HAMAS kuipiga Israel ni somo kali kwa watawala wote

HAMAS kuipiga Israel ni somo kali kwa watawala wote

Naqba pale Palestine ilianza rasmi mwaka 1948 au umesahau

Nahaitaisha kama kutakua na israhell pale ilipo

Ndio maana hata kule jenin na west bank watu wanauliwa na kukimbia makazi yao kama ghaza tofauti ndogo sana

Ni kweli tunaona Nakba nyingine tena mpaka akili ziwaingie!
 
Umeandika kishujaa na kijasiri mwishowe unaomba tena huruma!!! We wahamasishe HAMAS waongeze nguvu ili waiteke Israel .
 
Hapa hatuijadili chata ya hamas mzee tunajadili uvamizi wao

Ukiniletea chata ya hamas na mm ntakwambia ukatafute mahojiano ya balozi wa israhell pale London mwezi ulopita ukamsikilize aliongea nini

Hamas kama wakiamua kua na dini kwenye nchi yao kwani ubaya uko wapi si wameamua wenyewe

Mbona wazungu wanaamua kua na sheria za ushoga na usagaji

Au kipi bora kati ya dini kuendesha sirikali ama sirikali kuutambua usagaji na ushoga

Hizo propaganda za bei rahisi

Hata Charter ya Hamas imekuwa ni Propaganda.....Kweli iko shida....Labda hata hujui Hamas ilianza lini Mkuu.....! Huku ndio tunaita kuwa Brainwashed!
 
Unalopenda mzee kuwa huru yaani

Wewe ndio umeanza kutupachika majina Mkuu, leta hoja Bwana Utam......Maana nikikuita Jihadist wa Hamas, sioni hata una ubavu wa kukaa chini ya Mahandaki kama Sinwar.....Hebu tuuendelee kubonyeza Keybords tu!
 
Doh pole mzee

Nikupe pole wewe Bwana Utam......Rudia tena kusoma Charter ya Hamas....Usiukimbie ukweli.....

Hamas Covenant 1988

The Covenant
of the
Islamic Resistance Movement​


Definition of the Movement

Article One:​

The Islamic Resistance Movement: The Movement's programme is Islam. From it, it draws its ideas, ways of thinking and understanding of the universe, life and man. It resorts to it for judgement in all its conduct, and it is inspired by it for guidance of its steps.

Article Two:​

The Islamic Resistance Movement is one of the wings of Moslem Brotherhood in Palestine. Moslem Brotherhood Movement is a universal organization which constitutes the largest Islamic movement in modern times. It is characterised by its deep understanding, accurate comprehension and its complete embrace of all Islamic concepts of all aspects of life, culture, creed, politics, economics, education, society, justice and judgement, the spreading of Islam, education, art, information, science of the occult and conversion to Islam.

Article Three:​

he basic structure of the Islamic Resistance Movement consists of Moslems who have given their allegiance to Allah whom they truly worship, - "I have created the jinn and humans only for the purpose of worshipping" - who know their duty towards themselves, their families and country. In all that, they fear Allah and raise the banner of Jihad in the face of the oppressors, so that they would rid the land and the people of their uncleanliness, vileness and evils.

"But we will oppose truth to vanity, and it shall confound the same; and behold, it shall vanish away." (Prophets - verse 18).
 
Hamas waliwezaje kuivamia Israel na kuua wanajeshi na kuwateka wayahudi zaidi ya 1000?

Inajulikana kuwa Israel ni taifa lenye mifumo ya kisasa kabisa ya ulinzi ya kugundua na kupiga maadui lakini ni miezi 4 sasa inashindwa kufikia malengo yake kule Gaza. Israel imeikandamiza Palestine tangu mwaka 1967 na kuikalia kimabavu bila kujali nani anasema nini.

Hii ni kusema kuwa ukiwakandamiza sana kwa muda mrefu watu unaodhani ni dhaifu na wanyonge kwakutumia uwezo, maguvu, mamlaka na hila iko siku watu hao "dhaifu" watakuwa wakakamavu kwako na pengine kukushinda vibaya sana. Watawala tendeni haki kwa raia wenu, wazazi tendeni haki kwa watoto wenu, walimu tendeni haki kwa wanafunzi wenu, wachungaji tendeni haki kwa waumini wenu maana iko siku watu wenu watainuliwa na kubuni mbinu mpya ya kuwaangusha.
Hamas kama ALLAH vile

View: https://x.com/ImtiazMadmood/status/1746229725654130991?s=20
 
Kwamba unabisha kua israhell hawajakwapua ardhi ya watu ama?

Sasa kama unashindwa hata kuelezea nini kilitokea 1947! Kama hujui UN Partition na Resolution 181 ambayo iliigawa eneo hilo kabla ya kuisha British Mandate kwisha 1948, sasa sijui unajua nini hasa kuhusu huu mgogoro!

