Hamas ni kama Uislamu ulivyoundwa na Vatican kwa mkakati maalum

Hamas ni kama Uislamu ulivyoundwa na Vatican kwa mkakati maalum

Waislamu wengi ni maamuma

Hawajui dini Yao ,hawajui chochote zaidi ya kumezeshwa

Hawataki kutoka nje ya box
Yah we need to help them, ni victims wa kudanganywa, show them love and help
 
Lazima uujue ukristo na sio matendo yao, punguza ujinga ukristo upo open na ni free kwa yeyote, soukiwa mkrosto ni kufuata mafundisho ya Yesu na kutenda yaliyofundishwa, so ukiwa mkristo ukabadili au kufuata utakavyo hauwakilishi ukristo bali unajiwakilisha wewe kama wewe,

Hao uwatajao they use christianity kwa tafsiri zao au ndoto zao ukristo wa Yesu upo vile vile, na rahisi kabisa, tofauti na uislam matendo ya hivyo alifanya Mtume wao na akisema ndio kaambiwa awe hivyo,

Ukristo hauna machafuko bali kuna wakristo walifamya na haswa kwenye issue ya kuzuia uislam ulaya walipambana sana that's why Roman inabaki na hiyo heshima pamoja na mafundisho kadhaa ni tofauti na mafundisho ya Yesu ila wanamuamini its Okay kuna kutubu, acheni kuwababaisha wadau humu
unapunguza makosa ya Ukristo kwa kuyaita matendo ya watu halafu uyahusisha makosa ya Waislamu na Uislamu wenyewe
Kama tunajadili dini, lazima tutofautishe kati ya dini yenyewe ,mafundisho yake ,na wafuasi wake (matendo ya watu).

Kama unataka kuyaita makosa ya watu sio dini basi kanuni hiyo inatakiwa itumike kwa dini
zote si kwa Ukristo pekee.

Mambo mengi mabaya yamefanywa kwenye historia na Wakristo tena kwa sauti moja ya waumini wote na viongozi kama unasema Ukristo hauhusiki na machafuko yaliyofanywa na Wakristo, hutakiwi kumlaumu Mtume au Uislamu kwa makosa ya baadhi ya Waislamu.

Yesu hakuwahi kufundisha vita, lakini makanisa yaliamua kuendesha vita vikubwa kwa jina lake.

Uislamu haujaamrisha uharibifu wala ukandamizaji.
Qur’an inasema wazi
“Laa ikraaha fid-diin” “Hakuna kulazimisha katika dini.” (2:256)
“Wala msiwadhulumu, kwani Allah hapendi madhalimu.” (2:190).

Wapo Waislamu wanaondesha vita kwa kutumia jina la Uislamu

Hautakiwi kuwa biased kujadili matendo ya dini yalitokana na waumini wake ,ukianza kufanya hivi tutaanza kuchaguza kila kitendo mwisho tuje na matokeo
 
Wewe hapo unaakili kuliko waarabu?
Miaka 60 ya uhuru Kila kitu tabu kwenye nchi yako

Miaka 10 ijayo Afghanistan chini ya taleban itakua imeendelea mara 50+ kuliko Tanzania

Hizo akil mnazosema waislam hawana hua mnamaanisha waislam gani na ukishindanisha na nani?

Kama waislam na wazungu hapo sawa lakn sio waislam na takataka wewe wa hapo kunduchi

Indonesia
Saudi Arabia
Qatar
Bahrain
UAE
Iran
Lebanon
Palestine
Yemen
Iraqi
Syria


Katika hizo nchi kuna hata moja nchi ya kikristo hapa afrika inagusa ukitoa south Africa tena kwasabab nyingne zina vita tu
Hizo ndio akili za kiafrika,waliorithisha hizi dini wenyewe wanaishi kwa upendo pasipo kukashifiana,sasa sisi huku ngozi ya tako tunavyoparurana kwenye masuala ya dini 😀
 
unapunguza makosa ya Ukristo kwa kuyaita matendo ya watu halafu uyahusisha makosa ya Waislamu na Uislamu wenyewe
Kama tunajadili dini, lazima tutofautishe kati ya dini yenyewe ,mafundisho yake ,na wafuasi wake (matendo ya watu).

