Hamas tumieni mbinu hii kumshinda Israel

Hamas tumieni mbinu hii kumshinda Israel

askari.Na raia hao hao ndio wanaolala kwa raha kwenye ardhi zilizoporwa kwa wazazi wao.
Soma historia vizuri wewe... Muarabu ndio aliyepora ardhi ya Israel baada ya waisraeli kupelekwa utumwani na wengine kukimbia utumwa... Muarabu kapora ardhi kuanzia Israel kuja mpaka Misri hadi Morocco ambayo Afrika Kaskazini yote ilikuwa ardhi ya Waafrika weusi, ila wao wamejimilikisha hadi leo.... Zanzibar pia ilibaki kidogo iwe mali ya kina Sultan kutoka uarabuni... Muarabu anajulikana kwa kuiba ardhi
 
Hujasema lolote la maana na huna akili ya kuwashauri Hamas.Hapo unajadili kikundi kisicho na silaha dhidi ya taifa lenye silaha za kisasa na kusaidiwa na mataifa makubwa wanaopigana baada ya kuuliwa watu wao kwa malaki .Watu hao hawali na wala kulala vizuri tangu utoto wao.Sifikiri kuwa wana uwezo wa kutofautisha katika ya raia na askari.Na raia hao hao ndio wanaolala kwa raha kwenye ardhi zilizoporwa kwa wazazi wao.
Tanzania nayo kwa miaka yote hiyo haikuwa na ubalozi nchini Israel na haikuwa na ushirikiano nayo katika mipango yake.Kipi kimepelekea kuanzisha uhusiano mzuri na taifa hilo ambalo Tanzania inajua linawakandamiza na kuwaua watu wa Palestina.Katika kipindi hiki tangu Tanzania ifungue ubalozi wake Israel kumetokea unyamna mkubwa sana dhidi ya Palestina na sisi tumefumbia macho moja kwa moja hali hiyo.

Kuhusu Tz anasimama na sera ya NAM,na tambua nchi zetu hizi za viongozi wahuni wanachojari ni maslahi yao sio vita kati ya nchi moja na nyingine kumbuka haturithishani adui.
 
Wazee wa majambia. Allah akbar. Hivi wanavyosema vile ndio uislam unavyotaka au wanajiongeza?
😂 wazee ni wafia Dini uwaambi kitu... Wako radhi waaue raia wasiokuwa na hatia kisa mapigano ya kidini au ardhi
 
Kuhusu Tz anasimama na sera ya NAM,na tambua nchi zetu hizi za viongozi wahuni wanachojari ni maslahi yao sio vita kati ya nchi moja na nyingine kumbuka haturithishani adui.
Bongo haiwezi kutoa kauli ya msimamo.... Nchi kama Marekani na nyinginezo zinajali sana raia
 
Raia wote wa Israel ni askari au hujui wewe?
Hata Bongo kisheria raia wote wanapaswa kuwa ni askari... Nchi zote zina sheria hii kila raia kupitia jeshi...

Lakini hiyo aimaanishi kuua raia eti kisa wanapitia kozi za kijeshi... Adui ni yule aliyejohami kwa mapambano tu, hutakiwi kumuua au kumdhuru mtu asiyekuwa kwenye mapambano
 
Soma historia vizuri wewe... Muarabu ndio aliyepora ardhi ya Israel baada ya waisraeli kupelekwa utumwani na wengine kukimbia utumwa... Muarabu kapora ardhi kuanzia Israel kuja mpaka Misri hadi Morocco ambayo Afrika Kaskazini yote ilikuwa ardhi ya Waafrika weusi, ila wao wamejimilikisha hadi leo.... Zanzibar pia ilibaki kidogo iwe mali ya kina Sultan kutoka uarabuni... Muarabu anajulikana kwa kuiba ardhi
Historia ni somo gumu sana na linaambatana na ushabiki wakati mwengine.Lakini ukitaka kujua ukweli ukitumia akili utaupata.
 
Kitu pekee kinachofanya Makundi ya Palestina yaonekana ya Kigaidi hususani kwenye umoja wa mataifa na nchi za magharibi ni namna yanavyofanya mashambulio.

Kundi la Hamas lilipaswa kupiga kambi za jeshi na maneno yenye dhana za kijeshi ili kujiwekea uhalali wa kufanya mashambulizi. Kitendo cha Hamas kupiga risasi raia na kuwaua, na wengine kuteka nyara na mashambulizi mengine ya moja kwa moja kwa raia ni kosa la kigaidi, hivyo na kupelekea kundi hili kupewa jina la kigaidi.

