Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeongea mengi,,,ila pointi. ya ubaguzi nakubaliana na wewe...Nyie mnaobeba vita hii na kotoa haki kwa mahaba ya dini zenu mnakosea sana, ni kweli utokeaje wake Iko associated na sababu za kiungu(siyo dini plz), ila nyie na dini zenu na mlivobebeshwa mafundisho ya kukalili mnaaenda mbali sana, niwashauli tu kasomeni upya vitabu vya dini mkiwa peke yenu ,msiruhusu mtu yeyote awaambie Nini maana ya maandiko hayo,ila muombeni Mungu awape maana ,mnaposoma mtenganishe misingi ya dini zenu na mfanye kama kitabu huru kwa ajili ya maarifa
Nao wajanja washajua mnavowachukulia, wanatumia Ujinga wenu katika kutokuelewa kama silaha ya kuungwa mkono, wengine wakisikia Allah Akbar wanajua ni wenzao, wanafurahi kwa mahaba yaliyopitiliza mpaka wanaacha kutumia akili,
Hao waarabu wakimalizana na ulimwengu wote ,wakawa na uwakika wote ni waislamu, blacks mtapata shida ,and possibly mtauliwa wote,rejelea Sudan na janjaweed " inawezekana sana uislamu ambao unaweza ikawa na mapenzi ya Mungu uko bongo tu, huku hatubaguani,. Ingawa Kuna sehemu hapahapa bongo Kuna misikiti ya waarabu na misikiti ya waswahili,humor zamani hukuti mweusi ,Bora siku hizi,which I know Mungu hayupo hivo
Uke ukristo, wiki tatu kabla ya vita kuanza Israel kulikuwa na case ya wakristo kudhalilishwa kwa kutemewa mate, hao ni wayahudi kwa wayahudi, ,, acha wale blacks Jews wanavyobaguliwa, Still Mungu hayupo hivo nakwambia, afu Kuna juha humu Hadi Kila anashindwa ,ooo taifa takatifu, kill them the bastard nk,. Uelewa kisoda, sumu na propaganda zimejaa kichwani,,,, ombeni sana sana kwa ajili ya hii vita,Tena isiwe upande Mmoja, acha Mungu ajidhihilishe anavotaka, siyo unavotaka wewe Lisa unawapenda Israel au palestina
NB ,, Kuna uwezekano mkubwa mdogo wetu amekufa coz ni black, hisia ambazo haziwezi zikambeba Mungu halisi Wala Yesu kristo ishara ya upendo na kuvumiliana katika madhaifu yetu,,,, shauri zenu!!!!
Mkuu mengi,,,ila pointi. ya ubaguzi nakubaliana na wewe...Nyie mnaobeba vita hii na kotoa haki kwa mahaba ya dini zenu mnakosea sana, ni kweli utokeaje wake Iko associated na sababu za kiungu(siyo dini plz), ila nyie na dini zenu na mlivobebeshwa mafundisho ya kukalili mnaaenda mbali sana, niwashauli tu kasomeni upya vitabu vya dini mkiwa peke yenu ,msiruhusu mtu yeyote awaambie Nini maana ya maandiko hayo,ila muombeni Mungu awape maana ,mnaposoma mtenganishe misingi ya dini zenu na mfanye kama kitabu huru kwa ajili ya maarifa
Nao wajanja washajua mnavowachukulia, wanatumia Ujinga wenu katika kutokuelewa kama silaha ya kuungwa mkono, wengine wakisikia Allah Akbar wanajua ni wenzao, wanafurahi kwa mahaba yaliyopitiliza mpaka wanaacha kutumia akili,
Hao waarabu wakimalizana na ulimwengu wote ,wakawa na uwakika wote ni waislamu, blacks mtapata shida ,and possibly mtauliwa wote,rejelea Sudan na janjaweed " inawezekana sana uislamu ambao unaweza ikawa na mapenzi ya Mungu uko bongo tu, huku hatubaguani,. Ingawa Kuna sehemu hapahapa bongo Kuna misikiti ya waarabu na misikiti ya waswahili,humor zamani hukuti mweusi ,Bora siku hizi,which I know Mungu hayupo hivo
Uke ukristo, wiki tatu kabla ya vita kuanza Israel kulikuwa na case ya wakristo kudhalilishwa kwa kutemewa mate, hao ni wayahudi kwa wayahudi, ,, acha wale blacks Jews wanavyobaguliwa, Still Mungu hayupo hivo nakwambia, afu Kuna juha humu Hadi Kila anashindwa ,ooo taifa takatifu, kill them the bastard nk,. Uelewa kisoda, sumu na propaganda zimejaa kichwani,,,, ombeni sana sana kwa ajili ya hii vita,Tena isiwe upande Mmoja, acha Mungu ajidhihilishe anavotaka, siyo unavotaka wewe Lisa unawapenda Israel au palestina
NB ,, Kuna uwezekano mkubwa mdogo wetu amekufa coz ni black, hisia ambazo haziwezi zikambeba Mungu halisi Wala Yesu kristo ishara ya upendo na kuvumiliana katika madhaifu yetu,,,, shauri zenu!!!!
