cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Historia ya mgogoro huu ni ndefu sana sana sana kwakuwa lazima uanzie kuleeee kwa akina Nabii Ibrahi na wake na watoto wake, utawala wa waingereza Palestine, mauaji ya wayahud kule ujerumani na mataifa mengine, nguvu za wayahudi raia wa Marekani, maamuzi ya UN kuhusu Palestine na Israel, mataifa ya kiarabu hasa Egypt, Syria, Jordan, Lebanon, Iran, nk. Ni hadithi ndefu sana.
Lakini yote kwa yote Israel iliivamia na kuikalia Palestine kwamsaada wa Uingereza na Marekani.
Kavulata:
Umsema hivi......nanukuu....
" Israel imeikandamiza Palestine tangu mwaka 1967 na kuikalia kimabavu bila kujali nani anasema nini."
Basi tueleze angalau roles za Waingereza na Marekani kuikandamiza Palestina 1967? It seems your very blind on what happened on 1967!