Hamas wajibu sababu ya kuteka na kuua raia wa kigeni: Inatuma ujumbe taifa haramu la Israel sio salama kuingia

Anhaaa, kwa hiyo ana verify kwamba ni wao ndio wanaohusika na inshu ya kumuua mwanatu na sio Israel?

Afu kama vipi tupe link tukaisome vizur hyo taarifa.
 
Mkuu umeongea mengi,,,ila pointi. ya ubaguzi nakubaliana na wewe...
NB: Mollel walimuua kisa mwafrika so ni mateka low quality
 
Mkuu mengi,,,ila pointi. ya ubaguzi nakubaliana na wewe...
NB: Mollel walimuua kisa mwafrika so ni mateka low quality
Anhaaa, kwa hiyo ana verify kwamba ni wao ndio wanaohusika na inshu ya kumuua mwanatu na sio Israel?

Afu kama vipi tupe link tukaisome vizur hyo taarifa.
Bas tufanye kajiua mwenyewe mkuu..
NB:UDINI MZIGO
 
Kumbe ban Israel walikuwepo hapo afu wakaondoka 🤣🤣🤣😂
 
Yani urudi uwakute wapalestina wanaishi uwaambie hapa ni kwangu ondokeni hii inakuingia akilini hii? Assume wewe ni mpalestina unaambiwa ondoka hapa siyo kwako wakati umezaliwa hapo vizazi na vizazi. Foolish
Hiyo haituhusu. Kwanini Hamas wamewaua watoto wa Tz wasihusika na migogoro yao??
 
Sijasema nimeuliza
Usinilishe maneno kijana tafadhali
Hapana sijakulisha maneno umesema mwenyewe basi ungeweka alama ya kuuliza, anyway waisrael walisharudi kwao kama ambavyo Mungu alisema kwenye Kitabu za kitakatifu cha biblia na wataendelea kuwepo milele na milele hapo nchi takatifu ya Israel kama ambavyo wapo sasa. Kizuri zaidi ni kwamba kuna muda utafika ukubwa wa nchi ya Israel utakuwa mkubwa zaidi ya huu wa sasa kwa hiyo waarabu watapoteza maeneo zaidi.
 
huyo msemaji naye yupo kwenye rada, ataenda kuwa msemaji wa shetani kuzimu muda si mrefu. aliyeleta hii dini aliharibu sana ulimwengu huu.
 
sasa ndio nimeelewa vizuri kwanin hutakiwi kua na huruma na magaidi
 
Bila shaka sasa UN na wale wanaowatetea Hamas mmjua kwa nini Israel inaua hata hao mnaoita raia. Ukamaliza.raia wa Gaza umemaliza Hamas.
Jumuia ya.kimataifa unganeni kuitokomeza Hamas
 
Unawafanyishaje watu kazi kwenye nchi yao? Wayahudi waliingia palestina kama wakimbizi 1947 leo hii wale waliowakaribisha ndio wamegeuka kuwa wakimbizi . Ukiuliza eti Mungu wenu ndio alisema. Foolish
Kwa hiyo nkuulize swali wayahudi kwao no wapi kwa asili
 
Yaache yaendelee kuteketezwa na Myahudi
 
Unajua haramu??? Haramu ni wewe usiyejitambua, wacha moto uwake Gaza, wacha watu walie, wacha wabakwe akina FaizaFoxy huko, watu wanatia huruma balaaa but who care??? Wacha watu waishi kama panya kwenye mashimo jamani raha naona mie🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…