HAMAS kuipiga Israel ni somo kali kwa watawala wote



Hii ndio Gaza...Unauuona ushindi wa Hamas: Sinwar huko ndani ya Mashimo...Allah anamuona!



 

Kavulata: Uko right kabisa, Hamas hawaogopi kufa, because Hamas is death cult! Kama vile Al-Qaida, Kwao kufa ni thawabu! Kumuua Myahudi ni thawabu! Kuuawa na Myahudi ni thawabu ! They dont care hata kwa wananchi wao ! Wamechimba Mahandaki, lakini hakuna hata moja la kuwaficha Wanawake na watoto!

Ulimsikia mmojawapo wa kiongozi wa Hamas, Mousa Abu Marzouk, tunnels ni kwa ajili yao wao Hamas, sio kwa raia wao! Alizungumza bila woga wala bila aibu!

The interview was translated by the Middle East Media Research Institute (MEMRI), which said:

Mousa Abu Marzouk, a member of the Hamas Political Bureau said in an October 27, 2023 interview that aired on Russia Today TV that the tunnels in Gaza were built to protect Hamas fighters from airstrikes, not civilians. He added that Hamas fights Israel from within the tunnels. Abu Marzouq added that since 75% of the residents in the Gaza Strip are refugees, it is the responsibility of the United Nations to protect them. He added that according to the Geneva Conventions, it is the responsibility of the “occupation” to provide civilians in Gaza “will all the services,” as long as they are under occupation.
Hamas, hawajali kabisa raia wao kufa! So long agenda yao inakwenda! Ona matokeo!
 
Hamas wamezuia meli zote kwenda Israel unayo habari?

Rekebisha usemi wako! Wamezuia meli zozote zile kupita Red Sea......Ni kama wana wazimu vile! Hivi unadhani watafika wapi Kavulata! Saudia iliwabakiza huko nyuma, naona wanatafuta mwisho wao!

"US and UK launch multiple airstrikes on Houthi targets in Yemen​

Coalition forces struck over 60 targets in Yemen against Houthi forces after the Iran-backed group attacked commercial shipping in the Red Sea. More than 100 precision-guided munitions were used in the strikes on command and control nodes, munitions depots, production facilities and air defense radar systems, according to a US Air Force commander."​

 

Kavulata:

Angalia nukuu yako:

" Wapalestine wana akili nyingi mno, sasa hivi dunia nzima akiwemo hata wewe mnawaongelewa wao, bila hivyo mngekaa kimya vitandani mwenu."

Boko Haram walizungumzwa ulimwengu mzima! Al-Qaida ilizungumzwa ulimwengu mzima!Osama bin Laden alizungumzwa ulimwengu mzima! Huko ndio kuwa na akili! Wewe ndio umeanzisha uzi huu! Ulitaka tukae kimya Kavulata!

Naona unatupa kigezo kipya cha kupima akili!
 
Sasa hao Hamas wako wapi ili kuwalinda hao wanawaje na watoto?
 
Mpuuzi kweli wewe, wanafaidika nini iwapo watu wao wanakufa huku miji ikibomolewa? Dini imekutia upofu, shtuka.
 
Huna ujualo unaongozwa na chuki. Kama sasa hawana nguvu tena mbon vita mpaka sasa havijasitishwa sababu ikiwa bado malengo hayajafikiwa.
Hivi unajua kwa miaka zaidi ya 16 wamekuwa wakiishi ndani ya gereza kubwa duniani wakiwa under total blockage? Na wamekuwa wakiuwawa kila wavamizi wanapojiskia..sasa Gaidi ni nani? Kwa kuwa unaongozwa na chuki dhidi ya waarabu na waislamu huezi ona jambo hili.
Msome vizuri Mandela na Mwalimu Nyerere ndo utaelewa. Au pia pata maelezo ya Tundu Lisu kwenye hii kadhia.
Kama umekaririshwa na Kasisi wako kuwa Wao ni Taifa teule sawa
 
Mwaka 1947/48 ndio episode ya kwanza ya uvamizi wa taifa la Palestine.
 
