Hamas wamekubali pendekezo la Israel la kusitisha vita na kuondoa majeshi yote Gaza na kubadilshana wafungwa

Hamas wametaka Israel isimamishe vita moja kwa moja na iondoe majeshi yake yote Gaza iachie vivuko vya Rafah na Philadhelphi corridor.

Hamas wanachotaka ni uhuru.Wanapigania uhuru wa wapelestina na wajitawale wao wenyewe katika mipaka yao ndicho wanachopigania.Sasa ktk kutafuta uhuru lazima kuna wengine watamwaga damu uhuru hauji hivihivi .Dunia sasa ndo inaamka na kuona kweli kumbe wapelestina wanahitaji huhuru wao ktk nchi yao ambayo inatawaliwa na mkoloni amabae ni Myahudi
 
  • Micah 7:8: "Rejoice not against me, O mine enemy: when I fall, I shall arise; when I sit in darkness, the LORD shall be a light unto me" ISRAEL WILL RISE AGAIN- akuna atakaeshinda Israel
 
Haniye na Nakale hawataki kupigana ili wafe kwa ajili ya mnyezimungu?
 
  • Micah 7:8: "Rejoice not against me, O mine enemy: when I fall, I shall arise; when I sit in darkness, the LORD shall be a light unto me" ISRAEL WILL RISE AGAIN- akuna atakaeshinda Israel
Hakuna Mungu anayeipaisha taifa la mashoga.
Israel kila siku iendayo inaanguka sehem moja baada ya nyingine,jidanganye.
 
Soma un official figures zinasemaje. Unafahamu kiingereza? Tuendelee kunywa mtori. Nyama tutazikuta chini. Mimi nawafuata wanachosema Al Jazeera
Naona una tatizo la kutokuelewa unachokisoma.
Hiyo figure ni ya raia waliofariki na kujeruhiwa.
Mie nazungumzia askari mazeeh.
Natumai umeelewa.
 
Hamna cha uhuru wala nini?! Wale ni magaidi washughulikiwe bila kupepesa macho
 
Hahahaha😀 wewe kweli chipukizi hauna ujachojua zaidi ya kuongee fikra zako za killokole unasema Israel ana cha kupoteza?

Hahahaha😀 wewe kweli chipukizi hauna unchojua zaidi ya kuongee fikra zako za killokole unasema Israel ana cha kupoteza?
Benny Gantz, Gadi Eisenkot na Hili Tropper baada ya kujiuzulu wanajua walichosema? Benny Gantz alikuwa Waziri wa vita kasema wazi tumeshindwa, wewe Muisrael mweusi wa Ngudu unasema hawana cha kupoteza unajua idadi ya wanajeshi waliokufa Gaza? Unajua wanajeshi ambao wamebaki na vilema vya kudumu? Wapo zaidi ya 15,000.

Hawa Wapelestina wanaishi kwenye uwanja wa vita toka mwaka 1948 hamna famillia ambayo hawajuuliwa na Waisrael hawajaanza leo au jana kwa hiyo haya ni maisha yao wala hawana cha kupoteza.

Unasema Gaza itachukuwa muda kujengwa unadhani Gaza ni kama Kimara au Buza? Kuna mfuko wa kuijenga Gaza tayari unasimamiwa na Qatar na Saudia Arabia bado wanafiki wa Ulaya na Marekani watatoa pesa na wao.

Ufahamu kwa nini Hamas walikamata mateka unajua mateka 1 wa Israel anatoa wafungwa wangapi wa Palestina?
 
Kimbembe hakipo kwa mazayuni pekee, Wamarekani na NATO nzima imeuona moto unaowawakia.

Hivi kwa akili yakomashoga wa kizayuni wana ubavu wa kusimama na wapalestina? Jionee:


View: https://youtu.be/5wRJ5ha0V9g?si=id8GxCocgmxvtSSI
 
Siamini kama hilo ndo lilikuwa lengo lao. Kwamba walitaka ku expose uwezo wa jeshi la israel kwa gharama ya damu za ndugu zao?
 
Hamas wamefikia hapo baada ya Misri na Qatar kufikiria kuanza kuwafukuza viongozi wao nchini mwao.
Mimi nasubiri waishambulie tena Israeli kigaidi kama walivyofanya mwanzo.
Wawachokoze tena Mazayuni si wana kisasi nao.
 
Siamini kama hilo ndo lilikuwa lengo lao. Kwamba walitaka ku expose uwezo wa jeshi la israel kwa gharama ya damu za ndugu zao?
Wapi kasema uliyoyaandika, au huelewi unachokisoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…