hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,678
- 27,653
Hamas ni asasi ya mkakati kama Alqaida. Hamas ni kama Uislamu ulivyoundwa na Vatican kwa mkakati maalum. Kuna muda Uislamu uliasi ndivyo Hamas ilivyo asi. Qatar kulingana na mkataba ndio mtoa pesa kwa Hamas. Hivyo wanaanzisha jambo kwa maslahi mapana. Hamas haiwezi pewa Gaza maana lengo sio wao kupewa bali kupasua umoja wa Wapalestina. Hamas haijashinda vita bali imesukuma tu malengo ya greater Israeli kupitia Abraham accord.
October 7, 2023 imefanikisha haya,
1) Kuvunja nguvu za Hezbollah
2) Kupinduliwa kwa Assad
3) Wapelestina kudhoofishwa kabisa
4) Iran kushambuliwa na kutiwa ulemavu
5) Kudhoofishwa kwa Houthis
6) Kutia woga Waarabu
7) Ardhi ya kusini mwa Syria kunyakuliwa
8) Ardhi ya Lebanon kusini kunyakuliwa
9) West bank kudhibitiwa mazima
Bado 10 ambayo itakuwa ni kubomolewa kwa msikiti wa Al aqsa na kujenga hekalu la tatu na kujengwa ufalme wa Yerusalem. Nyimbo za uzinduzi zimeshaandaliwa, Waarabu/Waislamu na Wakristo wakiongozwa na Papa wataalikwa wakishuhudia Ng'ombe mwekundi (“Red Heifer") akichinjwa kwajili ya sadaka ya farakano; na dunia kutangaziwa amani. Itakuwa ni sherehe kubwa sana duniani. Wapalestina wakati huo watakuwa wamepewa taifa la uongo na amani bandia. Huu sio unabii ni mkakati ya siku nyingi.
Wabishi mtabisha lakini mtaendelea kuyaona kwa macho yenu haya yote yakitokea.
Hamas ni Panya wa kimkakati tu.