Hamas wamekubali pendekezo la Israel la kusitisha vita na kuondoa majeshi yote Gaza na kubadilshana wafungwa

Hamas wamekubali pendekezo la Israel la kusitisha vita na kuondoa majeshi yote Gaza na kubadilshana wafungwa

Hamas wametaka Israel isimamishe vita moja kwa moja na iondoe majeshi yake yote Gaza iachie vivuko vya Rafah na Philadhelphi corridor.

Hamas wanachotaka ni uhuru.Wanapigania uhuru wa wapelestina na wajitawale wao wenyewe katika mipaka yao ndicho wanachopigania.Sasa ktk kutafuta uhuru lazima kuna wengine watamwaga damu uhuru hauji hivihivi .Dunia sasa ndo inaamka na kuona kweli kumbe wapelestina wanahitaji huhuru wao ktk nchi yao ambayo inatawaliwa na mkoloni amabae ni Myahudi
 
Gaza sio mara kwanza kuharibiwa vile.
Hata 2021 iliharibika kama hivi na haikuchukua hata miaka miwili ikajengeka.
Tatizo pesa mzee,hapo Qatar wameahidi kuijenga Gaza.
Vita vikiisha pesa toka Qatar zitamwagwa kuijenga upya Gaza.
Israel imepat maafa pia ya anguko la uchumi,walemavu wengi jeshini wa kudumu ambapo February walifika zaidi ya 12k sasa sasa hivi sijui watakua wamefikia wangapi, bandari zake baadhi kutokufanya kazi,mtikisiko wa ndani wa kisiasa,mtikisiko wa kimataifa wa kisiasa/kidiplomasia,raia kuwa na ukimbizi wa ndani mathalan Galilee hakukaliki.
Je hayo ni madogo!?
  • Micah 7:8: "Rejoice not against me, O mine enemy: when I fall, I shall arise; when I sit in darkness, the LORD shall be a light unto me" ISRAEL WILL RISE AGAIN- akuna atakaeshinda Israel
 
Wanaukumbi.

🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO.

Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha mapigano kwa Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar.

Majibu ambayo yalikabidhiwa ni pamoja na marekebisho ya pendekezo la "israeli", ikiwa ni pamoja na kusitisha mapigano.

Marekebisho hayo yalijumuisha uondoaji kutoka Ukanda wote wa Gaza, ikijumuisha kivuko cha Rafah na kivuko cha Philadelphia.
======================
🚨JUST IN: HAMAS SENT THE RESPONSE REGARDING CEASEFIRE PROPOSAL TO THE MEDIATORS WITH AMENDMENTS.

Haniyeh and Nakhaleh handed over the response to the "israeli" ceasefire proposal to the Prime Minister and Foreign Minister of Qatar.

The response that was handed over included amendments to the "israeli" proposal, including a ceasefire.

The amendments included a withdrawal from the entire Gaza Strip, including the Rafah crossing and the Philadelphia crossing.

View: https://x.com/suppressednws/status/1800605042145120726?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Haniye na Nakale hawataki kupigana ili wafe kwa ajili ya mnyezimungu?
 
  • Micah 7:8: "Rejoice not against me, O mine enemy: when I fall, I shall arise; when I sit in darkness, the LORD shall be a light unto me" ISRAEL WILL RISE AGAIN- akuna atakaeshinda Israel
Hakuna Mungu anayeipaisha taifa la mashoga.
Israel kila siku iendayo inaanguka sehem moja baada ya nyingine,jidanganye.
 
Soma un official figures zinasemaje. Unafahamu kiingereza? Tuendelee kunywa mtori. Nyama tutazikuta chini. Mimi nawafuata wanachosema Al Jazeera
Naona una tatizo la kutokuelewa unachokisoma.
Hiyo figure ni ya raia waliofariki na kujeruhiwa.
Mie nazungumzia askari mazeeh.
Natumai umeelewa.
 