Hivi unajua ni nani hasa alianzisha vita 1948? Historia iko wazi kabisa, Vita vya 1948 vilianzishwa na Mataifa ya Mataifa Matano ya Kiarabu ( Lebanon, Syria, Egypt, Iraq na Saudia ilituma Majeshi yake yakapigana chini ya Egypt)

Hao ndio walioivamia Israel baada ya Israel kuukubali mgao wa hilo eneo chini ya Resolution 181 ya UN! nA Kujitangazia Uhuru wake 1948, katika Eneo walilopewa KIUHALALI na UN, KUMBUKA Waarabu walipewa sehemu yao na Wakaikataa! hawakwenda hata kuipinga UN bali waliamua kupigana! Na unajua Matokeo yake, Walishindwa vita na kuipoteza ile portion yao waliyopewa na UN!

Ni nani wa kumlaumu hasa hapo? Sio Israel ilianzisha vita hivyo! Huu ni ukweli Waarabu hawataki kuuzungumzia! Na wanashindwa kabisa hata kuilaumu UN kwa Partition hiyo! Kwa kifupi tu kama Waarabu wangeshinda vita yao ya uvamizi 1948 Israel isingalikuwepo leo! Na kama wangekubali sehemu waliyopewa na UN kwenye Resolution hiyo, leo mgogoro huo ungekuwa unasomeka kivingine kabisa!

Waarabu wametumia mara nyigi Vita kama suluhisho la mgogoro huo, na huwa wanashindwa! ...Kumbuka 1967! Wakapoteza, 1973 Wakapoteza ! Wakarudishiwa Gaza 2005 baada ya Israel kupatana Egypt, tunaona wanaipoteza tena! Tulidhani uwepo wa Iran ungebadilisha matokeo, hatuoni chochote kile! Gaza inakwenda tena Mkuu! Maandamano na kesi ya ICJ havina msaada wowote ule!

Rudia historia ndio uje na hoja bwana Utam.
 
Doh pole mzee
Bwana Utam:

Naomba unipe pole baada ya kunipa tafsiri ya hii Charter ya Hamas: Huwa nairudia tena na tena....Wengi wameingizwa mkenge bila kujua Hamas inapigania nini hasa! Tusaidie Bwana Utam!

Strategies and Methods

Strategies of the Islamic Resistance Movement: Palestine Is Islamic aqf:

Article Eleven:​

The Islamic Resistance Movement believes that the land of Palestine is an Islamic Waqf consecrated for future Moslem generations until Judgement Day. It, or any part of it, should not be squandered: it, or any part of it, should not be given up. Neither a single Arab country nor all Arab countries, neither any king or president, nor all the kings and presidents, neither any organization nor all of them, be they Palestinian or Arab, possess the right to do that. Palestine is an Islamic Waqf land consecrated for Moslem generations until Judgement Day. This being so, who could claim to have the right to represent Moslem generations till Judgement Day?

This is the law governing the land of Palestine in the Islamic Sharia (law) and the same goes for any land the Moslems have conquered by force, because during the times of (Islamic) conquests, the Moslems consecrated these lands to Moslem generations till the Day of Judgement.

It happened like this: When the leaders of the Islamic armies conquered Syria and Iraq, they sent to the Caliph of the Moslems, Umar bin-el-Khatab, asking for his advice concerning the conquered land - whether they should divide it among the soldiers, or leave it for its owners, or what? After consultations and discussions between the Caliph of the Moslems, Omar bin-el-Khatab and companions of the Prophet, Allah bless him and grant him salvation, it was decided that the land should be left with its owners who could benefit by its fruit. As for the real ownership of the land and the land itself, it should be consecrated for Moslem generations till Judgement Day. Those who are on the land, are there only to benefit from its fruit. This Waqf remains as long as earth and heaven remain. Any procedure in contradiction to Islamic Sharia, where Palestine is concerned, is null and void.

"Verily, this is a certain truth. Wherefore praise the name of thy Lord, the great Allah." (The Inevitable - verse 95).
 
Hapa hatuijadili chata ya hamas mzee tunajadili uvamizi wao

Ukiniletea chata ya hamas na mm ntakwambia ukatafute mahojiano ya balozi wa israhell pale London mwezi ulopita ukamsikilize aliongea nini

Hamas kama wakiamua kua na dini kwenye nchi yao kwani ubaya uko wapi si wameamua wenyewe

Mbona wazungu wanaamua kua na sheria za ushoga na usagaji

Au kipi bora kati ya dini kuendesha sirikali ama sirikali kuutambua usagaji na ushoga

Hizo propaganda za bei rahisi

Bwana Utam:

Unasema "Hapa hatuijadili chata ya hamas mzee tunajadili uvamizi wao" Ni Uvamizi upi unaouzungumza hasa? Maana 1948 Ni Waarabu Mataifa matano ndio Israel! Na Wakaivamia tena Israel 1973......Na Wameivamia tena October 7! Ni uvamizi gani mkuu unaouzumngumzia!
 
