Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Wewe unanini cha kujifananisha nao? Maj shida umeme shida hospital shida vyoo shida kula shida, shida kila mahal.Ukiondoa mafuta warabu wanabaki na nini cha kuwapatia pesa?
Kwa hiki kipande tu nimekuona hauna akili kabisa. Kwa akili yako unadhani bado kuna sadaka za kutekezwa siku hizi? Kwamba Mungu anapokea sadaka za kuchinjwa? Kwa kuhani yupi sasa?Nyimbo za uzinduzi zimeshaandaliwa, Waarabu/Waislamu na Wakristo wakiongozwa na Papa wataalikwa wakishuhudia Ng'ombe mwekundi (“Red Heifer")
Wamesha diversify mbona kuna mpaka mbuga za wanyama, UAE wanauza mpaka dhahabu, wana miliki hadi timu za mpira, shares makampuni makubwa kama X n.kUkiondoa mafuta warabu wanabaki na nini cha kuwapatia pesa?
Dini zote ni zakipuuzi, ila ukristo uzmezidi upuuzi.Kijana wa kiislam, kijana wa kisasa GEN Z nikiona ni muislam huwa namshangaa sana! Ina maana hasomi how the vatican create islam? Hiyo wamejaa wazee wahafidhina wenye IQ ndogo na wapagani wenye kubebwa na upepo wa mafundisho mapotofu. Kijana anayeukimbia uislam anajikomboa fikra zake na kuwa huru kutoka kwenye kongwa la kiislam
Huna akili wewe ,ndio maana nilishakupuuza ,ila kwakuwa akili yako finyu basi ukiniona unawashwa ,Kwa hiki kipande tu nimekuona hauna akili kabisa. Kwa akili yako unadhani bado kuna sadaka za kutekezwa siku hizi? Kwamba Mungu anapokea sadaka za kuchinjwa? Kwa kuhani yupi sasa?
Acheni upotoshaji nyie wasabato, kama mnadhani ufunuo upo direct hivyo basi tusubiri pia vita vya kutumia farasi na mapanga maana ndio ipo kwenye ufunuo ilihali kuna vifaru na bunduki siku hizi!!
Umedanganywa na nani ?Hao niwapigania uhuru kama wangekuwa wanaupigani uislamu wasingeuwa wanawake na watoto na utuambie Ibrahim alikuwa mkristo.
🤣🤣🤣Usinichekeshe basiKwanzia uhamie uko ukafirini roho Yako imeparaganyika unatamani kujipa moyo Kwamba uko sahihi kuacha njia lakini kila ukipiga hesabu za mauno ndio Ibada unarudi nyuma, unatafuta dosari ili ujipe moyo Kwamba bao Uko Sahihi, bro you are fucked up, na ukifa ni motoni dahari.... Tena Kaa ukijua kafiri ni kuni za kuchomea wenye Zambi za kawaida yaàni omakafiri na mawe ndio watakao choma watu jehanam fikiria kuni inaunguaje....wew piga sarakasi kila siku na nyuzi za dini isokuhusu Hakika huwezi kumfikia Abu Lahab Kwa fitna dhidi ya hi dini lakini ali kaa hamis77
Tuwe tunasali pamoja na kobazi?Kuunganisha dini moja ,tayari kule Abu Dhabi walishaanza maandalizi
Mpango walikwambia lini na wapi? Mbona wanayo masynagogue kibao tu si wakafanye hizo kafara zao uchwar huko wamekatazwa? Hao wanatafuta tu kisingizio kupora ardhi huwezi ukawa unampango wa kumpokea Yesu huku unaruhusu Israel iwe makao makuu ushoga na usagaji duniani. Yaani wewe ukisema ni shoga wanakupa visa chaap alafu ndio Yesu apokee hiyo sadaka uchwara?Kwanza, Hoja kuu siyo kama Mungu anapokea sadaka leo, bali ni mpango wa Wayahudi, si wa Mungu.
So unapingana na Biblia? Hujui Yesu ndio kuhani mkuu na wa mwisho maana anaishi milele sasa hao watatoa wapi kuhani wa kuwachinjia sadaka? Kumbuka kibiblia hakuna sadaka ya kutekezwa kubwa kuliko mwili wa Yesu mwenyewe sasa hiyo sadaka itakua na uzito kuliko Yesu?Unaposema Mungu hataki tena sadaka za kuteketezwa umekosa hoja, kwa sababu Wayahudi hawamngojei Yesu, wanangojea Masihi wao.
Acha kupotosha hiyo ilikua kabla hata ya kristo kuja duniani so it can mean anything. Wapi imesema kwenye ufunuo kwamba hiyo sadaka itapokelewa au kwamba huo mstari una maana ni wakati wa kurudi kwa Yesu na sio kabla ya Kifo cha Yesu!!Daniel 9:27
“Naye ataongeza agano imara kwa wengi kwa muda wa juma moja; na katika nusu ya juma ataikomesha sadaka na dhabihu…”
Hapa Daniel anasema sadaka zitakuwepo tena, kisha zitaikomesha baada ya muda fulani (wakati wa Mpinga Kristo).
Kwa hiyo, Biblia inasema sadaka zitarudi, lakini kwa makosa, si kwa mapenzi ya Mungu ndio maana zikomezwe tena.