Hamas wametaka Israel isimamishe vita moja kwa moja na iondoe majeshi yake yote Gaza iachie vivuko vya Rafah na Philadhelphi corridor.
Hamas wanachotaka ni uhuru.Wanapigania uhuru wa wapelestina na wajitawale wao wenyewe katika mipaka yao ndicho wanachopigania.Sasa ktk kutafuta uhuru lazima kuna wengine watamwaga damu uhuru hauji hivihivi .Dunia sasa ndo inaamka na kuona kweli kumbe wapelestina wanahitaji huhuru wao ktk nchi yao ambayo inatawaliwa na mkoloni amabae ni Myahudi
Hamna cha uhuru wala nini?! Wale ni magaidi washughulikiwe bila kupepesa macho
 
Akuna kutema Bungo wala nini- Israel ana cha kupoteza. Mpaka Sasa Madhara yaliyowakuta Palestina ni makubwa kuliko yaliowapata Waisrael kwenye hivi Vita. Hamas mapendekezo yao mengine Israel ayataki(mfano kuna wafungwa Wa Hamas wamefungwa Maisha -Hamas anataka wawe part ya Makubaliano yao na Israel. Gaza itachukuwa miaka mingi kujengwa tena na isitoshe karibia kila mtu wa Gaza amepoteza ndugu au jamaa.Hii vita kwa Hamas ni hasara tupu
Hahahaha😀 wewe kweli chipukizi hauna ujachojua zaidi ya kuongee fikra zako za killokole unasema Israel ana cha kupoteza?

Hahahaha😀 wewe kweli chipukizi hauna unchojua zaidi ya kuongee fikra zako za killokole unasema Israel ana cha kupoteza?
Benny Gantz, Gadi Eisenkot na Hili Tropper baada ya kujiuzulu wanajua walichosema? Benny Gantz alikuwa Waziri wa vita kasema wazi tumeshindwa, wewe Muisrael mweusi wa Ngudu unasema hawana cha kupoteza unajua idadi ya wanajeshi waliokufa Gaza? Unajua wanajeshi ambao wamebaki na vilema vya kudumu? Wapo zaidi ya 15,000.

Hawa Wapelestina wanaishi kwenye uwanja wa vita toka mwaka 1948 hamna famillia ambayo hawajuuliwa na Waisrael hawajaanza leo au jana kwa hiyo haya ni maisha yao wala hawana cha kupoteza.

Unasema Gaza itachukuwa muda kujengwa unadhani Gaza ni kama Kimara au Buza? Kuna mfuko wa kuijenga Gaza tayari unasimamiwa na Qatar na Saudia Arabia bado wanafiki wa Ulaya na Marekani watatoa pesa na wao.

Ufahamu kwa nini Hamas walikamata mateka unajua mateka 1 wa Israel anatoa wafungwa wangapi wa Palestina?
 
Akuna kutema Bungo wala nini- Israel ana cha kupoteza. Mpaka Sasa Madhara yaliyowakuta Palestina ni makubwa kuliko yaliowapata Waisrael kwenye hivi Vita. Hamas mapendekezo yao mengine Israel ayataki(mfano kuna wafungwa Wa Hamas wamefungwa Maisha -Hamas anataka wawe part ya Makubaliano yao na Israel. Gaza itachukuwa miaka mingi kujengwa tena na isitoshe karibia kila mtu wa Gaza amepoteza ndugu au jamaa.Hii vita kwa Hamas ni hasara tupu
Kimbembe hakipo kwa mazayuni pekee, Wamarekani na NATO nzima imeuona moto unaowawakia.

Hivi kwa akili yakomashoga wa kizayuni wana ubavu wa kusimama na wapalestina? Jionee:

View: https://youtu.be/5wRJ5ha0V9g?si=id8GxCocgmxvtSSI
 
Hamas ameisadia dunia kujua hamna jeshi dhaifu kama la Israel miaka ya nyuma tulidanganywa sana na stori zao kumbe weupe tu, leo Yemen na Hezbollah wanataka vita kwa nguvu na Israel bila Hamas tungejua wapi udhaifu wa jeshi la Israel wanapigana na watoto na majengo.
Siamini kama hilo ndo lilikuwa lengo lao. Kwamba walitaka ku expose uwezo wa jeshi la israel kwa gharama ya damu za ndugu zao?
 
Hamas wamefikia hapo baada ya Misri na Qatar kufikiria kuanza kuwafukuza viongozi wao nchini mwao.
Mimi nasubiri waishambulie tena Israeli kigaidi kama walivyofanya mwanzo.
Wawachokoze tena Mazayuni si wana kisasi nao.
 
Siamini kama hilo ndo lilikuwa lengo lao. Kwamba walitaka ku expose uwezo wa jeshi la israel kwa gharama ya damu za ndugu zao?
Wapi kasema uliyoyaandika, au huelewi unachokisoma?
 
Back
Top Bottom