Hotuba ya waziri mkuu wa uingereza amesema hawa jamaa sio freedom fighters au wapigania haki bali ni terrorists kutokana na matukio ya kushambulia raia. Nchi ya Marekani nayo imesema Hamas ni magaidi kutokana na namna wanavyoua raia.

Israel yeye katumia Akili sana hili asiitwe gaidi na maadui zake, badala yake wengi wanampongeza kwa kujitetea. Mfano, kabla hajafanya mashambulizi makubwa huko Gaza, aliwaonya na kutoa taarifa kwa raia yeyote aliyeko Gaza kuama eneo hilo, yani hakutaka kufanya mashambulizi ya moja kwa moja kwa Raia, jambo ambalo wengi wanaona ni la kiungwana kwa sababu vita ya Israel anapigana na Hamas na si raia wa palestina. Tofauti na kundi la Hamas ambalo lenyewe linalenga moja kwa moja raia.

Popote pale Duniani uwezi kupata support ya 100% kama unapiga raia moja kwa moja, ndio maana hata nchi za uarabuni zinashindwa kuingilia vita kwa sababu za Hamas kupiga moja kwa moja raia ambayo ni kinyume na sheria za Dunia.

USHAURI: Hamas kuishinda Israel mnapaswa kutumia Akili na si kupiga piga hovyo na kuwateka raia, mkifanya hivyo mtafanya mataifa mengine yazidi kuiunga mkono Israel na mwisho wa siku Israel itazidi kuwa na nguvu zaidi na ushawishi. Ikumbukwe nchi ya Israel inaruhusu uraia pacha, hivyo raia wa Israel wengi mnaowaua na kuwateka pia ni raia wa nchi nyingine, hivyo mtakuwa mnazipa morali nchi nyingine nazo kuiunga mkono Israel. Mfano raia wa Tanzania wawili hawajulikani walipo, hiyo ni go ahead moja kwa moja ya Tanzania kuiunga mkono Israel kwa sababu Hamas wameteka au kuua watanzania, japo Bongo nyoso haiwezi kutoa kauli. Hivyo hivyo nchi nyingine nazo mkiua raia wake. Israel hapa alijitoa kwenye kuua raia, yeye hasa hasa anatungua magorofa matupu yani safisha mji na kambi za Hamas tu, jambo linalompa mashiko.
Mkuu nadhani hili jambo hujaliongea kwa kutojua, bali ukweli una ujua ila umeamuwa kupotosha makisudi kabisa.

Hapa duniani jina la gaidi lipo mahususi kwa ajili ya yule anaye pinga na kwenda kinyume na Marekani haijalishi atakuwa mwema kiasi gani.
Hata Mandera aliita gaidi hali yakuwa hakuwahi kuuwa hata kuku kwa sababu alikuwa kinyume na utawala wa makaburu ambao ulikuwa ni mshirika mkubwa wa Marekani.

Hivi hapa ulimwengini kuna nchi inayo ongaza kuuwa raia wasio na silaha zaidi ya hiyo Israel?
Haya tuseme hamas ni magaidi kwa kuuwa raia ,je sasa Israel inavyo shambulia makazi ya watu yeye na kuuwa raia wa kawaida tumuiteje?
Jana tu Israel imefanya shambulizi kwenye kambi ya wakimbizi iliyoko chini ya umoja wa mataifa na kuwauwa watu 30 na kujeruhi wengine wengi.
 
Hata Bongo kisheria raia wote wanapaswa kuwa ni askari... Nchi zote zina sheria hii kila raia kupitia jeshi...

Lakini hiyo aimaanishi kuua raia eti kisa wanapitia kozi za kijeshi... Adui ni yule aliyejohami kwa mapambano tu, hutakiwi kumuua au kumdhuru mtu asiyekuwa kwenye mapambano
Angalia hapo unavyojizamisha kwenye ujinga.Unapozungumza hivyo akili yako inawafikiria wale waisrael na watanzania peke yao na katika fikra zako umewaondoa wapalestina.
 
