Hamas wamekubali pendekezo la Israel la kusitisha vita na kuondoa majeshi yote Gaza na kubadilshana wafungwa

Hamas wamekubali pendekezo la Israel la kusitisha vita na kuondoa majeshi yote Gaza na kubadilshana wafungwa

Hamas ameisadia dunia kujua hamna jeshi dhaifu kama la Israel miaka ya nyuma tulidanganywa sana na stori zao kumbe weupe tu, leo Yemen na Hezbollah wanataka vita kwa nguvu na Israel bila Hamas tungejua wapi udhaifu wa jeshi la Israel wanapigana na watoto na majengo.
Acha Upuuzi wewe! Mawazo gani haya
 
Hamas ameisadia dunia kujua hamna jeshi dhaifu kama la Israel miaka ya nyuma tulidanganywa sana na stori zao kumbe weupe tu, leo Yemen na Hezbollah wanataka vita kwa nguvu na Israel bila Hamas tungejua wapi udhaifu wa jeshi la Israel wanapigana na watoto na majengo.
Hujajibu swali. Vifo vya watu 37 na vilema vya maisha vya maelfu ya watu vimewasaidia nini Hamas. Au wewe uliyejua udhaifu wa jeshi la Israel then na life la watu lishakuwa jivu tupu.
 
Netanyahu katema bungo huko kakubali kwpeleka pendekezo la kuondoka Gaza na kuondoa majeshi yote, anamba mateka wake sasa kakubali masharti ya Hamas.
Ina maana Hamas wao hawajakubali masharti ya Israel kumbe?
 
kipigo ndio lugha pekee wanayoijua Hamas, hakukuwa na vita bali mgogoro, Israel iseme iishambulie Gaza kama wanavyofanya Hamas kuua watu hovyo, Gaza inakuwa Historia !!

wanaotetea Hamas wana matatizo, hawa magaidi wanaishambulia Israel kwa kufyatua makombora wakiwa kwenye makazi ya watu, wanatumia watu kama ngao, Mzinga umewekwa mtaani ama kwenye shule unafyatua makombora 50 kuelekea Israel lakini Israel ikijilinda kwa kulipua mizinga kwa kombora moja tu basi lazima kuwepo na maafa ya watu wengine wa karibu na hio mizinga, hapa hamas wanafurahia anarekodi, watu waliofariki, kucheza filamu za kinafki kujifanya wanasaidia kuokoa watu walionasa, n.k. vipofu huanza kupiga kelele free Palestine wakiona hizo video bila kufikiria kwamba hamas ndie chanzo
Unaropokaga kama kawaida yako.
Tangu Netanyahu arudi na Lapid atoke madarakani Israel imekua ikifanya unyanyasaji kwa watoto na wanawake wa kiPalestina.
Tena imekua ikifanya mauaji ya kimakusudi.
UNAMKUMBUKA SHERIN ABU AKLEH?
Alipigwa risasi makusudi ya kichwa na wapo waliopigwa risasi za makusudi,kesi zilipelekwa ICJ lakini USA kasaidia kuzizima.
Mwaka huu August wakaanza kuvunja nyumba za Palestina Jenin na kuchoma mashamba.
October watu wameshindwa kuvumilia wakaliamsha dude.
Kifupi ISRAEL kipigo ndio kitu anachoelewa,maana pasi na Hamas kujibu kwa Oktoba 7 Israel isingeelewa kitu.
Sasa kuanzia sasa nahisi Israel itajiheshimu na kupunguza unyanyasaji kwa Palestina.
Pia madai yako ya kuua hovyo raia na kujificha nyuma ya raia yalishathibitishwa ni uongo.
Bali IDF ilikua ikilenga makazi ya watu kimakusudi kuwapa hofu Hamas.
Kama unataka USHAHIDI NAKULETEA.
 
Jeshi dhaifu huku marafiki zenu Iran, Turkey wanachungulia kwa mbali bila kutoa hata support ya jeshi kwenda kupigana na kuwafukuza wayahudi
Turkiye sio Turkey,Turkiye ni NATO member.
Au unajisahaulisha?
Pia Iran anatoa sapoti kwa Hamas kupitia Hizbollah,hivi unadhani kama sio Hizbollah kuanzisha mashambulizi kaskazini mwa Israel ili kuligawa jeshi Hamas wangetoboa!?
 
Nilikuliza swali ukandandia mnazi 😄

Warabu wamewazalisha Spain usiombe. Kama vile walivyo wazalisha wafrica, sa zamu ya mchina kuwazalisha.

We si ajabu shombe wa kiarabu naona unawachukia sana warabu.

Badaye usianze wachukia wachina pia.
Spain wamezalishwa sana na waarabu na waturuki kipindi cha Ottoman empire na Mamluk Sultanate.
Hata viunga vya Barcelona/Catalunya watizame wale sura za kituruki kabisa.
Umeona wapi wazungu wana nywele nyeusi za kukoza na weupe wa kufifia mkuu!?
 
Naona Netanyahu ameamua kuendelea kushughulika na magaidi bila huruma.
Kazi iendelee
Netanyau kule Daniel Hagar pale kat Yoav Gallant hawanaga kazi mbovu hao mleta uzi kakurupuka baada ya kushiba tende za msaada hapo masjid taqo akifikiri myahudi ni mtu asiye na msimamo sasa washaikataa revised version ya ceasefire iliyoletwa na magaidi ya makamasi so ni kipigo kwa kwenda mbele kwa magaidi, wake zao, watoto wao.
 