Kama Israel imepoteza.
1. Maandamo ya wavaa kobazi London ya nini?
2. Sasa hivi mnaenda CJ kutafuta huruma.
Kiufupi GAZA inatia huruma, mji umekuwa magofu na haifai tena kwa kuishi
Waarabu hawakwenda ICJ, mwaarabu kufa kwake ni sehemu ya ibada. Waliokwenda ICJ ni wengine kabisa. Israel wamewashindwa Hamas badala yake wanaua watoto wao. Yaani ni sawa na dula mbade apigwe na twaha kiduku halafu yeye aende akalipize kisasi kwa kumpiga mkewe na watoto wa Kiduku.
 
Ungekuwa unajua lolote basi ungefahamu kuwa wanaopigana kule Gaza sio Israel, bali ni Marekani, ufaransa, Uingereza, ujerumani, Italy na Israel kama umbrella.
 
Wameshaamaliza trionl 180 mpaka sasa ni uchumi kuvurugika
 
unavuta bangi?
 
Wameshaamaliza trionl 180 mpaka sasa ni uchumi kuvurugika
Waliwaunderate, walidhani ingewachukua masaa 48 hadi 72 TU Sasa ni zaidi ya siku 100. Wani wanapige pale? Hamas wako wangapi? Wako wapi? Wana silaha gani?. Mpaka Sasa Israel inahesabika kuwa imeshindwa na hamas vibaya sana, inasaidiwa na wanataifa mengine TU kuua watoto na wanawake.
 
Wakijibu mapigo mnaanza kulialia.
Kujibu mapigo kwa kunyima maji na chakula watoto wadogo ni kujibu mapigo? Hatushangai kwani walimuua Yesu na walitaka kumuua Yesu utotoni kwa kuwaua watoto wote wa kiume waliozaliwa. Hii haishangazi ni kwanini wayahud hawaoni tabu kuua watoto na wanawake wasiohusika na lolote.
 
Nakuuliza tena Unaijua Partition Plan ya UN 1947! Umeisoma Article 181 iligowanya eneo hilo? Au unaimbishwa na Maimamu msikitini?
jf ni jukwaa la kuelimishana pia, wewe kazi yako ni kuuliza wengine maswali? kama una unachofahamu kwa ufasaha waelimishe wengine.
 
Kugeuza gaza magofu na kuuwa watu hovyo hakuwaathiri chochote Hamas kwa sababu Hamas hakuhusika kuyajenga hayo majengo na wala hatahusika kuyajenga hayo majengo yaliyo haribiwa bali watakao wajibika kuyajenga ni umoja wa mataifa, njia pekee ya kuiathiri hamas ni kuharibu karakana zake anazo tumia kutengeneza silaha kitu ambacho Israel mpaka sasa imeshindwa kukifanya.

Alafu jaribu kujielimisha juu ya masuala ya kijeshi kuliko kuja humu kujitia ujuaji wakati ww ni kilaza mzuri tu.
Nenda kawaulize waalamu wa masuala ya kijeshi wakufundishe nini tafsiri ya ushindi katika vita maana naona unabwabwaja tu.
 
Wewe shabikia tu Hamas. Haujui kuwa Hamas ni arm of the Muslim Brotherhood ambao wamepigwa Marufuku ktk nchi nyingi za Kiarabu. Hawa Muslim Brotherhood ndiyo wanaowalisha upotofu ktk Quran. Ona sasa Serikali ya Egypt imetangaza mafundisho potofu ya Muslim Brotherhood ya "Annal Jihad" na masheikh wao wanabariki hiyo.
Ona hapa chini

View: https://www.youtube.com/live/CkN4tSuxL7I?si=xePn6vKYrZbHPYGf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…