Hamas wameibamiza Israel kwenye kona baada ya kukubali kusitisha vita na kuachia mateka. Netanyahu alaumiwa na kila mtu

Hamas wameibamiza Israel kwenye kona baada ya kukubali kusitisha vita na kuachia mateka. Netanyahu alaumiwa na kila mtu

Wewe akili zako kweli za kitoto huyo Netanyahu mara ngapi anaenda jificha chini ya mashimo huko Tela Aviv kama panya c bora nikaishi doha kuliko kuishi Tela Aviv kila kukicha niwe kama panya 😄
Leta ushahidi achana na story za wazeee wenzako mkishalewa ghahawa
 
Hayupo Frontline lakini hajaikimbia Israel kama hao viongozi wa waoga walioikimbia gaza
Umeambiwa Yahya Sinwar na viongozi wenzake wa kijeshi wapo ndani ya Gaza na Israel huwa anawaona siku moja moja wakihama kutoka handaki kwenda handaki jengine.Sasa wapi walipokimbia.
 
Hamas imetoa tangazo rasmi la kukubali mapendekezo ya kusitisha vita na kuachia baadhi ya madai yao.

Tangazo hilo limeleta furaha kubwa kwa watu wa Gaza na hata Israel japo limekuja huku Israel imeshatoa tangazo la kuhamisha watu mashariki ya Rafah tayari kurudia mashambulizi yale ya nguvu yaliyozoeleka kuanzia kaskazini mpaka Khani Younis.

Dalili za Hamas kukubali kusitisha vita zilikwishaonekana na majibu ya Netanyahu hayakuwaridhisha wananchi wengi wa Israel wakiongozwa na kiongozi wa upinzani,Yair Lapid.

Viongozi wa Hamas wakiungwa mkono na nchi zinazosimamia upatanishi wamemlaumu sana Benjamin Netanyahu kuwa kwa hamu yake ya kuendeleza vita akitaraji kubadili upepo kuwa ndiye kikwazo katika juhudi hizo za kumaliza vita.

Kwa tangazo hili rasmi la Hamas ni lazima kwa Israel kufuta mpango wa kuivamia Rafah au kuendelea na kushindwa moja kwa moja.

Hatua ya kuendelea kuinjgia Rafah na kuuwa mamia ya maelfu ya watu tena kunahatarisha zaidi kuwavuta Misri na Jordan kuvunja mikataba ya amani waliyowekeana na Israel.

Gideon Levy ambaye ni mwandishi mashuhuri wa gazeti la Haaretz amesema Hamas wamecheza sana kwa hatua waliyochukua ambapo wameiwacha serikali ya Israel ikiwa imeduwaa.
Wajisikiaje na khali sheikh
 

Attachments

  • Screenshot_2024-05-08-12-39-49-703_com.twitter.android.jpg
    Screenshot_2024-05-08-12-39-49-703_com.twitter.android.jpg
    721.2 KB · Views: 4
Back
Top Bottom