Hivi we unadhani Houthi-Yemeni na Hizbollah-Lebanon wanaishambulia Israel kwa nguvu ya nani kama sio Iran!?
Silaha zote watumiazo ni Iran made.
Afghanistan Taleban wameita makundi kama Alqaeda kujiunga nao ili kujiandaa na vita na Israel kama hawataondoka Gaza,hii habari huijui nini mzee!?
Na nadhani Taleban na Alqaeda unawafahamu jinsi wanavyojua kutibua amani.
Kama waliivunja USSR hawashindwi kumchabanga Israel.
 
Hili unalizungumziaje!?
Screenshot_2024-06-12-07-24-30-54_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-06-12-07-24-45-16_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Netanyau kule Daniel Hagar pale kat Yoav Gallant hawanaga kazi mbovu hao mleta uzi kakurupuka baada ya kushiba tende za msaada hapo masjid taqo akifikiri myahudi ni mtu asiye na msimamo sasa washaikataa revised version ya ceasefire iliyoletwa na magaidi ya makamasi so ni kipigo kwa kwenda mbele kwa magaidi, wake zao, watoto wao.
Yeah naona kweli hanaga kazi mbovu kiasi anapatisha ulemavu wa kudumu zaidi ya askari 12k.
Screenshot_2024-06-12-07-24-30-54_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Hujajibu swali. Vifo vya watu 37 na vilema vya maisha vya maelfu ya watu vimewasaidia nini Hamas. Au wewe uliyejua udhaifu wa jeshi la Israel then na life la watu lishakuwa jivu tupu.
Wewe kweli punguani
Mnauliza maswali ya kitoto hivi vita mmevujulia JF Israel hawajaanza kuwaua Wapelestina jana au leo, tokea 1948, sasa ndiyo Hamas wameweza kuwauwa Wanajeshi wengi wa Israel na zaidi ya 20,000 wamekuwa vilema na Dunia imejua kuwa Israel hamna kitu jeshi dhaifu pamoja na kasaidiwa na Marekani na Ulaya.

Huu ni ushindi wa Palestina kwenye historia ya Israel hawajawahi kupoteza wanajeshi na kupata hasara kama Gaza.

Leo hii Marekani na Israel pamoja na washirika wao wanawaomba Hamas na wanakubali masharti yao wewe upo Tukuyu, hujui lolote mabwana zako ndiyo wanajua hasara waliopata leo Palestina inatambuliika kama nchi.
 
Naona Netanyahu ameamua kuendelea kushughulika na magaidi bila huruma.
Kazi iendelee
Migaidi ya makamas inawahifadhi baadhi ya hostages kwenye familia za wapalestina. Wale walookolewa juzi kuna walokuwa wanahifadhiwa na familia ya mwandishi gaidi wa media ya kikobaaz ya aljazeera ile IDF kubiga ambush bi mkubwa wa gaid anajifanya eti alikuwa anasoma koran aaah kwan IDF walijali sasa wameulia mbali magaidi yoooote kuanzia mwandishi, bi mkubwa mzuga kusoma koran, na wengine, yaan kwa kifupi hao wanasemaga wanauliwa wazee, watoto, wanawake kumbe humo namo kuna migaidi kibao.
 
Netanyahu katema bungo huko kakubali kwpeleka pendekezo la kuondoka Gaza na kuondoa majeshi yote, anamba mateka wake sasa kakubali masharti ya Hamas.
Akuna kutema Bungo wala nini- Israel ana cha kupoteza. Mpaka Sasa Madhara yaliyowakuta Palestina ni makubwa kuliko yaliowapata Waisrael kwenye hivi Vita. Hamas mapendekezo yao mengine Israel ayataki(mfano kuna wafungwa Wa Hamas wamefungwa Maisha -Hamas anataka wawe part ya Makubaliano yao na Israel. Gaza itachukuwa miaka mingi kujengwa tena na isitoshe karibia kila mtu wa Gaza amepoteza ndugu au jamaa.Hii vita kwa Hamas ni hasara tupu
 
na migaid zaidi ya 36,000 imetangulizwa kuzimu na inazidi kutangulizwa kuzimu kila siku.
Hao ni raia wa kiPalestina sio Hamas/alqassam brigade.
Mie pia nimetoa ripoti ya askari wa IDF sio raia wa Israel.
 
Akuna kutema Bungo wala nini- Israel ana cha kupoteza. Mpaka Sasa Madhara yaliyowakuta Palestina ni makubwa kuliko yaliowapata Waisrael kwenye hivi Vita. Hamas mapendekezo yao mengine Israel ayataki(mfano kuna wafungwa Wa Hamas wamefungwa Maisha -Hamas anataka wawe part ya Makubaliano yao na Israel. Gaza itachukuwa miaka mingi kujengwa tena na isitoshe karibia kila mtu wa Gaza amepoteza ndugu au jamaa.Hii vita kwa Hamas ni hasara tupu
Gaza sio mara kwanza kuharibiwa vile.
Hata 2021 iliharibika kama hivi na haikuchukua hata miaka miwili ikajengeka.
Tatizo pesa mzee,hapo Qatar wameahidi kuijenga Gaza.
Vita vikiisha pesa toka Qatar zitamwagwa kuijenga upya Gaza.
Israel imepat maafa pia ya anguko la uchumi,walemavu wengi jeshini wa kudumu ambapo February walifika zaidi ya 12k sasa sasa hivi sijui watakua wamefikia wangapi, bandari zake baadhi kutokufanya kazi,mtikisiko wa ndani wa kisiasa,mtikisiko wa kimataifa wa kisiasa/kidiplomasia,raia kuwa na ukimbizi wa ndani mathalan Galilee hakukaliki.
Je hayo ni madogo!?
 
Back
Top Bottom