Historia ni somo gumu sana na linaambatana na ushabiki wakati mwengine.Lakini ukitaka kujua ukweli ukitumia akili utaupata.
Uwezi kutumia akili alafu ikakupa majibu bila kuwa na uelewa wa historia... Hiyo historia ya waarabu kuteka ardhi huko Israel na Afrika Kaskazini sio ya vijiwe vya kahawa bali utafiti umefanyika kabisa
 
Ushauri wangu kwa vita vya palestine na israel! Kafanye research vzr ujirizishe mashambuliz mangap ambayo israel wameyafanya hayakuumiza raia wa Palestine! Na kwann israel alianzisha mashambuliz kwenye arthi ya palestinee alf ndio uje na hoja ya kuinuka kuipongeza israel na upuuzi anaoufanya

Namkubali hitra baada ya kumsoma kiundani na kujua kwa undani nikaachana na propaganda zinazomuita yy ni gaidi.
Aliwahi kusema: “Ninao uwezo wa kuwauwa wayahudi wote ulimwenguni, lkn sita fanya hivyo nitabakisha wachache ili kuwaonyesha dunia kwa nn niliwauwa”

Waafrica tunapokea sana hizi propaganda bila hata kuchuja na kuzihoji, wengi walioitwa magaidi walipaswa kuitwa mashujaa. Mfano si africa na dunia iliaminishwa kwamba Gadafi n gaidi na ni dikteta na hafai kuwa libya?
Vipi kwa idd amin? Ni kweli tulipaswa kumtoa madarakani kama nyerere alivyofanya?
Mbona kwenye vita ya dunia ya 2 marekani alipiga bomu la atomic japan na kuuwa na kuangamiza watu wengi kiasi kile lkn hakuitwa gaidi??

Tutumie akili zetu vzr kwenye black tusije ambiwa ni white kamwe!
 
Hizo ng'ombe za kizayuni ni magaidi pia ,wameshambulia hospital yote bila kujali Kuna wagonjwa.USA ni mnafiki pamoja na usharika wake.. Chuki ya USA ni dhidi ya uislamu tu hana jipya maana walishasema hawapigani na ugaidi ila wanapigana dhidi ya uislamu.
Kwenye hii vita kunasehemu uislamu umetajwa? Kwanini mnapenda kuhusisha uislamu kwenye vita ili mpate huruma za waislamu wengine kama umeamua kufanya ugaidi simama kama gaidi sio ukianza kujibiwa mashambulizi unaingiza neno uislamu ili kutafuta huruma

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Napen
Mkuu nadhani hili jambo hujaliongea kwa kutojua, bali ukweli una ujua ila umeamuwa kupotosha makisudi kabisa.

Hapa duniani jina la gaidi lipo mahususi kwa ajili ya yule anaye pinga na kwenda kinyume na Marekani haijalishi atakuwa mwema kiasi gani.
Hata Mandera aliita gaidi hali yakuwa hakuwahi kuuwa hata kuku kwa sababu alikuwa kinyume na utawala wa makaburu ambao ulikuwa ni mshirika mkubwa wa Marekani.

Hivi hapa ulimwengini kuna nchi inayo ongaza kuuwa raia wasio na silaha zaidi ya hiyo Israel?
Haya tuseme hamas ni magaidi kwa kuuwa raia ,je sasa Israel inavyo shambulia makazi ya watu yeye na kuuwa raia wa kawaida tumuiteje?
Jana tu Israel imefanya shambulizi kwenye kambi ya wakimbizi iliyoko chini ya umoja wa mataifa na kuwauwa watu 30 na kujeruhi wengine wengi.
Napenda watu optimistic kama ww mkuu thank you so much! Ona vitu kwa upande wa pili ni njia bora ya kupata solution
 
Huwezi kutetea mtoto mdogo kuwa hana nguvu wakati huyo mtoto anafanya matendo hatari kwa mkubwa mwenye nguvu, ni lazima uchukue hatua kumuadhibu mtoto huyo kwa kumpa adhabu stahiki kulingana na vitendo vyake ili ashike adabu. Tembo hawazi kumchukulia poa sungura eti kwa kuwa sungura ni mdogo na tembo ni mkubwa ana nguvu. Vilevile sungura anaweza kumdhuru tembo. Wanaosema hamas hawana silaha kali za kisasa na hawana jeshi la kueleweka, kwani hayo mashambulizi wanayofanya hayana madhara? Hao wapiganaji/wanamgambo ni sawa na jeshi tu na wanapaswa kukabiliwa kijeshi toka kule wanakoshambulia, uwe una silaha kali au unatumia mawe na marungu.
 
Angalia hapo unavyojizamisha kwenye ujinga.Unapozungumza hivyo akili yako inawafikiria wale waisrael na watanzania peke yao na katika fikra zako umewaondoa wapalestina.
Hapo mimi nazungumzia wote... Kwa kulitambua hilo ndio maana Israel yeye hashambulii raia, kule gaza kwa wapalestina ameshawatangazia wapalestina waame waende sehemu salama kwa sababu anataka apige makombora... Kumbuka amewatangazia wote bila kujali kuna wanajeshi wa palestina au lah...