Bwana Utam:

Unasema "Hapa hatuijadili chata ya hamas mzee tunajadili uvamizi wao" Ni Uvamizi upi unaouzungumza hasa? Maana 1948 Ni Waarabu Mataifa matano ndio Israel! Na Wakaivamia tena Israel 1973......Na Wameivamia tena October 7! Ni uvamizi gani mkuu unaouzumngumzia!

Mkuu Utam 1948 Mataifa matano ya Kiarabu ( Lebanon, Iraq, Jordan, Egypt na Saudia ndio walioivamia Israel, ni ukweli wa Kihistoria) Mwaka 1973 ni Egypt na Syria ndio Walioivamia Israel! ) Ni ukweli wa Kihistoria pia! Gaza walirudishiwa ( Kumbuka kwanza ilikuwa chini ya Egypt! Waarabu huwa hawapendi kulizugumzia hili! Israel iliwarudishia 2005! Na hiyo haikutoshea Wakafanya uvamizi October7 !

Mbona huwa hamzungumzii uvamizi wa Waarabu.......Mmenyeshwa propaganda mpaka zimepofusha akili!
 
Hata hujui kitu wewe kuhisu Hamas. Hamas no wapalestone kwao no heri ya kufa kuliko kuwa chimi ya wayahudi, hawaogopi kufa hata kidogo. Hata walivyoivamia Israel walijuwa kuwa Israel itawaua watu wengi sana Na walijua kuwa Israel itafanya hivi inavyofanya sasa lakini Hamas imefanikiwa sana kuwaua wayahudi wengi pamoja Na kuunganisha ulimwengu ambao ulikaa kimya juu ya mateso yao yanayotokana Na udhalimu wa Israel. Leo hii kesi ya kuwatetea wapalestine iko The Hague, ICC,
Yaani kesi ya mbuzi unampa fisi? Kama ingekuwa rahisi hivyo, USA angewajibishwa na mahakama hiyo ya ICC kwa vita za Iraq, Afghanistan. Mnapigwa changa la macho kuwa ICC anaweza kubadili chochote na Israel ikawaogopa Hamas, Hezbollah.
 
Uliwaona hamas wanaandamana sehem gani
Uliwaona hamas wanaenda icj sehem gani

Hamas kamatieni hapo hapo mpaka magaidi waondoke ukanda wa ghaza kinguvu
Pole sana, Mungu awanusuru wapalestina, nchi yao imeisha, kila nyumba ni msiba, hamas wamekamatwa na kuvuliwa nguo mchana kweupe, sasa huo ushindi wa hamas uko wapi? Acheni ujinga, tuwaonee huruma watu wa palestinian, ukificha nyoka au moto lazima ukuchone, kama Israel wangeingia Gaza bila upinzani kutoka kwa hamas, majibizano ya risasi basi tungesema hiyo vita ni batili, lakini unatafuta mateka unashindiliwa risasi halafu anayekushindilia risasi anakiambia kujificha kwenye shule, msikiti,kanisa na hospitali hapo hamna namna
 
Uliwaona hamas wameenda ICJ [emoji848]

Bwana Utam:

Gaza imegauka Makambi ya WAKIMBIZI...Huku inashinda vita! Bwana Utam...peleka chochote mkuu...Chumvi......mchele.....pads za akina mama.....nepi za watoto...Hamas kweli imeleta janga....! Janga la kujitakiwa....Sinwar...Allah anamuona!

UN official describes lack of water, sanitation, food and medicine in southern Gaza (Source: Aljazeera)​


Jamie McGoldrick of the UN Office for the Coordination of Humanitarian Affairs has described dire conditions for displaced Palestinians at al-Mawasi refugee camp in southern Gaza, including a lack of tents and insufficient supplies of food, water and medicine.

Israel has declared 6.5sq km (2.5sq miles) of sandy terrain – an area half the size of London’s Heathrow Airport – in the city of al-Mawasi to accommodate more than 1.8 million Palestinians who have been forced to evacuate their homes since October 7.

Speaking from al-Mawasi camp, McGoldrick said the displaced are badly in need of humanitarian supplies.
“The Palestinian Red Crescent have set up these tents behind us but there’s not enough tents for the people who are here, the numbers who have arrived. And secondly … the services that are coming in to the camps are not sufficient, [there] are key things that are missing, water and sanitation supply, food supply and medical supplies. I know the Palestinian Red Crescent is trying to work on that but we need more assistance, we need more supplies of essential material.”
 
Watu 1000 kuuliwa Israel ni uongo wa ajabu kabisa.
Lakini majibu ni kipigo kilichopelekwa huko Ghaza na sasa Lebanon anafuata badae Iran atajuta.
Houthi atashughuliwa na wengine mpk akome.
Ziraili kazi zake kubwakubwa tu.
 
Back
Top Bottom