghafla na kuanzisha na kuwanyang'anya Wapelestina ardhi yao 1967? Haiko hivyo mkuu Kavulata!
Kama nilivyosema awali, wengi katika Jamii forum hawana historical context ya mgogoro huu! Hata kutetea hoja zao based on historical facts, na wengi ni intellectual lazy tu Hawana muda hata wa kujaribu kusoma, kutafiti kusikiliza hoja za pande zote na kutoa maamuzi yao.
Mgogoro huu sio rahisi hata kidogo! Kuna dini ndani yake hilo halipingiki kabisa! Soma kwa mfano Charter ya Hamas! Iko wazi kabisa ni nini kinawasukuma! Is more than land and occupation! Na pia vikundi radical vya kidini nchini Israel! Kuna interests za mataifa ya kiarabu kila taifa likiangalia maslahi yake! Mfano Egypt, Jordan na Syria, kila taifa lina agenda zake! Kuna interests za Waarabu kwa pamoja kama Waarabu! Kuna Interests za US! Na pia Hata Wapelestina wenyewe tu! hawana sauti moja, sio leo toka kuanzishwa kwa PLO ( Palestine Liberation Organization) 1964, wamekuwa na sauti tofauti tofauti kati yao! Na kuwa na makundi tofauti mpaka leo tuna Hamas na PA ya Mzee Mahmod Abas, aliyoirithi toka kwa Yasser Arafat. Ni vigumu mno kuja na balanced solution katika mgogoro huu!
Hivyo ningeshauri kila anayeandika katika mada hii, inabidi afanye utafiti angalau kidogo kutetea hoja yake, kuliko kuja na ukweli nusu ( Half truth)Hii Itasaidia wengi katika kuelewa mgogoro huu, ama sivyo Wachungaji makanisani na Maimamu misikitini ndio watatulisha biased narratives ambazo hazisaidii kitu chochote!