Hamas wameibamiza Israel kwenye kona baada ya kukubali kusitisha vita na kuachia mateka. Netanyahu alaumiwa na kila mtu

Anajaribu kujitoa kimasomaso baada mkakati wake wa kuhakikisha mateka wanakombolewa kwa mabavu umeshindwa!
nan alikwambia anafuata mateka ? wameifa watu 34000 ila ww huoni hili unaona mateka 460 tu , uislam ni ushetan haujali hatima za waumin wake zinajali kuwaumiza makafir tu
 
HAMAS ni WanaumeπŸ€­πŸ˜πŸ˜†
wanaume kwa kuanzisha vita na Kuomba poo ? waislam ni jamii fulan ya watu wajinga wajinga , licha ya vifo 34000 vya wapalestina kwa ujinga wa Hamas ila bado wajinga mnapata nguvu ya kuwasifia , wayaud hawapandi vita ila waislam mnawachokoza wayaud kama mfanyavyo huku Afrika

Uislam sio dini ya mungu , ni Ushetani mtupu , ndio maana waumin wake hawaoni vifo vya wapalestina 34000 ila wanafurahia mateka 460 ambao hawajaokolewa , kabla ya uvamiz Netanyau alisema hana mpango wa kuvamia iwapo mateka wataachwa ika waislam na mashosti zao wakagoma leo hii wanamlaumu Netanyau , hii dini ni ya hovyo kwel kwel
 
Hamas wametema bungo, wamepima kina wakaona tutaisha na wananchi wataisha. Israel hana utani kama nchi za Ulaya na USA. Je sharti la two states solution limezingatiwa?
 
Wanaume gani wanapigana kwa kuvizia, wanaume ni kupigana uso kwa macho!
Hamas wanashambulia kwa kushtukiza halafu wanakimbilia kwenye mapango kama panya huku wengine wanajifichia mwenye makazi ya raia.
Magaidi wa Israel,wanavizia kwa kupiga kwa mabomu ya ndege.Na kuua watoto na wanawake,badala ya kupigans na wanaune.
 
Wawasifia magaidi wenzako wa Israel.
 
nan alikwambia anafuata mateka ? wameifa watu 34000 ila ww huoni hili unaona mateka 460 tu , uislam ni ushetan haujali hatima za waumin wake zinajali kuwaumiza makafir tu
.wawasifia magaidi wenzako wa Israel.Wakati kuna wakristo kibao wameuliwa na magaidi wa Israel.
 
Hayo Makubaliano wameingia na Israel ipi haswa? maana inashangaza even netanyahu hajui.. Maana Israel ilitoa wiki moja tu kwa Hamas wakubali Matakwa na Marekani ameshaambiwa Israel hana namna zaidi ya kuichakaza Rafah last strongholds ya Magaidi
Anajifanya kama hajui kuwaridhisha wapenda vita wenzake wachache.Lakini atapewa taarifa kamili karibuni hivi.
 
Anajaribu kujitoa kimasomaso baada mkakati wake wa kuhakikisha mateka wanakombolewa kwa mabavu umeshindwa!
Netanyahu anatamani asingetaja mateka kama moja ya malengo ya vita kwani kwa hilo ameshindwa kwa asilmia 97.Sasa amebakiwa na kuwamaliza Hamas ambao bado wanampiga chenga za maana sana.
 
Netanyahu anatamani asingetaja mateka kama moja ya malengo ya vita kwani kwa hilo ameshindwa kwa asilmia 97.Sasa amebakiwa na kuwamaliza Hamas ambao bado wanampiga chenga za maana sana.
Kweli kabisa naona HAMASA wamefanikiwa sana pale GAZAπŸ˜‚

Kupata vichekesho kama hivi unabonyeza ngapi πŸ˜‚
 

Attachments

  • E3A6B998-B96F-497F-A123-01BBBB0B157A.jpeg
    237.8 KB · Views: 2
  • 024D6D9F-F105-47B9-8F5F-C2268909CC1F.png
    950.2 KB · Views: 3
tumechoka kuona mauaji ya watoto wadogo wasio na hatia.
ICC is waiting for Netanyahu.
 
Wewe utakuwa unatafuta basha kwa nguvu yaani mimi nipoteze muda wangu kujibishana na mashoga?
 
Vyovyote itakavyokuwa wamecheza kama pele na wamefunga goli la ushindi.
Wanaacha mateka alafu Israel wanarudi tena vitani kwasababu zingine, then mnaanza tena yowe...hakuna wa kumfunga kamba Israel, mwaka huu wapalestina nawaonea huruma sana...dunia imewatenga.
 
Wanaacha mateka alafu Israel wanarudi tena vitani kwasababu zingine, then mnaanza tena yowe...hakuna wa kumfunga kamba Israel, mwaka huu wapalestina nawaonea huruma sana...dunia imewatenga.
Mungu yuko pamoja nao.
Wanaowatenga wapalestina karibu hivi na wao Mungu atawatenga na kuwatenganisha kwa namna anayoijua mwenyewe.
 
Nimeelewa akili yako tofauti na yangu kiulewa.

Umeshindwa kunielewa so endelea kuota.
 
Wewe kuna mawili:-

1. Aidha una umri chini ya miaka 20 maarufu kama (U-20) AU

2. Kama uko above 20, basi hauna elimu yoyote ya maana tofauti na ile mliyozoea ya Madrassat ambayo kikawaida haipanui thinking capacity ya mtu ila ni kudumaza akili tu.
 
hivi Rafah kuna nini cha muhimu zaidi hadi HAMAS wanaogopa kuvamiwa hapo? au ndiko boss wao alipojificha?
 
Haya tufanye wewe ni agent wa CIA baada ya kuwashushia mvua ya makombora Israel then ikawaje? Wameteka nchi ?wamesimika mtawala wao pale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…