Mwenzako Israel hapigi raia, wakati Hamas yeye anapiga raia na kuwateka bila kujali ni wa nchi gani
 
Una

jua kwann israel inaipiga Palestine?? Au ndio umeanzisha bila kujua nn. Kinapiganiwa?
 
Jinsi ulivyoandika ni kama hao HAMAS wana akaunti JF
 
Kwenye hii vita kunasehemu uislamu umetajwa? Kwanini mnapenda kuhusisha uislamu kwenye vita ili mpate huruma za waislamu wengine kama umeamua kufanya ugaidi simama kama gaidi sio ukianza kujibiwa mashambulizi unaingiza neno uislamu ili kutafuta huruma

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Wapalestina wameamua wawanyamazie waislamu wenzao na wamuelekee Mwenyezi Mungu.Waislamu wenzao hawana huruma ya kweli ndio maana wamefunga mipaka na midomo yao huku wakikandamizwa kwa takriban karne nzima.Wakiamua kumuelekea Mungu watapata ushindi wa kweli na wa kushangaza.
 
Hawa wajeda wetu ni wa kutunyanganya gwanda zao, na kututishia mitaani na buti zao... Hawa vita hawawezi.
Sio kweli dharau hizo, kwa ldd amini ulipambana wewe, makomando wa jeshi letu wapo morogoro kikos Cha ngerengere Kama hujui.
 
Hizo ng'ombe za kizayuni ni magaidi pia ,wameshambulia hospital yote bila kujali Kuna wagonjwa.USA ni mnafiki pamoja na usharika wake.. Chuki ya USA ni dhidi ya uislamu tu hana jipya maana walishasema hawapigani na ugaidi ila wanapigana dhidi ya uislamu.

Mpigwe mpaka mtie akili

sddefault.jpg

107313536-16968506112023-10-09t084241z_1203264094_rc2to3a1v0na_rtrmadp_0_israel-palestinians.jpeg
 
Mkuu nadhani hili jambo hujaliongea kwa kutojua, bali ukweli una ujua ila umeamuwa kupotosha makisudi kabisa.

Hapa duniani jina la gaidi lipo mahususi kwa ajili ya yule anaye pinga na kwenda kinyume na Marekani haijalishi atakuwa mwema kiasi gani.
Hata Mandera aliita gaidi hali yakuwa hakuwahi kuuwa hata kuku kwa sababu alikuwa kinyume na utawala wa makaburu ambao ulikuwa ni mshirika mkubwa wa Marekani.

Hivi hapa ulimwengini kuna nchi inayo ongaza kuuwa raia wasio na silaha zaidi ya hiyo Israel?
Haya tuseme hamas ni magaidi kwa kuuwa raia ,je sasa Israel inavyo shambulia makazi ya watu yeye na kuuwa raia wa kawaida tumuiteje?
Jana tu Israel imefanya shambulizi kwenye kambi ya wakimbizi iliyoko chini ya umoja wa mataifa na kuwauwa watu 30 na kujeruhi wengine wengi.
Ngoja nikupe shule kidogo kuhusu neno Gaidi au Ugaidi

Neno "gaidi" linatumika kumaanisha mtu au kikundi cha watu ambao wanashiriki katika vitendo vya kigaidi. Vitendo vya kigaidi ni shughuli za vurugu au mashambulizi yanayolenga kuleta hofu, taharuki, au kusababisha madhara kwa watu, raia au mali kwa lengo la kisiasa, kidini, au kijamii.

As long as mashambulizi yako wewe yanalenga kuua Raia wasiokuwa na hatia, automatically wewe ni Gaidi.

Israel kukwepa kuitwa Gaidi, anatoa kwanza taarifa eneo husika kwamba walioko kwenye hiyo miji watoke tunataka kufanya mashambulizi. Hata kule Gaza kwa wapalestina walitoa kauli ya kuwaambia watu ambao ni wapalestina waame kwa sababu wanataka kufanya ambush ya makombora.

Hizo nchi unazozitaja kama Marekani wanakwepa kuitwa magaidi kwa sababu wakitaka kufanya tukio wanamlenga muhusika wao tu wanaemtaka, na sio kushambulia raia kama mataifa ya uarabuni yanavyofanya.... Mmarekani akishampiga mtu anayemtaka ndipo anafunga zake virago na kuondoka, mtu wa haina hiyo uwezi kumuita ni Gaidi kwa sababu yeye alengi raia
 
Back
Top Bottom