Hamas ni kama Uislamu ulivyoundwa na Vatican kwa mkakati maalum

Hamas ni kama Uislamu ulivyoundwa na Vatican kwa mkakati maalum

ili kuhani aweze kutakaswa kwa huduma ya hekalu, lazima majivu ya ng’ombe mwekundu yachanganywe na maji ya utakaso.
Hesabu inahusiana nini na agano jipya more so ujio wa pili wa Yesu?

Imagine haya yakifanywa na manabii wa bongo kina mwamposa si mnaitaga uchawi ila akifanya myahudi ndio inakua utakaso halali hahahhaha
 
Hamas ni asasi ya mkakati kama Alqaida. Hamas ni kama Uislamu ulivyoundwa na Vatican kwa mkakati maalum. Kuna muda Uislamu uliasi ndivyo Hamas ilivyo asi. Qatar kulingana na mkataba ndio mtoa pesa kwa Hamas. Hivyo wanaanzisha jambo kwa maslahi mapana. Hamas haiwezi pewa Gaza maana lengo sio wao kupewa bali kupasua umoja wa Wapalestina. Hamas haijashinda vita bali imesukuma tu malengo ya greater Israeli kupitia Abraham accord.

October 7, 2023 imefanikisha haya,

1) Kuvunja nguvu za Hezbollah
2) Kupinduliwa kwa Assad
3) Wapelestina kudhoofishwa kabisa
4) Iran kushambuliwa na kutiwa ulemavu
5) Kudhoofishwa kwa Houthis
6) Kutia woga Waarabu
7) Ardhi ya kusini mwa Syria kunyakuliwa
8) Ardhi ya Lebanon kusini kunyakuliwa
9) West bank kudhibitiwa mazima

Bado 10 ambayo itakuwa ni kubomolewa kwa msikiti wa Al aqsa na kujenga hekalu la tatu na kujengwa ufalme wa Yerusalem. Nyimbo za uzinduzi zimeshaandaliwa, Waarabu/Waislamu na Wakristo wakiongozwa na Papa wataalikwa wakishuhudia Ng'ombe mwekundi (“Red Heifer") akichinjwa kwajili ya sadaka ya farakano; na dunia kutangaziwa amani. Itakuwa ni sherehe kubwa sana duniani. Wapalestina wakati huo watakuwa wamepewa taifa la uongo na amani bandia. Huu sio unabii ni mkakati ya siku nyingi.

Wabishi mtabisha lakini mtaendelea kuyaona kwa macho yenu haya yote yakitokea.

Hamas ni Panya wa kimkakati tu.
 
Attachments

  • 3BD86F50-E4A0-4ACF-9F85-888E82BB8511.jpeg
    3BD86F50-E4A0-4ACF-9F85-888E82BB8511.jpeg
    115.4 KB · Views: 41
Na leo hii, majira ya Pasaka 2025–2026, taasisi hiyo imetangaza kuwa watafanya ibada ya utakaso ya kuhani kwa kutumia ng’ombe mwekundu huko Mount of Olives (mlima wa Mizeituni) kwa maandalizi ya hekalu.
(chanzo: The Temple Institute official updates, 2024–2025).

Nakupa hii shule ,maana wewe ni mjinga

Kwa hiyo si hadithi, ni matukio ya sasa.
We jamaa nimekudharau sana kwahiyo hao wayahudi ndio wakiamua leo basi Yesu ndio anarudi? Kwamba wao wanajua siku wala saa? We hujitambui nakuhakikishia hapa hao wote wanaondaa huo upuuzi watakufa kwa uzee na hawatakua wameshuhudia ujio wa Yesu na sijui mtasemaje tena.

Huwezi amka tu Buza ukasema natafuta ndana mwekundu basi ndio unabii umetimia kama sio utoto unaongea hapa ni nini. Utashangaa huyo kuhani anayeandaliwa ni shoga!! Acheni utoto
 
Waarabu wengi kwa asilimia 90%
Nimewazidi akili Sasa hayo maswali yako ya maendeleo Tanzania muulize Samia, unaniuliza mimi Tena.
Kuwazidi kwako kiakili ni kitu gani mwenzetu umekifanya kwa familia yako kuwazidi wao?
 
