Hamas wajibu sababu ya kuteka na kuua raia wa kigeni: Inatuma ujumbe taifa haramu la Israel sio salama kuingia

Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel

Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia wa nchi nyingine wasiwe wanaendelea kukaa huko,

Msemaji wao ameongeza kuwa raia wa kigeni kwenda Israel kwa ajili ya shughuli yoyote ni kama anaunga mkono taifa hilo haramu na hivyo naye ni muhusika kwenye vita yao isiyoisha dhidi ya Israel
Shetani hata ajigeuze malaika lazima ajisahau na aurudie ushetani wake. Sasa wamejiumbua wenyewe. Kwani wakiwateka hao raia wa kigeni lazima wawaue? Shetani ni shetani tu.
 
Hoja kuu kwa sasa ni kuisaport israel iwafute hao magaidi wa kiislamu hapo mashariki ya kati
Waliowaua Watanzania Watoto wetu Kwa Makusudi. Clemence na Joshua Mungu ameshawalipia. Nchi inafutwa hiyo. Israel piga Nuclear ifute kabisa hii IsisHamas wachimba mahandaki.
 
yahudi walikaribishwa palestina kama wakimbizi. Leo hii wale waliowakaribisha ndio wamegeuka kuwa wakimbizi. Ukiuliza eti unaambiwa ni Mungu wao alisema . Foolish

Foolish ni wewe, wayahudi wapo Israel for 3000 years walifukuzwa na warumi wamerudi kwao! Israel ilikuwepo kabla ya waarabu kuivamia. Waislamu wenyewe wanatambua Torati na manabii wote walikuwa wayahudi na kwao Israel halafu le leo wanawakana foolish contradiction.
Sawa tuseme nchi ni ya waisraeli tangu kale.

Sasa, Nchi ya asili ya wapalestina ni ipi?

Wapalestina walikuja Israel wakitokea nchi gani?
 
Waliowaua Watanzania Watoto wetu Kwa Makusudi. Clemence na Joshua Mungu ameshawalipia. Nchi inafutwa hiyo. Israel piga Nuclear ifute kabisa hii IsisHamas wachimba mahandaki.
Mkuu unazijua athari za nuclear?

Hilo bomu halipigwi hovyo hovyo tu, kama vi guruneti.

Huo mtalimbo ukilipuliwa hapo watafutika wote waisraeli na wapalestina.
 
yahudi walikaribishwa palestina kama wakimbizi. Leo hii wale waliowakaribisha ndio wamegeuka kuwa wakimbizi. Ukiuliza eti unaambiwa ni Mungu wao alisema . Foolish

Foolish ni wewe, wayahudi wapo Israel for 3000 years walifukuzwa na warumi wamerudi kwao! Israel ilikuwepo kabla ya waarabu kuivamia. Waislamu wenyewe wanatambua Torati na manabii wote walikuwa wayahudi na kwao Israel halafu le leo wanawakana foolish contradiction.
Warumi wako wapi? 🤣
 
Unatuletea stori za miaka 3000 hapa aisee umetuonaje? 🤣
 
Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel

Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia wa nchi nyingine wasiwe wanaendelea kukaa huko,

Msemaji wao ameongeza kuwa raia wa kigeni kwenda Israel kwa ajili ya shughuli yoyote ni kama anaunga mkono taifa hilo haramu na hivyo naye ni muhusika kwenye vita yao isiyoisha dhidi ya Israel
Muuawe tu hadi akili ziwakae.
Kama utakataa uwepo wa taifa la Israel maana yake ni kwamba unamlazimisha kujilinda kwa gharama yoyote ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel

Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia wa nchi nyingine wasiwe wanaendelea kukaa huko,

Msemaji wao ameongeza kuwa raia wa kigeni kwenda Israel kwa ajili ya shughuli yoyote ni kama anaunga mkono taifa hilo haramu na hivyo naye ni muhusika kwenye vita yao isiyoisha dhidi ya Israel
Cc kimsboy jahidina kindakindaki aliyekuwa anapinga HAMAS hawajaua mtanzania mwenzetu
 
Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel

Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia wa nchi nyingine wasiwe wanaendelea kukaa huko,

Msemaji wao ameongeza kuwa raia wa kigeni kwenda Israel kwa ajili ya shughuli yoyote ni kama anaunga mkono taifa hilo haramu na hivyo naye ni muhusika kwenye vita yao isiyoisha dhidi ya Israel
Onyo hili wangelitowoa kabla ya 7/10/23.
Hivyo Tz licha ya kuilaani Israel, ina maana Tz inaunga mkono israeli.
Na mwisho wangeweza kuwachukua Tu kama mateka na sio kuwatesa au kuwaua.
 
Tuache mahusiano na israel ni taifa la kikaburu tu.
Huna akili wewe na magaidi wenzako. Kama lilikuwa ni kosa Watanzania wenzetu kuwa ndani ya ardhi ya Israel, vipi kuhusu Wapalestina wanayoishi ndani ya ardhi hiyo?

Halafu Hamas wangekuwa wanajua Historia ya jinsi Tanzania imekuwa inaunga mkono harakati za Wapalestina, kiasi kwamba kuna ubalozi wa Palestina nchini Tanzania ilhali ule wa Israel haupo, ingewafanya wasiwadhulumu hao Watanzania wenzetu, ila kwavile shule yao ni ndogo hayo yote hawayazingatii.
 
Wanazidi kupandikiza chuki kwa mataifa mengine dhidi yao. Ni bora mara sabini wangenyamaza tu japo inanimate kuona serikali hadi sasa inamuacha Balozi wa Palestina. Inauma.na kushangaza sana.
Hiyo imeletwa kwa propaganda hizo hizo tu. Kupandikiza chuki.
 
Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel

Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia wa nchi nyingine wasiwe wanaendelea kukaa huko,

Msemaji wao ameongeza kuwa raia wa kigeni kwenda Israel kwa ajili ya shughuli yoyote ni kama anaunga mkono taifa hilo haramu na hivyo naye ni muhusika kwenye vita yao isiyoisha dhidi ya Israel
Mbwa hawa,ndo wauwe wasio husika,
 
Back
Top Bottom