Hamas wameibamiza Israel kwenye kona baada ya kukubali kusitisha vita na kuachia mateka. Netanyahu alaumiwa na kila mtu

Si tumeisha mjibu Israel alisema hatoki Gaza mpa awamalize Hamas hataki peace wala nini na Hamas hio ndio kauli ya Netanyahu na viongozi wa US kuanzia Biden na wasaidizi wake mpaa kile kimama Hillary Clinton mpo wapi? Mnabembeleza kila kukicha Hamas asimamishe vita 😄

Swali lingine nyie simnasemaga Israel akipigwa lazima arudishe kipigo, Yemen kila mara anaipiga Israel anapiga meli zao pia, hebu nipe wapi Israel karusha hata jiwe Yemen 😄
Kwa hiyo wewe furaha yako Israel aendelee kumwaga damu za waislam wenzako Gaza? Hao Us na wengineo wameona myahudi hatanii atawamaliza kweli, wameona huruma kwa watoto na akina mama hivyo wanabembelezwa Hamas waache kushupaza shingo
Maana wao wanakaa mapangoni Kama panya
 
Punguza kuota Israel alisema ataimaliza Hamasi na kasaidiwa na US na Europe nzima Hamasi wanaume imebidi US na warabu wakawabembeleze na kutoa ahadi ya kuijenga tena Gaza, na Silaha za Hamasi au viongozi wa Hamasi wapo pale pale sa Israel kafanya nini 😄
Unaandika ujinga.Wangefutwa wote.
 
Hamas imetoa tangazo rasmi la kukubali mapendekezo ya kusitisha vita na kuachia baadhi ya madai yao.

Tangazo hilo limeleta furaha kubwa kwa watu wa Gaza na hata Israel japo limekuja huku Israel imeshatoa tangazo la kuhamisha watu mashariki ya Rafah tayari kurudia mashambulizi yale ya nguvu yaliyozoeleka kuanzia kaskazini mpaka Khani Younis.

Dalili za Hamas kukubali kusitisha vita zilikwishaonekana na majibu ya Netanyahu hayakuwaridhisha wananchi wengi wa Israel wakiongozwa na kiongozi wa upinzani,Yair Lapid.

Viongozi wa Hamas wakiungwa mkono na nchi zinazosimamia upatanishi wamemlaumu sana Benjamin Netanyahu kuwa kwa hamu yake ya kuendeleza vita akitaraji kubadili upepo kuwa ndiye kikwazo katika juhudi hizo za kumaliza vita.

Kwa tangazo hili rasmi la Hamas ni lazima kwa Israel kufuta mpango wa kuivamia Rafah au kuendelea na kushindwa moja kwa moja.

Hatua ya kuendelea kuinjgia Rafah na kuuwa mamia ya maelfu ya watu tena kunahatarisha zaidi kuwavuta Misri na Jordan kuvunja mikataba ya amani waliyowekeana na Israel.

Gideon Levy ambaye ni mwandishi mashuhuri wa gazeti la Haaretz amesema Hamas wamecheza sana kwa hatua waliyochukua ambapo wameiwacha serikali ya Israel ikiwa imeduwaa.
Hapo Rafah Kwenyewe Ni kama pale Kibera Nairobi ...Usije ukafikiri hawa waarabu wana akili NI ujinga mwingi tu. Ni vile elimu Yao ni dini ya kuua Hajui kingine
 
Kwa hiyo wewe furaha yako Israel aendelee kumwaga damu za waislam wenzako Gaza? Hao Us na wengineo wameona myahudi hatanii atawamaliza kweli, wameona huruma kwa watoto na akina mama hivyo wanabembelezwa Hamas waache kushupaza shingo
Maana wao wanakaa mapangoni Kama panya
Sasa kama wanakaa mapangoni mbona bado askari wa kizayuni wanateketea kila uchwao na mapigano ni ya moto haswa?

Acha kulishwa upepo na mashoga dunia ya leo una vyanzo vingi vya kujipatia taarifa usisubiri propaganda za mashoga.
Ni kama watu walivyoaminishwa kwamba Israel ni taifa kuuuuubwa lenye minguvu na hakuna taifa lolote litakalothubutu kurusha hata jiwe ndani ya ardhi ya Israel.

Ukweli ni kwamba Israel ni kama Burundi tu maana kamiminiwa mvua ya makombora na drones na Iran na zikapiga target kama Waajemi walivyojichagulia maeneo ya kupiga.

Amefanya niini huyo Zayuni zaidi ya kuingiwa baridi?
 
Hamas imetoa tangazo rasmi la kukubali mapendekezo ya kusitisha vita na kuachia baadhi ya madai yao.

Tangazo hilo limeleta furaha kubwa kwa watu wa Gaza na hata Israel japo limekuja huku Israel imeshatoa tangazo la kuhamisha watu mashariki ya Rafah tayari kurudia mashambulizi yale ya nguvu yaliyozoeleka kuanzia kaskazini mpaka Khani Younis.

Dalili za Hamas kukubali kusitisha vita zilikwishaonekana na majibu ya Netanyahu hayakuwaridhisha wananchi wengi wa Israel wakiongozwa na kiongozi wa upinzani,Yair Lapid.