Biblia inaonyesha wazi kwamba hekalu litajengwa tena kabla ya ujio wa Yesu.

2 Wathesalonike 2:3–4

“...yule mtu wa kuasi... atakayekaa katika hekalu la Mungu, akijionyesha kwamba yeye ndiye Mungu.”

Kwa hiyo hekalu lazima liwepo ili huyo “mwanamume wa kuasi” (Mpinga Kristo) akae humo.

Hili halijawahi kutokea tangu hekalu la pili lianguke mwaka 70 BK.
Hao hawaelewi maandiko kama wewe tu, mind you walishindwa kuelewa Yesu aliposema hivi
Yohana 2:19-21
19 Yesu akawajibu, “Livunjeni hili Hekalu, nami nitalijenga tena kwa siku tatu!”

20 Wale Wayahudi wakamjibu, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arobaini na sita. Wewe unasema unaweza kulijenga kwa siku tatu?”

21 Lakini yeye aliposema ‘Hekalu’ alikuwa anazungumzia mwili wake.

Kwahiyo kama ambavyo wayahudi hawakuelewa hekalu aliloongelea Yesu basi na wewe hutaelewa.

Hivi haujui Yesu alisemaje?

21 Yesu akamjibu, “Mama, niamini; wakati unakuja ambapo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala huko Yerusalemu.

Maana yake hakuna cha hekalu tena hapo maana Mungu anakaa ndani ya mtu sio kwenye jengo sijui patakatifu pa patakatifu.

Soma hii 1 Wakorintho 6:19
Je, hamjui kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, ambaye mlimpokea kutoka kwa Mungu? Nyinyi basi, si mali yenu wenyewe.
 
Kwanzia uhamie uko ukafirini roho Yako imeparaganyika unatamani kujipa moyo Kwamba uko sahihi kuacha njia lakini kila ukipiga hesabu za mauno ndio Ibada unarudi nyuma, unatafuta dosari ili ujipe moyo Kwamba bao Uko Sahihi, bro you are fucked up, na ukifa ni motoni dahari.... Tena Kaa ukijua kafiri ni kuni za kuchomea wenye Zambi za kawaida yaàni omakafiri na mawe ndio watakao choma watu jehanam fikiria kuni inaunguaje....wew piga sarakasi kila siku na nyuzi za dini isokuhusu Hakika huwezi kumfikia Abu Lahab Kwa fitna dhidi ya hi dini lakini ali kaa hamis77
Unajua maana ya neno Kafir? je unaweza kushare aya au hadith kuwa hizo kuni katamka Allah au Mudy? i know muslim wa jf huwa ni majinga na watunga hadith au watu wamsingiziao Allah na kuuchafua uislam uonekane ni dini wa wapumbavu... go and google it uje na majibu.. sipendi uongo utawale mtaifanya jf iwe kama ya mashetani maongo
 
Dini zote ni zakipuuzi, ila ukristo uzmezidi upuuzi.

1) Dini inayo ruhusu ndoa za jinsia moja

2) Dini inayo amini alie kua fundi seremala (Yesu) ni Mungu.

3) Dini ambayo matapeli huitumia kutapelia watu (kumbuka ya kibwetere Uganda na Makenzi Kenya )

Kiufupi, ukristo ni upuuzi kuliko hata huo upuuzi wenyewe.
umeandika kwa kukashifu ukristo, kina makenzi na kibwetere hawakuwa wakristo. Andika fact, anza na ujinga ulioko kwenye dini yako toka uarabuni
 
umeandika kwa kukashifu ukristo, kina makenzi na kibwetere hawakuwa wakristo. Andika fact, anza na ujinga ulioko kwenye dini yako toka uarabuni
Me nimeanza na dini yako ya kikristo na fact nimekupa.
Kwamba unabisha ukristo haufungishi ndoa za jinsia moja?

Pia ni upuuzi kusema Kibwetere na Makenzi sio wakristo.

