Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo wewe mlokole kuita Binadam wenzio nguruwe ndio ulokole wako umekuelekeza ivyo!!! Msingi upo na ww unajua Hamas walichokigomea ni uchache wa makubaliano yani leo kwa siku 1 inatakiwa malori 50 ya Mchele Sasa Israel ikawa inazuiya Kule Borde yapite 20 tu kwa siku ivyo ivyo kwenye Bidhaa zengine kinyume na Mkataba!!! Ndio HAMAS ikasema Inasitisha kuendelea kuachia mateka adi malekebisho yafanyike ikiwemo kufidia upungufu ulisababishwa na IsraelNajua kabisa silaha kuu kwa Wafuga Midevu na Majini ni Matusi na Kuba sika watu mamina ili tu ku kutoa kwenye reli. Kwanza matusi yako hawawezi kukusaidia kujibu hoja zangu ,Israel haijawahi kusitisha kupeleka misaada Gaza lakini magaidi wa Hamas walikuwa wana Test Mitambo yao sasa Netanyahu kawaambia ifikapo saa 6 mchana Jumamosi bila Hamas kuachiwa mateka basi yeye atalifungua lango la kuzimu bahati mbaya kabisa magaidi hao wameogopa na kutangaza kuwa wafungwa watawaachia, washukuru Allah wao kawashitua mapema safari hii walikuwa wanaisha wote kabisa nguruwe hawa!!
Aliye anzisha matusi nani? Mimi au wewe.Wewe ndiyo hakuna kitu kabisa hujui kitu umieją zwą ujinga na masheikhe wenu msikitini leo hii Niki ku uliżą tu Historia ya Palestina hujui lakini humu umekomaa na kushupaza shingo zaidi mmejazwa matusi tu kwa watu. Humjui mnachoshabikia muulize babu yenu Ritz nimeipima akili yake kwa maswali macha he nikaona hakuna kitu hapo naye anashabikia asichokijua mnaishambulia Israel msiyoijua na kuwashabikia Wapalestina msiowajua mmemezeshwa Propaganda za kijinga na waarabu!! Hakuna hoja yoyote mnaweza kutoa bali matusi tu. Someni historia muondokane na Ujinga.
Ndipo ulipoishiapAliye anzisha matusi nani? Mimi au wewe.
We unajua history za Watoto wa Israel ni nani? Hivi unadhani watoto wa Yakobo ni Wayahudi tu pole sana.
Kwanza Israel ni nini mana yake unajua? We unadhani ni nchi? Hichi kitaifa sikiliundwa na Waingereza mwaka 1948.
Kenge atabaki kuwa kenge tu
Hamasi piga kenge hao wasipo kubali masharti yako.
Hapo ndipo ulipoishia na kweli umegota hata huwezi kufurukuta nikuulize swali dogo tu ni ambie kwenye Qurani yako Israel imetajwa mara ngapi na niambie kama kuna neno Palestina limeandikwa kwenye hiyo Quran yenu hiyo Kisha jiulize kwa nini!! Nawa juma sana ninyi mmefuzu sana kwenye matusi tatizo lenu mmekosa hoja tu!!Aliye anzisha matusi nani? Mimi au wewe.
We unajua history za Watoto wa Israel ni nani? Hivi unadhani watoto wa Yakobo ni Wayahudi tu pole sana.
Kwanza Israel ni nini mana yake unajua? We unadhani ni nchi? Hichi kitaifa sikiliundwa na Waingereza mwaka 1948.
Kenge atabaki kuwa kenge tu
Hamasi piga kenge hao wasipo kubali masharti yako.
Propaganda uchwara hizo!!Awa Wazungu wameamia seem kama msukuma kanunua mifugo kuipeleka Shambani kwake!!!! Leo mifugo inadai lile eneo ni lao tangu na tangu japo Ushaidi upo!!!
Lkn Kwakua kuna Usemi usemao mbuzi kafia kwa muuza Supu palepale Palestina ndio kwa muuza Supu ardhi ya Palestina inapatikana kwa DAMU sio pesa!!!! Kazi wanayo.
Kuna Wayahudi weusi wa Ikizu na Uyole wanasema Hamas hawana mateka mwingine kasema wamekonda wanataka kuwapa chakula wanenepe😀
View: https://x.com/suppressednws/status/1890366847221993935?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mlokole utakuwa umebatizwa kusema uongo lete ushaidi uyo mama na watoto wa2 uyo mama ai aliachiwa kitambo tena Free akisaidiwa kubebewa Watoto!!! Jamaaa muongo sana !!!! Mlokole ww funga kazi kwa uwongo!!!Magaidi wa Hamas waliteka nyara familia ya Bibas na watoto wake wachanga mpaka leo hii wamewashikilia hii inadhibitisha wazi kuwa hawa ni Magaidi!! Unatekaje mama na watoto wake wa miaka 2 ??? Harafu kuna mijitu humu eti inawaita wapigania uhuru!!!
IDF wanapambana na Hamas.Magaidi wa Hamas waliteka nyara familia ya Bibas na watoto wake wachanga mpaka leo hii wamewashikilia hii inadhibitisha wazi kuwa hawa ni Magaidi!! Unatekaje mama na watoto wake wa miaka 2 ??? Harafu kuna mijitu humu eti inawaita wapigania uhuru!!!
Magaidi wa Hamas ambao ni wabakaji, watekaji nyara watoto wadogo wiki mbili zilizopita walimwachia Mme wa Mama huyu harafu wakabaki na Watoto na Mama yao kwa haraka haraka unaweza kupata jibu kwa nini Magaidi hawa wanafanya hivyo. Waarabu-koko wa Buza hiyo hapo videoMlokole utakuwa unebatizwa kusema uongo lete ushaidi uyo mama na watoto wa2 uyo mama ai aliachiwa kitambo tena Free akisaidiwa kubebewa Watoto!!! Jamaaa muongo sana !!!! Mlokole ww funga kazi kwa uwongo!!!
Hizo propaganga ni mapunguani peke ndiyo bado wanaziamini.Magaidi wa Hamas ambao ni wabakaji, watekaji nyara watoto wadogo wiki mbili zilizopita walimwachia Mme wa Mama huyu harafu wakabaki na Watoto na Mama yao kwa haraka haraka unaweza kupata jibu kwa nini Magaidi hawa wanafanya hivyo. Waarabu-koko wa Buza hiyo hapo video
Kuna Wayahudi weusi wa Ikizu na Uyole wanasema Hamas hawana mateka mwingine kasema wamekonda wanataka kuwapa chakula wanenepe😀
View: https://x.com/suppressednws/status/1890366847221993935?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw