Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Hamas ilithibitisha kusonga mbele na kukabidhi mateka kama ilivyopangwa Jumamosi baada ya kupokea uhakikisho kutoka kwa wapatanishi wa kujitolea kwa Israel katika mpango wa kusitisha mapigano Gaza.

Wakati wa hatua ya kwanza ya mpango wa kubadilishana, Israeli ilitakiwa kuruhusu kuingia kwa misaada ya kutosha, mahema, na misafara. Hata hivyo, kwa kukiuka mpango huo, Israel ilipunguza kasi ya mchakato huo na kuzuia kuingia kwa bidhaa hizi.

Kujibu, upinzani ulitangaza kuahirishwa kwa kuachiliwa kwa mateka watatu, ambayo ilikusudiwa Jumamosi ijayo.

Wapatanishi walifanikiwa kusuluhisha hali hiyo na kuitaka Israel kuruhusu vifaa na misaada kama ilivyokubaliwa.

Jumamosi hii, itifaki ya makabidhiano itaendelea, na mateka watatu wataachiliwa kwa kubadilishana na idadi iliyokubaliwa ya wafungwa wa Kipalestina na waliotekwa nyara.

View: https://x.com/qudsnen/status/1890316283452764581?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Najua kabisa silaha kuu kwa Wafuga Midevu na Majini ni Matusi na Kuba sika watu mamina ili tu ku kutoa kwenye reli. Kwanza matusi yako hawawezi kukusaidia kujibu hoja zangu ,Israel haijawahi kusitisha kupeleka misaada Gaza lakini magaidi wa Hamas walikuwa wana Test Mitambo yao sasa Netanyahu kawaambia ifikapo saa 6 mchana Jumamosi bila Hamas kuachiwa mateka basi yeye atalifungua lango la kuzimu bahati mbaya kabisa magaidi hao wameogopa na kutangaza kuwa wafungwa watawaachia, washukuru Allah wao kawashitua mapema safari hii walikuwa wanaisha wote kabisa nguruwe hawa!!
Kwaiyo wewe mlokole kuita Binadam wenzio nguruwe ndio ulokole wako umekuelekeza ivyo!!! Msingi upo na ww unajua Hamas walichokigomea ni uchache wa makubaliano yani leo kwa siku 1 inatakiwa malori 50 ya Mchele Sasa Israel ikawa inazuiya Kule Borde yapite 20 tu kwa siku ivyo ivyo kwenye Bidhaa zengine kinyume na Mkataba!!! Ndio HAMAS ikasema Inasitisha kuendelea kuachia mateka adi malekebisho yafanyike ikiwemo kufidia upungufu ulisababishwa na Israel
 
Wewe ndiyo hakuna kitu kabisa hujui kitu umieją zwą ujinga na masheikhe wenu msikitini leo hii Niki ku uliżą tu Historia ya Palestina hujui lakini humu umekomaa na kushupaza shingo zaidi mmejazwa matusi tu kwa watu. Humjui mnachoshabikia muulize babu yenu Ritz nimeipima akili yake kwa maswali macha he nikaona hakuna kitu hapo naye anashabikia asichokijua mnaishambulia Israel msiyoijua na kuwashabikia Wapalestina msiowajua mmemezeshwa Propaganda za kijinga na waarabu!! Hakuna hoja yoyote mnaweza kutoa bali matusi tu. Someni historia muondokane na Ujinga.
Aliye anzisha matusi nani? Mimi au wewe.

We unajua history za Watoto wa Israel ni nani? Hivi unadhani watoto wa Yakobo ni Wayahudi tu pole sana.

Kwanza Israel ni nini mana yake unajua? We unadhani ni nchi? Hichi kitaifa sikiliundwa na Waingereza mwaka 1948.

Kenge atabaki kuwa kenge tu

Hamasi piga kenge hao wasipo kubali masharti yako.
 
Licha ya uharibifu mkubwa wa Gaza, ikiwa ni pamoja na kulipuliwa kwa vyuo vikuu 927, shule na chekechea, na kuuawa kwa wafanyikazi 800 wa masomo, Wapalestina wanaendelea kuthibitisha kwamba elimu ni haki na silaha ya ustahimilivu na kuendelea kuishi.

Ukanda wa Gaza ni nyumbani kwa idadi kubwa ya watu wenye elimu ya juu, wenye shahada za uzamili na uzamivu, ambao wamejitolea kutoa mafunzo ya mtandaoni licha ya ugumu usiofikirika.

Katika kambi za kuhama na makazi ya muda, elimu haikukoma, ambapo walimu na watu waliojitolea walipanga masomo kwa watoto haraka.