Kwamb unabisha ukristo haujawahi kusababisha machafuko nchi mbali mbali hapa Duniani na kupelekea vifo vya mamilioni ya watu wasio na hatia?
Brother, Dini ni upuuzi ila kwenye ukristo kuna upuuzi mwingi.
 
mjuba hata wafuasi wa shetani hujifanya ni wafuasi wa Mungu ili kupotosha ukweli
 
“Tunahitaji Uislamu wa wastani, uvumilivu, na kuishi kwa amani pamoja — si ule uliotekwa na genge la wahalifu,” amesema Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Badr Abdelatty, katika mahojiano yake na Sidhant Sibal wa kituo cha habari WION.

Hii habari nimeileta hapa kuonesha matokeo ya "Abraham accord" ambayo inaunda uhusiano kati ya Waarabu na Wayahudi na Wakristo. Viongozi karibu wote katika nchi za kiarabu hawataki tena itikadi kali ama siasa kali. Wanataka utulivu na dini ya wastani. Waarabu sasa wapo bize kujenga nchi zao. Angalia kao na ikulu ambayo inajengwa na MBS huko Saudia, angalia jiji la Doha na Dubai, ona jiji jipya na ikulu ya Cairo. Hivyo sio rahisi tena wao wakakubali vita na vurugu. Ndio maana Waarabu wamekuwa wa kwanza kupambana na makundi ya siasa kali. Na wote hawaitaki Hamas sio tu hawaitaki hawataki itawale Gaza kabisa.

FB_IMG_1760708098134.jpg
 
Hao hawaelewi maandiko kama wewe tu, mind you walishindwa kuelewa Yesu aliposema hivi
Yohana 2:19-21
19 Yesu akawajibu, “Livunjeni hili Hekalu, nami nitalijenga tena kwa siku tatu!”

20 Wale Wayahudi wakamjibu, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arobaini na sita. Wewe unasema unaweza kulijenga kwa siku tatu?”

21 Lakini yeye aliposema ‘Hekalu’ alikuwa anazungumzia mwili wake.

Kwahiyo kama ambavyo wayahudi hawakuelewa hekalu aliloongelea Yesu basi na wewe hutaelewa.

Hivi haujui Yesu alisemaje?

21 Yesu akamjibu, “Mama, niamini; wakati unakuja ambapo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala huko Yerusalemu.

Maana yake hakuna cha hekalu tena hapo maana Mungu anakaa ndani ya mtu sio kwenye jengo sijui patakatifu pa patakatifu.

Soma hii 1 Wakorintho 6:19
Je, hamjui kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, ambaye mlimpokea kutoka kwa Mungu? Nyinyi basi, si mali yenu wenyewe.
Sitapoteza bando langu Tena kukujibu mjinga kama wewe

Nimemaliza
 
Unajua maana ya neno Kafir? je unaweza kushare aya au hadith kuwa hizo kuni katamka Allah au Mudy? i know muslim wa jf huwa ni majinga na watunga hadith au watu wamsingiziao Allah na kuuchafua uislam uonekane ni dini wa wapumbavu... go and google it uje na majibu.. sipendi uongo utawale mtaifanya jf iwe kama ya mashetani maongo
Waislamu wengi ni maamuma

Hawajui dini Yao ,hawajui chochote zaidi ya kumezeshwa

Hawataki kutoka nje ya box
 
Sitapoteza bando langu Tena kukujibu mjinga kama wewe

Nimemaliza
Huna uwezo wowote wa ku debate na mimi maana I'm levels above you inapokuja bible, geopolitics na history.

Wewe unaweza tu kubisha kisabato ila hoja kwa hoja huwezi. Next time ukiona post zangu kaa mbali kabisa maana hauna hata robo ya uwezo wa kujibu.

Unaongozwa na mawazo ya Hellen White ndio uwe na akili? Eti Majivu ya ng'ombe yanasafisha dhambi hahahhaha wasabato aisee
 
Hamas ni asasi ya mkakati kama Alqaida. Hamas ni kama Uislamu ulivyoundwa na Vatican kwa mkakati maalum. Kuna muda Uislamu uliasi ndivyo Hamas ilivyo asi. Qatar kulingana na mkataba ndio mtoa pesa kwa Hamas. Hivyo wanaanzisha jambo kwa maslahi mapana. Hamas haiwezi pewa Gaza maana lengo sio wao kupewa bali kupasua umoja wa Wapalestina. Hamas haijashinda vita bali imesukuma tu malengo ya greater Israeli kupitia Abraham accord.

