Hamas wameibamiza Israel kwenye kona baada ya kukubali kusitisha vita na kuachia mateka. Netanyahu alaumiwa na kila mtu

Wewe akili zako kweli za kitoto huyo Netanyahu mara ngapi anaenda jificha chini ya mashimo huko Tela Aviv kama panya c bora nikaishi doha kuliko kuishi Tela Aviv kila kukicha niwe kama panya πŸ˜„
Leta ushahidi achana na story za wazeee wenzako mkishalewa ghahawa
 
Israel is committing genocide.
Killing children.
 
Hayupo Frontline lakini hajaikimbia Israel kama hao viongozi wa waoga walioikimbia gaza
Umeambiwa Yahya Sinwar na viongozi wenzake wa kijeshi wapo ndani ya Gaza na Israel huwa anawaona siku moja moja wakihama kutoka handaki kwenda handaki jengine.Sasa wapi walipokimbia.
 
Wajisikiaje na khali sheikh
 

Attachments

  • Screenshot_2024-05-08-12-39-49-703_com.twitter.android.jpg
    721.2 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…