Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
- Thread starter
- #41
Hizo propagabda za mashoga zimeishapuuzwa siku nyingi wamebakia mapunguani kama wewe wanaomini.Sasa ww ullitaka wakipigwa watoto wasife wakati hao hamas wanapigania maeneo ya raia mijitu Iko ndan ya soko au hospital inarusha makombora
Walianza Shifaa Hospital wakasema ni makao makuu ya Hamas😀
Endelea kushikiwa akili.