bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
Si wangefanya hivyo zamani ili kuepusha madhara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walianza kujifariji humu akina Ritz na wenzie.... Netanyau hataki kucheka na nyani.Naona Netanyahu ameamua kuendelea kushughulika na magaidi bila huruma.
Kazi iendelee
Si wangefanya hivyo zamani ili kuepusha madhara
Gaza sio mara kwanza kuharibiwa vile.
Hata 2021 iliharibika kama hivi na haikuchukua hata miaka miwili ikajengeka.
Tatizo pesa mzee,hapo Qatar wameahidi kuijenga Gaza.
Vita vikiisha pesa toka Qatar zitamwagwa kuijenga upya Gaza.
Israel imepat maafa pia ya anguko la uchumi,walemavu wengi jeshini wa kudumu ambapo February walifika zaidi ya 12k sasa sasa hivi sijui watakua wamefikia wangapi, bandari zake baadhi kutokufanya kazi,mtikisiko wa ndani wa kisiasa,mtikisiko wa kimataifa wa kisiasa/kidiplomasia,raia kuwa na ukimbizi wa ndani mathalan Galilee hakukaliki.
Je hayo ni madogo!?
Soma un official figures zinasemaje. Unafahamu kiingereza? Tuendelee kunywa mtori. Nyama tutazikuta chini. Mimi nawafuata wanachosema Al Jazeera
Wanaukumbi.
🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO.
Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha mapigano kwa Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar.
Majibu ambayo yalikabidhiwa ni pamoja na marekebisho ya pendekezo la "israeli", ikiwa ni pamoja na kusitisha mapigano.
Marekebisho hayo yalijumuisha uondoaji kutoka Ukanda wote wa Gaza, ikijumuisha kivuko cha Rafah na kivuko cha Philadelphia.
======================
🚨JUST IN: HAMAS SENT THE RESPONSE REGARDING CEASEFIRE PROPOSAL TO THE MEDIATORS WITH AMENDMENTS.
Haniyeh and Nakhaleh handed over the response to the "israeli" ceasefire proposal to the Prime Minister and Foreign Minister of Qatar.
The response that was handed over included amendments to the "israeli" proposal, including a ceasefire.
The amendments included a withdrawal from the entire Gaza Strip, including the Rafah crossing and the Philadelphia crossing.
View: https://x.com/suppressednws/status/1800605042145120726?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hakuna Mungu anayeipaisha taifa la mashoga.
- Micah 7:8: "Rejoice not against me, O mine enemy: when I fall, I shall arise; when I sit in darkness, the LORD shall be a light unto me" ISRAEL WILL RISE AGAIN- akuna atakaeshinda Israel
Naona una tatizo la kutokuelewa unachokisoma.Soma un official figures zinasemaje. Unafahamu kiingereza? Tuendelee kunywa mtori. Nyama tutazikuta chini. Mimi nawafuata wanachosema Al Jazeera
Walifanya na dunia ikawapuuza tena iliwapuuza sana.Si wangefanya hivyo zamani ili kuepusha madhara
Hamna cha uhuru wala nini?! Wale ni magaidi washughulikiwe bila kupepesa machoHamas wametaka Israel isimamishe vita moja kwa moja na iondoe majeshi yake yote Gaza iachie vivuko vya Rafah na Philadhelphi corridor.
Hamas wanachotaka ni uhuru.Wanapigania uhuru wa wapelestina na wajitawale wao wenyewe katika mipaka yao ndicho wanachopigania.Sasa ktk kutafuta uhuru lazima kuna wengine watamwaga damu uhuru hauji hivihivi .Dunia sasa ndo inaamka na kuona kweli kumbe wapelestina wanahitaji huhuru wao ktk nchi yao ambayo inatawaliwa na mkoloni amabae ni Myahudi
mazayuni wameanaza kuikimbia Palestina. Jionee:Mwarabu atatolewa Israeli kama alivyotolewa Spain.
Hahahaha😀 wewe kweli chipukizi hauna ujachojua zaidi ya kuongee fikra zako za killokole unasema Israel ana cha kupoteza?Akuna kutema Bungo wala nini- Israel ana cha kupoteza. Mpaka Sasa Madhara yaliyowakuta Palestina ni makubwa kuliko yaliowapata Waisrael kwenye hivi Vita. Hamas mapendekezo yao mengine Israel ayataki(mfano kuna wafungwa Wa Hamas wamefungwa Maisha -Hamas anataka wawe part ya Makubaliano yao na Israel. Gaza itachukuwa miaka mingi kujengwa tena na isitoshe karibia kila mtu wa Gaza amepoteza ndugu au jamaa.Hii vita kwa Hamas ni hasara tupu
Kimbembe hakipo kwa mazayuni pekee, Wamarekani na NATO nzima imeuona moto unaowawakia.Akuna kutema Bungo wala nini- Israel ana cha kupoteza. Mpaka Sasa Madhara yaliyowakuta Palestina ni makubwa kuliko yaliowapata Waisrael kwenye hivi Vita. Hamas mapendekezo yao mengine Israel ayataki(mfano kuna wafungwa Wa Hamas wamefungwa Maisha -Hamas anataka wawe part ya Makubaliano yao na Israel. Gaza itachukuwa miaka mingi kujengwa tena na isitoshe karibia kila mtu wa Gaza amepoteza ndugu au jamaa.Hii vita kwa Hamas ni hasara tupu
Siamini kama hilo ndo lilikuwa lengo lao. Kwamba walitaka ku expose uwezo wa jeshi la israel kwa gharama ya damu za ndugu zao?Hamas ameisadia dunia kujua hamna jeshi dhaifu kama la Israel miaka ya nyuma tulidanganywa sana na stori zao kumbe weupe tu, leo Yemen na Hezbollah wanataka vita kwa nguvu na Israel bila Hamas tungejua wapi udhaifu wa jeshi la Israel wanapigana na watoto na majengo.
Ila ni kwamba wali vumiliła sana Mateso wakaona wajaribu Iła kilichowakuta ni bałaa tuHamas wameambulia nini zaidi ya vifo kwa maeflu na maelfu ya Waarabu wao.
Walijaribu Kuepuka manyanyaso kwa kuonyesha nguvu waliyonayoSiamini kama hilo ndo lilikuwa lengo lao. Kwamba walitaka ku expose uwezo wa jeshi la israel kwa gharama ya damu za ndugu zao?
"Walijaribu"..…W
Walijaribu Kuepuka manyanyaso kwa kuonyesha nguvu waliyonayo
Wapi kasema uliyoyaandika, au huelewi unachokisoma?Siamini kama hilo ndo lilikuwa lengo lao. Kwamba walitaka ku expose uwezo wa jeshi la israel kwa gharama ya damu za ndugu zao?