Acha Upuuzi wewe! Mawazo gani hayaHamas ameisadia dunia kujua hamna jeshi dhaifu kama la Israel miaka ya nyuma tulidanganywa sana na stori zao kumbe weupe tu, leo Yemen na Hezbollah wanataka vita kwa nguvu na Israel bila Hamas tungejua wapi udhaifu wa jeshi la Israel wanapigana na watoto na majengo.
Hujajibu swali. Vifo vya watu 37 na vilema vya maisha vya maelfu ya watu vimewasaidia nini Hamas. Au wewe uliyejua udhaifu wa jeshi la Israel then na life la watu lishakuwa jivu tupu.Hamas ameisadia dunia kujua hamna jeshi dhaifu kama la Israel miaka ya nyuma tulidanganywa sana na stori zao kumbe weupe tu, leo Yemen na Hezbollah wanataka vita kwa nguvu na Israel bila Hamas tungejua wapi udhaifu wa jeshi la Israel wanapigana na watoto na majengo.
Ina maana Hamas wao hawajakubali masharti ya Israel kumbe?Netanyahu katema bungo huko kakubali kwpeleka pendekezo la kuondoka Gaza na kuondoa majeshi yote, anamba mateka wake sasa kakubali masharti ya Hamas.
Naona Netanyahu ameamua kuendelea kushughulika na magaidi bila huruma.
Unaropokaga kama kawaida yako.kipigo ndio lugha pekee wanayoijua Hamas, hakukuwa na vita bali mgogoro, Israel iseme iishambulie Gaza kama wanavyofanya Hamas kuua watu hovyo, Gaza inakuwa Historia !!
wanaotetea Hamas wana matatizo, hawa magaidi wanaishambulia Israel kwa kufyatua makombora wakiwa kwenye makazi ya watu, wanatumia watu kama ngao, Mzinga umewekwa mtaani ama kwenye shule unafyatua makombora 50 kuelekea Israel lakini Israel ikijilinda kwa kulipua mizinga kwa kombora moja tu basi lazima kuwepo na maafa ya watu wengine wa karibu na hio mizinga, hapa hamas wanafurahia anarekodi, watu waliofariki, kucheza filamu za kinafki kujifanya wanasaidia kuokoa watu walionasa, n.k. vipofu huanza kupiga kelele free Palestine wakiona hizo video bila kufikiria kwamba hamas ndie chanzo
Turkiye sio Turkey,Turkiye ni NATO member.Jeshi dhaifu huku marafiki zenu Iran, Turkey wanachungulia kwa mbali bila kutoa hata support ya jeshi kwenda kupigana na kuwafukuza wayahudi
Spain wamezalishwa sana na waarabu na waturuki kipindi cha Ottoman empire na Mamluk Sultanate.Nilikuliza swali ukandandia mnazi 😄
Warabu wamewazalisha Spain usiombe. Kama vile walivyo wazalisha wafrica, sa zamu ya mchina kuwazalisha.
We si ajabu shombe wa kiarabu naona unawachukia sana warabu.
Badaye usianze wachukia wachina pia.
Netanyau kule Daniel Hagar pale kat Yoav Gallant hawanaga kazi mbovu hao mleta uzi kakurupuka baada ya kushiba tende za msaada hapo masjid taqo akifikiri myahudi ni mtu asiye na msimamo sasa washaikataa revised version ya ceasefire iliyoletwa na magaidi ya makamasi so ni kipigo kwa kwenda mbele kwa magaidi, wake zao, watoto wao.Naona Netanyahu ameamua kuendelea kushughulika na magaidi bila huruma.
Kazi iendelee
Hivi we unadhani Houthi-Yemeni na Hizbollah-Lebanon wanaishambulia Israel kwa nguvu ya nani kama sio Iran!?
Yeah naona kweli hanaga kazi mbovu kiasi anapatisha ulemavu wa kudumu zaidi ya askari 12k.Netanyau kule Daniel Hagar pale kat Yoav Gallant hawanaga kazi mbovu hao mleta uzi kakurupuka baada ya kushiba tende za msaada hapo masjid taqo akifikiri myahudi ni mtu asiye na msimamo sasa washaikataa revised version ya ceasefire iliyoletwa na magaidi ya makamasi so ni kipigo kwa kwenda mbele kwa magaidi, wake zao, watoto wao.
Wewe kweli punguaniHujajibu swali. Vifo vya watu 37 na vilema vya maisha vya maelfu ya watu vimewasaidia nini Hamas. Au wewe uliyejua udhaifu wa jeshi la Israel then na life la watu lishakuwa jivu tupu.
Sasa ulidanganywa 'up on a time' alafu unataka vipindi vifanane how?.... miaka ya nyuma tulidanganywa sana na stori zao kumbe weupe tu, ...
Migaidi ya makamas inawahifadhi baadhi ya hostages kwenye familia za wapalestina. Wale walookolewa juzi kuna walokuwa wanahifadhiwa na familia ya mwandishi gaidi wa media ya kikobaaz ya aljazeera ile IDF kubiga ambush bi mkubwa wa gaid anajifanya eti alikuwa anasoma koran aaah kwan IDF walijali sasa wameulia mbali magaidi yoooote kuanzia mwandishi, bi mkubwa mzuga kusoma koran, na wengine, yaan kwa kifupi hao wanasemaga wanauliwa wazee, watoto, wanawake kumbe humo namo kuna migaidi kibao.Naona Netanyahu ameamua kuendelea kushughulika na magaidi bila huruma.
Kazi iendelee
Akuna kutema Bungo wala nini- Israel ana cha kupoteza. Mpaka Sasa Madhara yaliyowakuta Palestina ni makubwa kuliko yaliowapata Waisrael kwenye hivi Vita. Hamas mapendekezo yao mengine Israel ayataki(mfano kuna wafungwa Wa Hamas wamefungwa Maisha -Hamas anataka wawe part ya Makubaliano yao na Israel. Gaza itachukuwa miaka mingi kujengwa tena na isitoshe karibia kila mtu wa Gaza amepoteza ndugu au jamaa.Hii vita kwa Hamas ni hasara tupuNetanyahu katema bungo huko kakubali kwpeleka pendekezo la kuondoka Gaza na kuondoa majeshi yote, anamba mateka wake sasa kakubali masharti ya Hamas.
Hawa wengi ni mashabiki mandazi hawajui lolote 😂Yeah naona kweli hanaga kazi mbovu kiasi anapatisha ulemavu wa kudumu zaidi ya askari 12k.View attachment 3015110
na migaid zaidi ya 36,000 imetangulizwa kuzimu na inazidi kutangulizwa kuzimu kila siku.Yeah naona kweli hanaga kazi mbovu kiasi anapatisha ulemavu wa kudumu zaidi ya askari 12k.View attachment 3015110
Hao ni raia wa kiPalestina sio Hamas/alqassam brigade.na migaid zaidi ya 36,000 imetangulizwa kuzimu na inazidi kutangulizwa kuzimu kila siku.
Gaza sio mara kwanza kuharibiwa vile.Akuna kutema Bungo wala nini- Israel ana cha kupoteza. Mpaka Sasa Madhara yaliyowakuta Palestina ni makubwa kuliko yaliowapata Waisrael kwenye hivi Vita. Hamas mapendekezo yao mengine Israel ayataki(mfano kuna wafungwa Wa Hamas wamefungwa Maisha -Hamas anataka wawe part ya Makubaliano yao na Israel. Gaza itachukuwa miaka mingi kujengwa tena na isitoshe karibia kila mtu wa Gaza amepoteza ndugu au jamaa.Hii vita kwa Hamas ni hasara tupu