Kama unataka kuyaita makosa ya watu sio dini basi kanuni hiyo inatakiwa itumike kwa dini
zote si kwa Ukristo pekee. Mambo mengi mabaya yamefanywa kwenye historia na Wakristo tena kwa sauti moja ya waumini wote na viongozi kama unasema Ukristo hauhusiki na machafuko yaliyofanywa na Wakristo, hutakiwi kumlaumu Mtume au Uislamu kwa makosa ya baadhi ya Waislamu.

Hahaha siwezi tumia same Logic katika uislam na Ukristo Uislam kuua na dhulm na mabaya ni sehemu kuu ya mafundisho na maamlisho ya Allah na Mtume wenu. so Mkristo akikosa ni binafsi yake na sio sehemu ya mafundisho au maagizo. Period.

Kuna chungu nzima za Aya Allah anaamrisha uovu.
Kama wewe ni true Muslim! Allah amesema muwachukie wasio waislam kwani ni maadui zake is it true au ni False? Quran 2:98
مَنْ كَانَ عَدُوًّا لِلَّهِ وَمَلَائِكَتِهِ وَرُسُلِهِ وَجِبْرِيلَ وَمِيكَالَ فَإِنَّ اللَّهَ عَدُوٌّ لِلْكَافِرِينَ
Al-Barwani
Aliye kuwa adui wa Allah na Malaika wake na Mitume wake na Jibril na Mikail, basi hakika Allah ni adui wa makafiri.

Na Mtume wenu anasema aliambiwa apige watu hadi waukubali kuwa hakuna Mungu ila Allah na Mudy ndie mtume wake, aswali na atoe zaka kama sisi, ndipo sitamwaga damu zao,na nitalinda nyumba na mali zao, kwa mujibu wa sheria za Uislamu; na hisabu yao iko kwa Allah.

عَنِ ابْنِ عُمَرَ رضي الله عنهما أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ:
«أُمِرْتُ أَنْ أُقَاتِلَ النَّاسَ حَتَّى يَشْهَدُوا أَنْ لاَ إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ، وَأَنَّ مُحَمَّدًا رَسُولُ اللَّهِ، وَيُقِيمُوا الصَّلاَةَ، وَيُؤْتُوا الزَّكَاةَ، فَإِذَا فَعَلُوا ذَلِكَ عَصَمُوا مِنِّي دِمَاءَهُمْ وَأَمْوَالَهُمْ إِلَّا بِحَقِّ الإِسْلاَمِ، وَحِسَابُهُمْ عَلَى اللَّهِ».
[صحيح] - [متفق عليه] - [صحيح البخاري: 25]

Ibn ‘Umar (may Allah be pleased with him and his father) reported that the Messenger of Allah (may Allah's peace and blessings be upon him) said:
"I have been commanded to fight people until they testify that there is no god but Allah and that Muhammad is the Messenger of Allah, establish prayer, and pay Zakah; if they do so, they protect their blood and properties from me, except through the right of Islam; and their reckoning is with Allah."
[Authentic hadith] - [Narrated by Bukhari & Muslim] - [Sahih Bukhari - 25]

Nakufahamisha Uovu,ukatiri na tabia Mbovu wafanyavyo waislam ni dini itakavyo na si kwamba kuna bad muslims au good muslims. so huwezi kuta christians anafanya uovu in the name of Jesus.

Ndio maana hata wakiwa wanaua au kuchinja binadamu au kulipua mabomu ya uhanga wanatumia jina la Allah na yule mungu Akbar evil
 
Yesu hakuwahi kufundisha vita, lakini makanisa yaliamua kuendesha vita vikubwa kwa jina lake.

