Hamas limewaua wanajeshi kadhaa wa Israel huko Gaza na kuwateka wengine 4

Hivi hukuona picture na video kwenye hi mada.
Hizo picha ulizoweka hapa ni za Oct 07,2023 tupe za leo za askari waliotekwa na magaidi wa Hamas!! Tafuta tafuta labda waweza pata hata ukikosa sana zi edit tu!!
 
Hizo picha ulizoweka hapa ni za Oct 07,2023 tupe za leo za askari waliotekwa na magaidi wa Hamas!! Tafuta tafuta labda waweza pata hata ukikosa sana zi edit tu!!
Wapi nimeweka picture mimi sikuweka picture unachangan'yikiwa au lakini habari hi hapa Israel wanawatafuta askari 4 walienda kuwaokoa mateka 10 sa wamewapa Hamasi 4 wengine leo. Israel karudisha jeshi lake nyuma kaona moto, we kula mhogo mbichi ukichoka muite Shetanyahu akusaidie


View: https://youtu.be/_fJ_Nx6Uc9A?si=QJdhOkKKXlhonVBj
 
We msenge kweli wewe.
Hivi unajielewa wewe!?
Lete ushahidi hapa kuwa hizo silaha zinatoka Qatar na Saudi Arabia!?
Hizo silaha zinauzwa na weapons smugglers kutokea Yemen.
Msisingizie nchi za watu zilizotulia.
Hiyo Sudan kusini imejitenga ila bado Ina mzozo miezi miwili nusu wamiminiane tena risasi kisa tu uchu wa madaraka.
Hapo Sudan Kaskazini RSF wakikukuta wewe unawaunga mkono serikali kuu haijalishi uwe mwarabu ama nani lazima ulambwe shaba.
RSF wamewakodi hadi Bokoharam ili tu wapambane dhidi ya jeshi la Serikali wachukue nchi.
Unakuja kuleta uongo usio na maana hapa!?
Unatuchukuliaje wewe?
Unadhani sisi ni mafala wenzako!?
Silaha hizo watu wanachukua toka Yemeni kupitia black market sio Qatar wala Saudi Arabia wanahusika.
Peleka ujinga wako huko usitufanye sisi mafala wenzako.
 
Acha uongo shambulio hilo limefanyika usiku na hizi picha zinaonyesha wazi ni mchana kweupe!! Jitahidi basi utuletee picha za leo wakati askari wa Israel mnawateka tuonyeshe picha zao hata kama za photoshop!! Wajinga wenzako watakubaliana na sisi wajuaji tutakuambia utoe ujinga wako!!
 
Kwa hiyo hamas hawana njaa au mm ndio sielewi? Si gaza kuna utapiamlo mpaka watu wanakufa kwa njaa au?
Alqassam brigade ina namna inavyoendesha operation zake hawana njaa wale.
Wenye njaa ni mamilioni ya raia wa Gaza.
Hamas walishajipanga na Kila kitu since day one ndani ya mahandaki.
 
Uhai na ardhi kipi bora?
Uhai wa manyanyaso mkuu!?
Sawa umeachiwa ardhi ila Kila kukicha hao waliokuachia ardhi wanakuja wanakamata watoto zako wanawafira mbele yako wanawachezea mabinti zako na wewe wanakutia vidole.
Utachagua kukausha kisa umepewa ardhi au kupambana uondoe uonevu!?
Hayo nilokutolea mfano ndio uhalisia unaofanyika Kila siku Gaza na West bank.
 
Alqassam brigade ina namna inavyoendesha operation zake hawana njaa wale.
Wenye njaa ni mamilioni ya raia wa Gaza.
Hamas walishajipanga na Kila kitu since day one ndani ya mahandaki.
Daaah
 
Achana na bwege hilo alijua lolote zaidi ya porojo eti silaha zinatoka Saudia na Qatar shoga kweli😅
 
Umbea.com
 
Picha za askari hawa walikufa vitani 2024 nashangaa leo wametekwa tena na Hamas ama kweli “Yajayo yanafurahisha”
Hhahah😅

Yahudi mweusi wa Uyole hataki kabisa kukubali.
 
Ukijua kusudi la wewe kuwepo duniani, kuna baadhi ya vitu lazima uvipuuze tu.
 
Uongo mimi siwezi kukubali maana najua ukweli wadanganyeni Wafuga Midevu na majini wenzenu tu!!!
Kwahio media za mazayuni zinasema uongo hakuna 4 missing solders? Hii taarifa ni uchi wa kuku mtasema TU Hamas wameshasema ni kifo au uwe mateka ni wao kuchagua wawe upande upo usiwe na haraka mpaka taarifa zitakufikia tu saivi Bado Kuna msako mshenzi
 
Tayari mmenyosha mikono hao wanne kwishnei wewe kaza fuvu Kwa Hebrew media
**************
Hebrew media now reporting that the IDF search and rescue has 'given up' on the 4 missing soldiers, and the Israeli government is preparing a major press release.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…