kipigo ndio lugha pekee wanayoijua Hamas, hakukuwa na vita bali mgogoro, Israel iseme iishambulie Gaza kama wanavyofanya Hamas kuua watu hovyo, Gaza inakuwa Historia !!
wanaotetea Hamas wana matatizo, hawa magaidi wanaishambulia Israel kwa kufyatua makombora wakiwa kwenye makazi ya watu, wanatumia watu kama ngao, Mzinga umewekwa mtaani ama kwenye shule unafyatua makombora 50 kuelekea Israel lakini Israel ikijilinda kwa kulipua mizinga kwa kombora moja tu basi lazima kuwepo na maafa ya watu wengine wa karibu na hio mizinga, hapa hamas wanafurahia anarekodi, watu waliofariki, kucheza filamu za kinafki kujifanya wanasaidia kuokoa watu walionasa, n.k. vipofu huanza kupiga kelele free Palestine wakiona hizo video bila kufikiria kwamba hamas ndie chanzo