Kwahiyo wakiandaa ndio inakua halisi? Yaani mimi nikijiita Yesu basi ndio nakua Yesu? Hivi haujui hata vita kuu ya 2 ya dunia ilitabiriwa ndio mwisho wa dunia na kwamba vifo vya wayahudi ndio ilisemekana ni dhiki kuu na ilidhaniwa Yesu angeshuka kuwaokoa ila haikuwa hivyo maana haukua mpango wake.Kuhusu Ng’ombe mwekundu (Red Heifer), Hii siyo hadithi ya “WASABATO” acha chuki kijana na wasabato, walikufanya nini?🤣🤣
Huo ni mpango halisi unaoendelea Israel leo.
Kuna taasisi inaitwa The Temple Institute huko Jerusalem, ambayo imeandaa kila kitu cha hekalu la tatu , mavazi ya makuhani, vyombo vya dhahabu, na sasa wanalea ng’ombe wekundu waliotoka Texas, USA mwaka 2022.
Nasubiri kuona Al Aqsa kama kweli itakuja kubomolewa.Hamas ni asasi ya mkakati kama Alqaida. Hamas ni kama Uislamu ulivyoundwa na Vatican kwa mkakati maalum. Kuna muda Uislamu uliasi ndivyo Hamas ilivyo asi. Qatar kulingana na mkataba ndio mtoa pesa kwa Hamas. Hivyo wanaanzisha jambo kwa maslahi mapana. Hamas haiwezi pewa Gaza maana lengo sio wao kupewa bali kupasua umoja wa Wapalestina. Hamas haijashinda vita bali imesukuma tu malengo ya greater Israeli kupitia Abraham accord.
October 7, 2023 imefanikisha haya,
1) Kuvunja nguvu za Hezbollah
2) Kupinduliwa kwa Assad
3) Wapelestina kudhoofishwa kabisa
4) Iran kushambuliwa na kutiwa ulemavu
5) Kudhoofishwa kwa Houthis
6) Kutia woga Waarabu
7) Ardhi ya kusini mwa Syria kunyakuliwa
8) Ardhi ya Lebanon kusini kunyakuliwa
9) West bank kudhibitiwa mazima
Bado 10 ambayo itakuwa ni kubomolewa kwa msikiti wa Al aqsa na kujenga hekalu la tatu na kujengwa ufalme wa Yerusalem. Nyimbo za uzinduzi zimeshaandaliwa, Waarabu/Waislamu na Wakristo wakiongozwa na Papa wataalikwa wakishuhudia Ng'ombe mwekundi (“Red Heifer") akichinjwa kwajili ya sadaka ya farakano; na dunia kutangaziwa amani. Itakuwa ni sherehe kubwa sana duniani. Wapalestina wakati huo watakuwa wamepewa taifa la uongo na amani bandia. Huu sio unabii ni mkakati ya siku nyingi.
Wabishi mtabisha lakini mtaendelea kuyaona kwa macho yenu haya yote yakitokea.
Hamas ni Panya wa kimkakati tu.
Nilipoona tu ujumbe kwenye uzi wako nilianaza kuwaza huu mstari wa Daniel 9: 27.Daniel 9:27
“Naye ataongeza agano imara kwa wengi kwa muda wa juma moja; na katika nusu ya juma ataikomesha sadaka na dhabihu…”
Hapa Daniel anasema sadaka zitakuwepo tena, kisha zitaikomesha baada ya muda fulani (wakati wa Mpinga Kristo).
Kwa hiyo, Biblia inasema sadaka zitarudi, lakini kwa makosa, si kwa mapenzi ya Mungu ndio maana zikomezwe tena.
Nilipoona tu ujumbe kwenye uzi wako nilianaza kuwaza huu mstari wa Daniel 9: 27.Daniel 9:27
“Naye ataongeza agano imara kwa wengi kwa muda wa juma moja; na katika nusu ya juma ataikomesha sadaka na dhabihu…”
Hapa Daniel anasema sadaka zitakuwepo tena, kisha zitaikomesha baada ya muda fulani (wakati wa Mpinga Kristo).
Kwa hiyo, Biblia inasema sadaka zitarudi, lakini kwa makosa, si kwa mapenzi ya Mungu ndio maana zikomezwe tena.
hahaha Ngombe mwekundu kutoka Texas?Huo ni mpango halisi unaoendelea Israel leo.
Kuna taasisi inaitwa The Temple Institute huko Jerusalem, ambayo imeandaa kila kitu cha hekalu la tatu , mavazi ya makuhani, vyombo vya dhahabu, na sasa wanalea ng’ombe wekundu waliotoka Texas, USA mwaka 2022.
Wewe unashinda unakula nguruwe utajulia wapi haya ?🤣
Kwani hao ndio wa kwanza? Mbona zipo Cult zaidi ya 1000 zenye "Yesu" wao na kwa sasa wanasajili wale 144,000!! So kujiandaa kwa nothing wala sio issue maana ni kupoteza muda tu. Kama hao wayahudi mnaita wana akili na ndio wanajiandaa na upunguani huo basi hawajitambuiWewe unashinda unakula nguruwe utajulia wapi haya ?🤣
Braza Hamisi77 kwani ni nani aliyekomesha sadaka za Kuteketezwa?Umedanganywa na nani ?
Ibrahimu yup kwanza inamzungumzia ,
Kuna ibrahimu Azar aliyefanya ibada pale na wapagani alkaaba wakiwa uchi
Na Kuna ibrahimu kutoka mesopotamia mwana wa Tera ,
Unamzungumzia yupi?
😅😅Sasa ndo tukuulize ww unakila kitu lakn hauna lolote la maana na mtu mwenye mafuta tu na kakuzid kila kitu wakina nan wenye AKILI?