Viongozi wa Hamas wakiungwa mkono na nchi zinazosimamia upatanishi wamemlaumu sana Benjamin Netanyahu kuwa kwa hamu yake ya kuendeleza vita akitaraji kubadili upepo kuwa ndiye kikwazo katika juhudi hizo za kumaliza vita.

Kwa tangazo hili rasmi la Hamas ni lazima kwa Israel kufuta mpango wa kuivamia Rafah au kuendelea na kushindwa moja kwa moja.

Hatua ya kuendelea kuinjgia Rafah na kuuwa mamia ya maelfu ya watu tena kunahatarisha zaidi kuwavuta Misri na Jordan kuvunja mikataba ya amani waliyowekeana na Israel.

Gideon Levy ambaye ni mwandishi mashuhuri wa gazeti la Haaretz amesema Hamas wamecheza sana kwa hatua waliyochukua ambapo wameiwacha serikali ya Israel ikiwa imeduwaa.
Hata kama hamas wakubali kusitisha mapigano lazima rafah ichakazwe magaidi wengi wa hamas wamejificha hapo
 
We ndio mjinga Israel hio si vita anayo pigana ni genocide tu.

Vita apigane na Hamas c kuvunja majumba, hospital, shule mpumbafu mmoja wewe.
Genocide wanasababisha hamas wenyewe kujificha ficha maeneo ya raia wa gaza na kuvaa kiraia kipindi cha mapigano kiufupi wamewageuza raia kama ngao hao hamas
 
Ama Hamas wawaache mateka au wasiwaachie kipondo kitabaki palepale hadi Israel itakapoona imeshiba

Hao mateka kwenye medani za kivita Israel inawachukulia kama ni maiti tayari
Israel haipigi Gaza kwa sababu ya mateka..... Nope
Israel inapiga Gaza kufyeka mtandao wote wa Hamass na kisha kuja kuweka ukoloni mpya wa kuwakalia kisawasawa kuhakikisha yaliotokea Oct 7 hayajirudii tena
 
Punguza kuota Israel alisema ataimaliza Hamasi na kasaidiwa na US na Europe nzima Hamasi wanaume imebidi US na warabu wakawabembeleze na kutoa ahadi ya kuijenga tena Gaza, na Silaha za Hamasi au viongozi wa Hamasi wapo pale pale sa Israel kafanya nini 😄
Mkuu Israel ana muhadaa tu Hamas aachie mateka ila kipondo kipo palepale
Hamas wenyewe wanajua na ndio maana kila wanavyojaribu kufanya negotiation ili ku by time jamaa wanendelea kutwanga tu
 
We ndio mjinga Israel hio si vita anayo pigana ni genocide tu.

Vita apigane na Hamas c kuvunja majumba, hospital, shule mpumbafu mmoja wewe.
Sasa mkuu kama unageuza majumba ya watu, hospitali, shule, miskikiti kama vituo vya kufanyia mashambulio ulitegemea nini?
 
Netanyahu alishasema siku nyiiiingi kwamba Rafah itapigwa tuu kuwe/kusiwe na usitishaji mapigano!.
Anajaribu kujitoa kimasomaso baada mkakati wake wa kuhakikisha mateka wanakombolewa kwa mabavu umeshindwa!
 
Hamas imetoa tangazo rasmi la kukubali mapendekezo ya kusitisha vita na kuachia baadhi ya madai yao.

Tangazo hilo limeleta furaha kubwa kwa watu wa Gaza na hata Israel japo limekuja huku Israel imeshatoa tangazo la kuhamisha watu mashariki ya Rafah tayari kurudia mashambulizi yale ya nguvu yaliyozoeleka kuanzia kaskazini mpaka Khani Younis.

Dalili za Hamas kukubali kusitisha vita zilikwishaonekana na majibu ya Netanyahu hayakuwaridhisha wananchi wengi wa Israel wakiongozwa na kiongozi wa upinzani,Yair Lapid.

Viongozi wa Hamas wakiungwa mkono na nchi zinazosimamia upatanishi wamemlaumu sana Benjamin Netanyahu kuwa kwa hamu yake ya kuendeleza vita akitaraji kubadili upepo kuwa ndiye kikwazo katika juhudi hizo za kumaliza vita.

Kwa tangazo hili rasmi la Hamas ni lazima kwa Israel kufuta mpango wa kuivamia Rafah au kuendelea na kushindwa moja kwa moja.

Hatua ya kuendelea kuinjgia Rafah na kuuwa mamia ya maelfu ya watu tena kunahatarisha zaidi kuwavuta Misri na Jordan kuvunja mikataba ya amani waliyowekeana na Israel.

Gideon Levy ambaye ni mwandishi mashuhuri wa gazeti la Haaretz amesema Hamas wamecheza sana kwa hatua waliyochukua ambapo wameiwacha serikali ya Israel ikiwa imeduwaa.
ila kuwa muislam inahitaj kujitoa akili , Hamas ndo walianza vita ila leo mnamlaumu Netanyau kwa kujibu mapgo ya Hamas , huku Afrika waislam mnaua watu ila muda si mrefu mkianza jibiwa mtaanza lia lia liwa mnataka amani wkt muda huu nyinyi ndo mnaivuruga amani

Uislam ni sw uwendawazimu
 
Back
Top Bottom