Ila tambua linapofika suala la kuangamizwa situation huwa ni nyingine kabisa alishawahi sema kila mmoja ahakikishe ameshika upanga wake. Even Mungu aliwaambia Waisrael waue maadui zao wote hadi mifugo yao maana maadui wale waliua almost waisrael wote na lengo ilikuwa kuwafuta kabisa same tu na waislam wasivyowapenda wayahudi.

Unaposema Makanisa yaliamua kuendesha vita vikubwa na wewe kama ni true muslims unajua why ilikuwa hivyo ni pale Muslims walipoivamia ulaya na kutaka kulazimisha wazungu wote wawe waislam au wauliwe tena kwa mafundisho ya Mohammad convert or die. waislam walitaka wasio waislam walipe kodi iitwayo jayza na wasiwe na haki yeyote. nchi ya Spain iligeuzwa ikapewa jina la kishetani Andarusia Papa alipoona waislam wamekuwa tishio wakaunda kikosi ondosha shetani wa kiislam hahah wakafwekwa wote na Spain ikarudi upya kuwa christians country. wajua egypt,lebanon,Syria,Iraq zilikuwa christians country? even Yemen
 
Uislamu haujaamrisha uharibifu wala ukandamizaji.
Qur’an inasema wazi
“Laa ikraaha fid-diin” “Hakuna kulazimisha katika dini.” (2:256)
“Wala msiwadhulumu, kwani Allah hapendi madhalimu.” (2:190).

Wapo Waislamu wanaondesha vita kwa kutumia jina la Uislamu

Hautakiwi kuwa biased kujadili matendo ya dini yalitokana na waumini wake ,ukianza kufanya hivi tutaanza kuchaguza kila kitendo mwisho tuje na matokeo
Unasema Uislam haujaamirisha uharibifu wala ukandamizaji? unaonesha hata tabia za mtume wako huzijui kabisa nyie ndio wale wenye mabango yaliyoandikwa mnampenda Mohammad hahahaha wakati ni katiri,jizi,jambazi,uwaji,ongo na taperi.

Mohammad alichoma miti ya mitende wa Wayahudi huo sio uharibifu?
'Abdullah b. Umar reported that Allah's Apostle ﷺ burnt the date-palms of Banu Nadir.

Na Quran 59:5 Allah kumbe ndio maagizo yake kukata miti ya watu

Mtume wenu alitoa order yeyote asiyenda kuswali msikitini, nyumba zao zichomwe moto. - huo sio uharibifu?

Narrated Abu Huraira:
The Prophet (ﷺ) said, "No doubt, I intended to order somebody to pronounce the Iqama of the (compulsory congregational) prayer and then I would go to the houses of those who do not attend the prayer and burn their houses over them."

Ukisema kuhusu ukandamizaji mbona ndio uislam uliokamilika lazima ukandamize wanawake,wasio waislam, n.k hivi mkristo anaweza kuwa khalifa? Muislam mume anaweza ni ruksa kumpiga mkewe na kumbaka kilazima na hatakiwi kuulizwa why. even Arabuni Mwanamke akifungua kesi ya kupigwa na ikajulikana ni mumwe wake polisi wanacheka tu na wanamfukuza. labda uislam unakataza ukandamizwaji wa keyboard kama masanja tu hahahaha naweza leta visa vingi kama hivyo vya mohammad na Allah.

hujawahi sikia aya inayosema waislam ndio watu bora kuliko jamii nyingine zote na Allah akatoa sababu eti watu bora ni wale wanaowafunga wenzao minyororo shingoni na kuwavuta kama watumwa hadi waukubali uislam hahahaha crazy Allah na mohammad.
Sahih al-Bukhari 4557 Narrated Abu Huraira:
The Verse:--"You (true Muslims) are the best of peoples ever raised up for mankind." means, the best of peoples for the people, as you bring them with chains on their necks till they embrace Islam

Twende katika hiyo aya yako ya 2:256 unayodhani itakusaidia isome vizuri uielewe ulazimishaji ulikuwa umefika likely kikomo japo verse zinapingana Quran against Quran soma tu mwanzoni inasemaji nanukuu .
Al-Barwani
Hapana kulazimisha katika Dini. ''Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu.'' uislam umeendelea kuwa wa kulazimisha hadi leo hii. si mnaamini kadi ya lazima ya kuishi na kuabudu Jayzah kwa Wayahudi na Wakristo bado ipo katika Sheria za Kiislam hadi Al Massiah Yesu arudi ndio ataifuta kama wewe ni muislam utaelew na kama ni fake one leo jifunze.

