HAMAS kuipiga Israel ni somo kali kwa watawala wote

Wanaonyimwa maji na chakula ni kina nani? Je jukumu la kuwapa maji na chakula ni la huyo unayemlaumu?
 
Wewe ndio umeanza kutupachika majina Mkuu, leta hoja Bwana Utam......Maana nikikuita Jihadist wa Hamas, sioni hata una ubavu wa kukaa chini ya Mahandaki kama Sinwar.....Hebu tuuendelee kubonyeza Keybords tu!
Ita vyovyote kijana kua na amani umeuliza umejibiwa naona unakwepa kwepa
 
Chata ya hamas naijua ina shida gani kwani???
 
Kwa akili ndogo ya waarabu na ya kwako mlifikiri watatafutwa Hamas.😁😁😁😁😁 Hamas walisahau nao wanaraia Gaza. Kipimo utakachotumia ndicho kitatumika kupimiwa.
Siku ukija kwenye kijiji chetu, kuua na kuteka raia wa kijiji chetu na sisi tukija kwenye kijijini chenu tutafanya kama mlivyofanya kwetu
 
Sisi tuliopitia jeshi Ushindi kwenye vita ni kuyafikia malengo ya kuanzisha vita. Hamas malengo yake yalikuwa ku draw attention ya ulimwengu kuhusu mateso wanayopewa na Israel kuwazingira pande zote kwa miaka mingi bila jumuiya ya kimataifa kufanya chochote, na kukaliwa ardhi Yao kimabavu. Malengo ya Israel yalikuwa kuwarejesha mateka wote na kuwaua Hamas wote mara moja na milele wasionekane tena. Nani kashinda vita kati ya hawa wawili?
 
Tofauti yao ni kwamba wayahud wanaogopa sana kufa na wapalestina hawaogopi sana kufa. Hamas na wapalestine wameuawa sana na wayahud tangu Wayahud walipoyakalia naeneo yao tangu mwaka 1948 mpaka sasa. Mpalestina anaweza kumpiga jiwe myahad mwenye bunduki na mizinga. mtoto Mpalestina anaweza kumchoma kisu askari mhahyd bila kujali kitakachomtokea baadae, hawana kitu cha kupoteza maisha haya mafupi sana hapa duniani. Hata Hamas na wapelestine waliyajua haya yanayotkokea kuwa yatatokea baada ya kuwavamia wayahud na kuteka wayahud na watu wengine siku ya october 7, 2023. Wangeshangaa sana kama yasingewatokea. lengo kuu la Hamas lilikuwa kuwapa adhabu wayahud, kukomboa jamaa zao waliotekwa/fungwa na wayahud, na kupaza sauti zao kwenye jumuiya ya kimataifa (draw attention). Shabaha zoo zote zimefikiwa, nani mshindi hapo?.
 
Kwahio vita isha isha
 
Tuache kushabikia vita, waarabu wa siku hizi sio kama wale wa 1948. kama Mfumo wa ulinzi wa anga umepigwa kinachofuata ni nini?.

View: https://www.youtube.com/watch?v=Js6_QbctZ1k
 
Tuache kushabikia vita, waarabu wa siku hizi sio kama wale wa 1948. kama Mfumo wa ulinzi wa anga umepigwa kinachofuata ni nini?.

View: https://www.youtube.com/watch?v=Js6_QbctZ1k
Wangekuwa waarabu wa siku hizi siyo wale 1948 wangetangaza vita😁😁😁
Hao Hezbollah ni kama panya road tu mpaka sasa hawana cha kuifanya Israel. Watangaze vita kwamba Lebanon vs Israel waone moto.
Wale magaidi wa kiislamu wa Houthi, wanapelekewa moto kwao Yemen😁😁😁😁😁
Maandamano kila kona mpaka hapa TZ walitaka kuandamana. Sasa hivi wametuma kibaraka wao ICJ Mkae kwa kutulia
 
bILA NATO Israel haipo na isingekuwepo. Tumia akili hata kidogo tu unapotaka kuandika chochote. Wanaopigana Gaza sio Israel pekee. Adui namba moja wa Saudi Arabia ni Iran (shia), sio Israel na Marekani (ukristo). Saudia inapata ulinzi dhidi ya Iran kutoka Marekani na Marekani ina kambi zake Saudia kwaajili ya kulinda maslahi yake ndani ya waarabu. Saudia inatoa usaidizi kwa Marekani kuwashambulia wahouth wa Yemen wanaoungwa mkono na Iran. Lakini ni maswala ya muda, za mwizi ni 40.
 
Yani Israel wanepiga picha kwenye bunge la Hamas Kwa kuua watoto na wanawake? Afu hii vita ni kama ya magaidi na serikali maana hamas wamejificha sasa wakipiga Israel anajibu eneo mapigo yametoka mnasema wanawake na watoto kwamba mnamaanisha hamas hawapi sio? Israel hajafanikiwa akat watu wameondoka hamas ni magofu TU imebaki sehemu kubwa
 
Kwavyovyote vile Hamas haiwezi kuyashinda majeshi ya Israel na washirika wake NATO. Israel, Saudia na Egypt zinalindwa na NATO.
 
Israel kuichakaza Gaza somo Kwa Magaidi Wote. Gaza imefanywa Magofu Hamas wamekimbia
Wapiganaji wa HAMAS wanashambulia juu ya uso wa dunia kisha wanarudi chi ardhini kujificha wanaacha familia zao juu ya uso wa dunia ndio maana mashambulizi ya Israel yanaua sana wanawake, watoto na wagonjwa ambao hawaruhusiwi na HAMAS kuambatana nao huko chini ardhini.
 
Mpaka Januari 15 watu wapatao 24,000 walikuwa wamekufa katika Vita ya Israel na Hamas baada ya uvamizi wa Hamas;
Kati ya hao
1. Wapalestina 23,469
2. Waisraeli 1,200
3. Waandishi wa Habari 82 (75 Palestinian, 4 Israeli and 3 Lebanese)
4. Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa 136
5. Watanzania 2

Unaona huu ni ushindi wa Hamas?

Kama una mpango wa kuvamia kwa kushtukiza lakini ukakosa mpango wa kujilinda baada ya mashambulizi basi ni hesabu mbaya za kivita.

Ningeona ni jambo la maana kama HAMAS wangekuwa na mpango wa kupigana na Israel kwa kiwango cha juu na sio kusababisha maafa kwa Wapalestina.

Note: Siungi mkono vita wala madhira wanayofanyiwa Wapalestina na wala siungi mkono harakati dhaifu za HAMAS
 
Hizo akwimu umezitoa wapi (source). acha kilisha watu matangopori. Hao watu 1200 ndio waliotangazwa kufa siku ya uvamizi ya Octoba 7, 2023. Kwahiyo hajafa mwingine yeyote yule upande wao?
 
Hizo akwimu umezitoa wapi (source). acha kilisha watu matangopori. Hao watu 1200 ndio waliotangazwa kufa siku ya uvamizi ya Octoba 7, 2023. Kwahiyo hajafa mwingine yeyote yule upande wao?
Unajua tatizo lako ni kudhani tunabishana na kutokusoma.

Badala ya kupingana na takwimu zangu na wewe ungekuja na za kwako, ila kwa kuwa huna elimu( tofautisha kuhudhuria shule na kupata elimu hayo ni mambo tofauti) acha nikusaidie kidogo.

Pitia hizo link hapo halafu urudi tuendelee na mjadala kama utakuwa na hoja nyingine.

1. Al - Jazeera


2. BBC


3. Wikipedia


4. New York Times


5. Al Monitor


6. The Guardian


7. CBS

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…