HAMAS kuipiga Israel ni somo kali kwa watawala wote

ICJ coz Jeshi la LGBTQ limeua watoto na Wanawake wenzao lakini limeshindwa kuwafikia waliopita mateka wao hapana chezea wanaume

By the way walienda ICJ ni SOUTH AFRICA na si HAMAS
Pambav weee
Ushabiki na kejeli za kidini haviwezi kubadilisha hali halisi ya kinachowapata Waparestina na Hamas yenyewe. Nani alikwambia kuna mashoga wengi wa Kiyaud kuliko Waarabu? Mashoga wapo kila jamii na kila dini, hisipokuwa wenzetu mnajitoa ufahamu kana kwamba hamjui kinachoendelea wakati wote tunajua na tunaona jamii ya Kiislam ilivyohathiliwa na ushoga.
 
Wameuawa wapalestina zaidi ya 23,000 dhidi ya waisrael 1,000 na kibano Bado kinaendelea huko Gaza na Kwa mtamzamo wako unaona mmeshinda vita,,DINI nyingine kuzitofautisha na ugaini ni vigumu,TATIZO uelewa kaka
 
Wayahud walimuua Yesu sembuse wapalestine. Wayahud sio wakristo na hawampendi Yesu na hawana mpango nae. Akili yako unadhani Netanyahu ni mkristo mwenzaka.
 
 
Muda huongea...
Hajielewi mleta mada Kuna nchi hazichokozwi Mfano hata Marekani na uwezo wao mkubwa wa kijasusi walivamiwa September 11 miaka ile Marekani na Magaidi wa Alkaeda akina Osama kilichofuata walipinduannchi kibao wafadhili wao na kuwaua kuanzia Osama,Gaddafi ,Raisi wa Iraki Sadamu Hussein,Kuvamia Somalia , Afghanistan na Arab Spiring iliyoondoa maraisi kibao Kwa kipigo Cha mbwa Koko Cha kivita

Nchi kama Marekani na Israel ukichokoza jiandae maghorofa kulazwa chini na kugeuzwa viwanja vya mpira na ndicho kinafanyika Gaza Sasa hivi miji imekuwa viwanja vya mpira utafikiri hazijawahi kuwepo nyumba.Visima vyote vya maji ya kunywa wamefukia na vifusi vilivyochanganywa na nzege

Miundo mbinu yote ya umeme wameharibu na kung'oa Hadi nguzo na kuziteleteza Kwa moto

Madaraja,mabarabara wameya chimbua kuwa mashimo

Hata vita iishe wapalestina wa Gaza itawachukua miaka sio chini ya mia moja kurudisha Hali ilivyokuwa

Yote wameyataka wenyewe wasingevamia Wayahudi Wala walikuwa hawana mpango wa vita
 
Kwahiyo unachoogopa wewe ni kufa kuliko kutawaliwa na kuteswa ili ufe polepole?
 
Wameuawa wapalestina zaidi ya 23,000 dhidi ya waisrael 1,000 na kibano Bado kinaendelea huko Gaza na Kwa mtamzamo wako unaona mmeshinda vita,,DINI nyingine kuzitofautisha na ugaini ni vigumu,TATIZO uelewa kaka
Hata wakati wa Nyerere tulikuwa tukiimba ni heri ya kufa kuliko kuonewa, Nyerere alitufundisha hivyo, Leo hii vijana wetu wanaona ni heri ya kuonewa kuliko kufa.
 

Kavulata!

Unaweza kutueleza ni nini kilitokea 1967! Labda itasaidia wengi! Maana kuna narratives mbali mbali kila upande! Tunaidie wana jamii.
 
Si utueleze Mkuu Kavulata....Nini likitokea Vita vya siku sita....Itakuwa ni somo kwa wengi...

Mkuu Kavulata.....Kwa nini umesema Israel imekalia hapo mahali toka 1967, kwa nini husemi kuanzia 1948? Nimeangalia mijadala mingi ndani ya Jamii Forum, naweza kusema wengi ni watupu! Ni ushabiki tu! Inawezekana ni wa Kidini (Pande zote) Na Wengine ni hamasa ya kutetea tu anayedai kaonewa! Bila kueleza kaonewa vipi!

Wewe umekuja na 1967 na kusema ndio Israel ilianza kukandamiza Israel, Sidhani uko sahihi mkuu!, Waarabu wote wanadai ni "Occupation ya Israel toka 1948" yaani miaka kama 75 ......Hivyo kuwasaidia wengi ungeelezea context ya nini kilianzisha 1967 War angalau! Kumbuka pia kuna 1956 War (Suez Canal Crisis) ! Je Israel iliamka asubuhi tu, tena ghafla na kuanzisha na kuwanyang'anya Wapelestina ardhi yao 1967? Haiko hivyo mkuu Kavulata!