Hahaha Aya 2:190 umeona mwishoni tu enh hahahaah wacha watu waisome wacheke Muslim mmetakiwa mpigane na sisi kwa Jina la Allah japo mmekatazwa kuanzisha but mtume wenu vita vyote alivyopigana alianzisha yeye hahaha Alafu mshaonywa msiwe wachokozi lakini kutwa kuwatusi wasio waislam na kuwaona hawafai same kama Allah alivyo na chuki nasi

Quran 2:190
وَقَاتِلُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ الَّذِينَ يُقَاتِلُونَكُمْ وَلَا تَعْتَدُوا ۚ إِنَّ اللَّهَ لَا يُحِبُّ الْمُعْتَدِينَ
Al-Barwani
Na piganeni katika Njia ya Mwenyezi Mungu na wale wanao kupigeni, wala msianze uadui. Kwani Mwenyezi Mungu hawapendi waanzao uadui.

Quran 2:191 Allah kaua katoa amri ya kuua - Sasa hii ya Israel ni wazi waislam ni wadhulumati Wayahudi kwao ni Israel sasa waislam kuing'ang'ania ardhi ya wayahudi eneo ambalo hawakuwahi kuwepo wanampinga na kumdharau Allah.
وَاقْتُلُوهُمْ حَيْثُ ثَقِفْتُمُوهُمْ وَأَخْرِجُوهُمْ مِنْ حَيْثُ أَخْرَجُوكُمْ ۚ وَالْفِتْنَةُ أَشَدُّ مِنَ الْقَتْلِ ۚ وَلَا تُقَاتِلُوهُمْ عِنْدَ الْمَسْجِدِ الْحَرَامِ حَتَّىٰ يُقَاتِلُوكُمْ فِيهِ ۖ فَإِنْ قَاتَلُوكُمْ فَاقْتُلُوهُمْ ۗ كَذَٰلِكَ جَزَاءُ الْكَافِرِينَ
Al-Barwani
Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.

So kuhusu kujadili matendo ya dini na waumini wao weka hoja mi nishakupasua kuwa matendo maovu ya uislam ndio yanayofanywa na waumini wake na kuhusu ukristo haufundishi ujinga huo. sie ukipiga shavu la kulia nageuza la kushoto upige uchoke hahahaha sio ni amani na upendo. amani iwe nayi nyote daima. Mudy aligeza salama hiyo ya Asalam aleykum kwetu na anaitumia kwa mdomo tu na sio vitendo
 
Mtoa mada ni kiazi kweli, nani amekuambia uislamu umeundwa na Vatican?
Atakuwa amemaanisha Roman Empire kwani source zote zinaonesha hivyo, Khadija na Mjomba wake Waraqah Ibn Nawfal ndie waliyemuambia Mohammad kuwa huko Pangoni aliyekutokewa na kukuambia usome alikuwa ni Malaika Jibril Gabriel.

inasemekana ndie alikuwa Baba yake wa kibiolojia kwani Mzee Abdulah anayesemekana ni Baba yake Mohammad alikufa Miaka minne kabla Mudy hajazaliwa na Amina aliishi na Waraq Arabuni kilikuwa kawaida kitanda hakizai haram. unaweza pewa mtoto ukaambiwa ni wako hata kama mke ulimuacha miaka saba iliyopita hahaha Waraqah alikuwa ni Mkristo na ndie aliyekuwa akimtafsilia Biblia Mohammad hadi mzee wa Watu alipodedi Mudy alipatwa na kichaa na alijaribu mara kadhaa kijiua

Zipo Source kibao za Roman kuwa set arabs
 
Back
Top Bottom