Bas tufanye kajiua mwenyewe mkuu..Anhaaa, kwa hiyo ana verify kwamba ni wao ndio wanaohusika na inshu ya kumuua mwanatu na sio Israel?
Afu kama vipi tupe link tukaisome vizur hyo taarifa.
Ndio eneo pekee anapata damu nyingi sana kwa mda mfupi.Hatari sana.
VITA NI USHETANI (KATAA VITA).
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kumbe ban Israel walikuwepo hapo afu wakaondoka 🤣🤣🤣😂Nchi ipi?
Waisrahell wote walikua wameondoka kwenye hio nchi mnayodai yao
Hili lakua waliregelea baada ya kuhama ni jipya
Ndio kwanza nasikia leo kwamba nchi nzima watu walihama halaf wakarejelea huu uzuzu mnalishwa
Mazayuni magaidi hayafai kuwepo pale yalipo
Hiyo haituhusu. Kwanini Hamas wamewaua watoto wa Tz wasihusika na migogoro yao??Yani urudi uwakute wapalestina wanaishi uwaambie hapa ni kwangu ondokeni hii inakuingia akilini hii? Assume wewe ni mpalestina unaambiwa ondoka hapa siyo kwako wakati umezaliwa hapo vizazi na vizazi. Foolish
Sijasema nimeulizaBwana Utam umesema vema kwamba "walikuwa wameondoka" kwa hiyo kumbe walikuwapo hapo awali, hivyo basi wamerudi kwao.
Hapana sijakulisha maneno umesema mwenyewe basi ungeweka alama ya kuuliza, anyway waisrael walisharudi kwao kama ambavyo Mungu alisema kwenye Kitabu za kitakatifu cha biblia na wataendelea kuwepo milele na milele hapo nchi takatifu ya Israel kama ambavyo wapo sasa. Kizuri zaidi ni kwamba kuna muda utafika ukubwa wa nchi ya Israel utakuwa mkubwa zaidi ya huu wa sasa kwa hiyo waarabu watapoteza maeneo zaidi.Sijasema nimeuliza
Usinilishe maneno kijana tafadhali
huyo msemaji naye yupo kwenye rada, ataenda kuwa msemaji wa shetani kuzimu muda si mrefu. aliyeleta hii dini aliharibu sana ulimwengu huu.
Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel
Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia wa nchi nyingine wasiwe wanaendelea kukaa huko,
Msemaji wao ameongeza kuwa raia wa kigeni kwenda Israel kwa ajili ya shughuli yoyote ni kama anaunga mkono taifa hilo haramu na hivyo naye ni muhusika kwenye vita yao isiyoisha dhidi ya Israel
wanaotetea ugaidi hata hawajui wanatetea nin wanatiririka tu Ili wapate thawabuYule aliyekuwa anawatetea pale Clouds TV ni Balozi wa Egypt?🐼
Bila shaka sasa UN na wale wanaowatetea Hamas mmjua kwa nini Israel inaua hata hao mnaoita raia. Ukamaliza.raia wa Gaza umemaliza Hamas.
Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel
Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia wa nchi nyingine wasiwe wanaendelea kukaa huko,
Msemaji wao ameongeza kuwa raia wa kigeni kwenda Israel kwa ajili ya shughuli yoyote ni kama anaunga mkono taifa hilo haramu na hivyo naye ni muhusika kwenye vita yao isiyoisha dhidi ya Israel
Kwa hiyo nkuulize swali wayahudi kwao no wapi kwa asiliUnawafanyishaje watu kazi kwenye nchi yao? Wayahudi waliingia palestina kama wakimbizi 1947 leo hii wale waliowakaribisha ndio wamegeuka kuwa wakimbizi . Ukiuliza eti Mungu wenu ndio alisema. Foolish
Kwani walipokuja palestina kama wakimbizi walitoka wapi? Huko walipotoka ndio kwaoKwa hiyo nkuulize swali wayahudi kwao no wapi kwa asili
Kama haikuhusu basi tulia hivyo hivyo .wambieni hao watoto wenu wasiende huko watu wanapigania uhuru wao ni eneo la vita.Hiyo haituhusu. Kwanini Hamas wamewaua watoto wa Tz wasihusika na migogoro yao??
Unajua haramu??? Haramu ni wewe usiyejitambua, wacha moto uwake Gaza, wacha watu walie, wacha wabakwe akina FaizaFoxy huko, watu wanatia huruma balaaa but who care??? Wacha watu waishi kama panya kwenye mashimo jamani raha naona mie🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