Katika video hii, mwandishi wa habari wa Marekani Jess Watters, mtangazaji katika Fox News ya mrengo wa kulia, anajaribu kuhalalisha bila mantiki kwa nini ni vyema kwa Trump kuwafukuza Wapalestina kutoka Gaza.

Anadai kuwa Wapalestina hawajasoma na ni tishio la idadi ya watu kwa Israeli kwa sababu kiwango cha kuzaliwa kwa mwanamke wa Gaza, kuzaa watoto, kinazidi kile cha Israeli, ambaye anaweza kuzaa watoto wawili tu.

View: https://x.com/qudsnen/status/1890353731100618862?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Aliye anzisha matusi nani? Mimi au wewe.

We unajua history za Watoto wa Israel ni nani? Hivi unadhani watoto wa Yakobo ni Wayahudi tu pole sana.

Kwanza Israel ni nini mana yake unajua? We unadhani ni nchi? Hichi kitaifa sikiliundwa na Waingereza mwaka 1948.

Kenge atabaki kuwa kenge tu

Hamasi piga kenge hao wasipo kubali masharti yako.
Ndipo ulipoishiap

Hapo ndipo ulipoishia na kweli umegota hata huwezi kufurukuta nikuulize swali dogo tu ni ambie kwenye Qurani yako Israel imetajwa mara ngapi na niambie kama kuna neno Palestina limeandikwa kwenye hiyo Quran yenu hiyo Kisha jiulize kwa nini!! Nawa juma sana ninyi mmefuzu sana kwenye matusi tatizo lenu mmekosa hoja tu!!
 
Awa Wazungu wameamia seem kama msukuma kanunua mifugo kuipeleka Shambani kwake!!!! Leo mifugo inadai lile eneo ni lao tangu na tangu japo Ushaidi upo!!!

Lkn Kwakua kuna Usemi usemao mbuzi kafia kwa muuza Supu palepale Palestina ndio kwa muuza Supu ardhi ya Palestina inapatikana kwa DAMU sio pesa!!!! Kazi wanayo.
Propaganda uchwara hizo!!
 
Kuna Wayahudi weusi wa Ikizu na Uyole wanasema Hamas hawana mateka mwingine kasema wamekonda wanataka kuwapa chakula wanenepe😀

View: https://x.com/suppressednws/status/1890366847221993935?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Magaidi wa Hamas waliteka nyara familia ya Bibas na watoto wake wachanga mpaka leo hii wamewashikilia hii inadhibitisha wazi kuwa hawa ni Magaidi!! Unatekaje mama na watoto wake wa miaka 2 ??? Harafu kuna mijitu humu eti inawaita wapigania uhuru!!!
 
Mlokole utakuwa umebatizwa kusema uongo lete ushaidi uyo mama na watoto wa2 uyo mama ai aliachiwa kitambo tena Free akisaidiwa kubebewa Watoto!!! Jamaaa muongo sana !!!! Mlokole ww funga kazi kwa uwongo!!!
 
Mlokole utakuwa unebatizwa kusema uongo lete ushaidi uyo mama na watoto wa2 uyo mama ai aliachiwa kitambo tena Free akisaidiwa kubebewa Watoto!!! Jamaaa muongo sana !!!! Mlokole ww funga kazi kwa uwongo!!!
Magaidi wa Hamas ambao ni wabakaji, watekaji nyara watoto wadogo wiki mbili zilizopita walimwachia Mme wa Mama huyu harafu wakabaki na Watoto na Mama yao kwa haraka haraka unaweza kupata jibu kwa nini Magaidi hawa wanafanya hivyo. Waarabu-koko wa Buza hiyo hapo video
 
Attachments

  • Israel__Mother,_children_and_grandparents_are_kidnapped_by_Hamas_gunmen(360p).mp4
    3.9 MB
Kuna Wayahudi weusi wa Ikizu na Uyole wanasema Hamas hawana mateka mwingine kasema wamekonda wanataka kuwapa chakula wanenepe😀

View: https://x.com/suppressednws/status/1890366847221993935?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hamas ni Magaidi wanaachia watu wazima na kuwaacha watoto wadogo na Mama yao Israel ilitaka wafunguliwe kwanza watoto na mama yao lakini Magaidi hao wameendeleza kushupaza fuvu tunajua nia yao ni kuendelea kumfanyia vitendo viovu huyo mama!! Hamas ni Magaidi wanastahili kupigwa sana eti wanaitwa Wapigania uhuru!! Kumbe siku hizi ukiwa Mbakaji,Mtekaji nyara na muuaji unaitwa Mpigania uhuru!!
 
Back
Top Bottom