Hamas wajibu sababu ya kuteka na kuua raia wa kigeni: Inatuma ujumbe taifa haramu la Israel sio salama kuingia

H
Hoja dhaifu sana hiyo kwenye ulimwengu wa waungwana Palestine unaungwa mkono na nchi nyingi za duani ya tatu ukiondoa nchi uropa na America sasa walitakiwa kuwa waungwana kwa raia wa nchi hizi za dunia ya 3 sio kwa ukatili huo waliofanya kwa vijana wanaotafuta maisha yao nje ya nchi
 
Mpumbavu ni wewe ambaye dini ya waaranu imekutoa ufahamu Hadi unasaliti watanzania wenzio
 
Usingeweka hiyo mitusi ningekujibu kila paragraph uliyoandika, bahati mbaya kwako mitusi yako imenionesha hauna kifua cha kustahimili argument.

But inatosha ujue tu, sijaona chochote cha maana ulichoandika hapo.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Raia anayerudi kwenye nchi yake anakuwaje mkimbizi?
Nchi ipi?
Waisrahell wote walikua wameondoka kwenye hio nchi mnayodai yao
Hili lakua waliregelea baada ya kuhama ni jipya
Ndio kwanza nasikia leo kwamba nchi nzima watu walihama halaf wakarejelea huu uzuzu mnalishwa
Mazayuni magaidi hayafai kuwepo pale yalipo
 
Nchi ya asili ya waisraeli ni ipi?

Nchi ya asili ya wapalestina ni ipi?

Kama nchi ni ya waisraeli, wapalestina walifikaje hapo Israel?

Kama nchi ni ya wapalestina, Waisreli walifakaje hapo Palestina?
Waisrahell walipelekwa mwaka 1948 mbona hili lipo wazi
Na kabla yakupelekwa pale walikua wanataka kupelekwa eidha uganda kwa afrika au Canada kwa kule amerka
Mazayuni majizi ya ardhi za watu yale mapumbu
 
Naungama na wewe, haya MAHAMAS yamesahau kuwa kila siku asubuhi Wapalestina huvuka mipaka kwenda Israel kufanya kazi wakapata riziki zao. Leo hii raia wa kigeni wanauawa kwa kupigwa risasi vichwani at close range. Kwa kweli Joshua amauawa kinyama sana R I P Joshua and Clemence.
 
Hao hamasi tayari wamempa Israel uhalali wa kuwafuta, maana yake hawataki kuona taifa la Israel linastawi, watateketezwa
 
Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia wa nchi nyingine wasiwe wanaendelea kukaa huko,
WAna haki ya kupigwa na kufutwa kabisa kumbe hawana akili.
 
Fuatilia mambo ujue usipende kuongea bila kujua
Wapalestine huwa wanavuka mpaka kutoka ghaza kwenda kwenye ardhi zao za asili walizoporwa na mazayuni
Eneo lote lile nisehem halali kabisa ya wapalestine
 
Nyie mnaobeba vita hii na kotoa haki kwa mahaba ya dini zenu mnakosea sana, ni kweli utokeaje wake Iko associated na sababu za kiungu(siyo dini plz), ila nyie na dini zenu na mlivobebeshwa mafundisho ya kukalili mnaaenda mbali sana, niwashauli tu kasomeni upya vitabu vya dini mkiwa peke yenu ,msiruhusu mtu yeyote awaambie Nini maana ya maandiko hayo,ila muombeni Mungu awape maana ,mnaposoma mtenganishe misingi ya dini zenu na mfanye kama kitabu huru kwa ajili ya maarifa

Nao wajanja washajua mnavowachukulia, wanatumia Ujinga wenu katika kutokuelewa kama silaha ya kuungwa mkono, wengine wakisikia Allah Akbar wanajua ni wenzao, wanafurahi kwa mahaba yaliyopitiliza mpaka wanaacha kutumia akili,
Hao waarabu wakimalizana na ulimwengu wote ,wakawa na uwakika wote ni waislamu, blacks mtapata shida ,and possibly mtauliwa wote,rejelea Sudan na janjaweed " inawezekana sana uislamu ambao unaweza ikawa na mapenzi ya Mungu uko bongo tu, huku hatubaguani,. Ingawa Kuna sehemu hapahapa bongo Kuna misikiti ya waarabu na misikiti ya waswahili,humor zamani hukuti mweusi ,Bora siku hizi,which I know Mungu hayupo hivo

Uke ukristo, wiki tatu kabla ya vita kuanza Israel kulikuwa na case ya wakristo kudhalilishwa kwa kutemewa mate, hao ni wayahudi kwa wayahudi, ,, acha wale blacks Jews wanavyobaguliwa, Still Mungu hayupo hivo nakwambia, afu Kuna juha humu Hadi Kila anashindwa ,ooo taifa takatifu, kill them the bastard nk,. Uelewa kisoda, sumu na propaganda zimejaa kichwani,,,, ombeni sana sana kwa ajili ya hii vita,Tena isiwe upande Mmoja, acha Mungu ajidhihilishe anavotaka, siyo unavotaka wewe Lisa unawapenda Israel au palestina

NB ,, Kuna uwezekano mkubwa mdogo wetu amekufa coz ni black, hisia ambazo haziwezi zikambeba Mungu halisi Wala Yesu kristo ishara ya upendo na kuvumiliana katika madhaifu yetu,,,, shauri zenu!!!!
 
Bwana Utam umesema vema kwamba "walikuwa wameondoka" kwa hiyo kumbe walikuwapo hapo awali, hivyo basi wamerudi kwao.
 
Code:
raia wa kigeni kwenda Israel kwa ajili ya shughuli yoyote ni kama anaunga mkono taifa hilo haramu na hivyo naye ni muhusika kwenye vita yao isiyoisha dhidi ya Israel
Huu ni msumari wa utos
 
Fanya na wewe uende wakakugeuze kisusio.
 
Screenshot_20231218-171940.png hoja nyepesi,foolish kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…