Kama nilivyosema awali, wengi katika Jamii forum hawana historical context ya mgogoro huu! Hata kutetea hoja zao based on historical facts, na wengi ni intellectual lazy tu Hawana muda hata wa kujaribu kusoma, kutafiti kusikiliza hoja za pande zote na kutoa maamuzi yao.

Mgogoro huu sio rahisi hata kidogo! Kuna dini ndani yake hilo halipingiki kabisa! Soma kwa mfano Charter ya Hamas! Iko wazi kabisa ni nini kinawasukuma! Is more than land and occupation! Na pia vikundi radical vya kidini nchini Israel! Kuna interests za mataifa ya kiarabu kila taifa likiangalia maslahi yake! Mfano Egypt, Jordan na Syria, kila taifa lina agenda zake! Kuna interests za Waarabu kwa pamoja kama Waarabu! Kuna Interests za US! Na pia Hata Wapelestina wenyewe tu! hawana sauti moja, sio leo toka kuanzishwa kwa PLO ( Palestine Liberation Organization) 1964, wamekuwa na sauti tofauti tofauti kati yao! Na kuwa na makundi tofauti mpaka leo tuna Hamas na PA ya Mzee Mahmod Abas, aliyoirithi toka kwa Yasser Arafat. Ni vigumu mno kuja na balanced solution katika mgogoro huu!

Hivyo ningeshauri kila anayeandika katika mada hii, inabidi afanye utafiti angalau kidogo kutetea hoja yake, kuliko kuja na ukweli nusu ( Half truth)Hii Itasaidia wengi katika kuelewa mgogoro huu, ama sivyo Wachungaji makanisani na Maimamu misikitini ndio watatulisha biased narratives ambazo hazisaidii kitu chochote!
 
[emoji1630] Al-Qassam (Hamas) has since this morning targeted:

[emoji839]1 IOF Helicopter
[emoji839]6 Merkava tanks
[emoji839]1 APC
[emoji839]1 Military D9-bulldozer
[emoji839]3 Infantry force
[emoji839]Eliminate 2 IOF soldiers
 

Green Rajab.......Sasa kwa nini Israel inaambiwa iache mapigano? Acheni ichakazwe! Such a contradiction......
 

Hii Ni Report ya Aljezeera leo! Kwa nini mnashindwa kuisimamisha hiyo inayoitwa "Mass Killing" Unategemea ICJ Itasaidia....? Kumbuka haina meno.....na maamuzi yake yanachukua kama mwaka hivi! Unategemea Gaza itakuwa katika hali gani!

At least 23,469 Palestinians have been killed and 59,604 injured in Israeli strikes on Gaza since October 7, according to Gaza’s Ministry of Health.

In the most recent 24-hour reporting period, Israeli forces carried out 10 mass killings in the Gaza Strip, causing 112 deaths and 194 injuries, the ministry added. About 7,000 people remain missing under the rubble and are presumed dead.


“The heinous crimes carried out by Israeli forces and Palestinian armed groups since October 7 are the abhorrent legacy of decades-long impunity for unlawful attacks and Israel’s systematic repression of Palestinians,” said Omar Shakir, Israel and Palestine director at HRW.

“How many more civilians must suffer or be killed as a result of war crimes before countries supplying weapons pull the plug and otherwise take action to end these atrocities?” he asked.
 

Report ya UN inasema hivi:

" At least 1.9 million people in Gaza, or 85% of the population, have been displaced according to the UN"

Mkuu Rajab....Hebu fikiria 85% ya population inaishi kwenye Maturabai, chakula cha msaada! Sasa huu ushindi wa Hamas una faida ipi hasa? Kila kitu ni msaada! Maji! Pedi za wanawake!Hata kwenda msalani tu ni shida! Wanaosema Israel isimamishe vita si wajinga! Achana na propaganda za Hamas mkuu! Gaza ni magofu! Hiyo Kibri ya Hamas haiwafikishi popote!
 
Historia ya mgogoro huu ni ndefu sana sana sana kwakuwa lazima uanzie kuleeee kwa akina Nabii Ibrahi na wake na watoto wake, utawala wa waingereza Palestine, mauaji ya wayahud kule ujerumani na mataifa mengine, nguvu za wayahudi raia wa Marekani, maamuzi ya UN kuhusu Palestine na Israel, mataifa ya kiarabu hasa Egypt, Syria, Jordan, Lebanon, Iran, nk. Ni hadithi ndefu sana.

Lakini yote kwa yote Israel iliivamia na kuikalia Palestine kwamsaada wa Uingereza na Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…