October 7, 2023 imefanikisha haya,

1) Kuvunja nguvu za Hezbollah
2) Kupinduliwa kwa Assad
3) Wapelestina kudhoofishwa kabisa
4) Iran kushambuliwa na kutiwa ulemavu
5) Kudhoofishwa kwa Houthis
6) Kutia woga Waarabu
7) Ardhi ya kusini mwa Syria kunyakuliwa
8) Ardhi ya Lebanon kusini kunyakuliwa
9) West bank kudhibitiwa mazima

Bado 10 ambayo itakuwa ni kubomolewa kwa msikiti wa Al aqsa na kujenga hekalu la tatu na kujengwa ufalme wa Yerusalem. Nyimbo za uzinduzi zimeshaandaliwa, Waarabu/Waislamu na Wakristo wakiongozwa na Papa wataalikwa wakishuhudia Ng'ombe mwekundi (“Red Heifer") akichinjwa kwajili ya sadaka ya farakano; na dunia kutangaziwa amani. Itakuwa ni sherehe kubwa sana duniani. Wapalestina wakati huo watakuwa wamepewa taifa la uongo na amani bandia. Huu sio unabii ni mkakati ya siku nyingi.

Wabishi mtabisha lakini mtaendelea kuyaona kwa macho yenu haya yote yakitokea.

Hamas ni Panya wa kimkakati tu.
Watu wanaodai Vatican iliunda uislam hawana hoja yeyeto ya kihistoria kuthibitisha madai yao ,hawana kwasabbu wanaongea kitu ambacho hakipo hakijawahi kutokea

Sasa mtoa mada umeibua mjadala uje uniambie ni kwanamna gani uislam iliundwa na Vatican l.
 
Kw hiyo unamaanisha kuwa Genocide dhidi ya Wapalestina huko Gaza imefanywa kwa hila na Israel na si kwa malengo ya kweli ya kupambana na "magaidi" wa HAMAS?
 
Huyo ni wa huku
ILa kobazi mmezidi kwa ujinga mfano mzuri TEC na BAKWATA, ni mbingu na Ardhi aisee.

Mashehe wapeni pia elimu Dunia itawasaidia sana ata kujenga hoja na Kuona uhalisia wa mambo.
 
Me nimeanza na dini yako ya kikristo na fact nimekupa.
Kwamba unabisha ukristo haufungishi ndoa za jinsia moja?
Lazima uujue ukristo na sio matendo yao, punguza ujinga ukristo upo open na ni free kwa yeyote, soukiwa mkrosto ni kufuata mafundisho ya Yesu na kutenda yaliyofundishwa, so ukiwa mkristo ukabadili au kufuata utakavyo hauwakilishi ukristo bali unajiwakilisha wewe kama wewe,
Pia ni upuuzi kusema Kibwetere na Makenzi sio wakristo.
Hao uwatajao they use christianity kwa tafsiri zao au ndoto zao ukristo wa Yesu upo vile vile, na rahisi kabisa, tofauti na uislam matendo ya hivyo alifanya Mtume wao na akisema ndio kaambiwa awe hivyo,
Kwamb unabisha ukristo haujawahi kusababisha machafuko nchi mbali mbali hapa Duniani na kupelekea vifo vya mamilioni ya watu wasio na hatia?
Brother, Dini ni upuuzi ila kwenye ukristo kuna upuuzi mwingi.
Ukristo hauna machafuko bali kuna wakristo walifamya na haswa kwenye issue ya kuzuia uislam ulaya walipambana sana that's why Roman inabaki na hiyo heshima pamoja na mafundisho kadhaa ni tofauti na mafundisho ya Yesu ila wanamuamini its Okay kuna kutubu, acheni kuwababaisha wadau humu
 
Back
Top Bottom