startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,148
- 1,478
Kwa hiyo wewe furaha yako Israel aendelee kumwaga damu za waislam wenzako Gaza? Hao Us na wengineo wameona myahudi hatanii atawamaliza kweli, wameona huruma kwa watoto na akina mama hivyo wanabembelezwa Hamas waache kushupaza shingoSi tumeisha mjibu Israel alisema hatoki Gaza mpa awamalize Hamas hataki peace wala nini na Hamas hio ndio kauli ya Netanyahu na viongozi wa US kuanzia Biden na wasaidizi wake mpaa kile kimama Hillary Clinton mpo wapi? Mnabembeleza kila kukicha Hamas asimamishe vita 😄
Swali lingine nyie simnasemaga Israel akipigwa lazima arudishe kipigo, Yemen kila mara anaipiga Israel anapiga meli zao pia, hebu nipe wapi Israel karusha hata jiwe Yemen 😄
Maana wao wanakaa mapangoni Kama panya