Mi niko Dubai mji ali Alain hapa mkuu wala sio mtoto. Ila nachosema Hamas wapuuz huwez kulianzisha halafu unajificha nyuma ya wake zao. Sasa watoto wanakufa na wanawake kwa upuuz wao. Umesahau vita wameanzisha wao kakaKipondo wanapiga raia watoto na wanawake umri wako mdogo hujui chochote kuhusu Mashariki ya Kati zaidi ushabiki mandazi.
Kwani hao miambili wakifa kwa ajili ya amani ya kudumu ya waisraeli kuna shida? Mbona wanawake wapo,wanaume wapo,watazaliwa zaidi ya hao mara elfu na wataishi kwa amani miaka elfu.Wanaukumbi
Mkuu wa Hamas anasema mkataba wa kubadilishana lazima uhusishe wafungwa wote wa Palestina katika magereza ya Israeli.
Inasema inawashikilia mateka zaidi ya 200 wa Israeli Gaza wakiwemo askari na raia
CHANZO; ALJAZERA
Wewe si unaongea fikra zako eti amani ya kudumu😂 amani ya kudumu kwa Hamas.Kwani hao miambili wakifa kwa ajili ya amani ya kudumu ya waisraeli kuna shida? Mbona wanawake wapo,wanaume wapo,watazaliwa zaidi ya hao mara elfu na wataishi kwa amani miaka elfu.
Kubadirisha ya mateka baada ya miaka miwili wanarudi tena ,hapana.
Wale mateka wawili Watanzania wana maslahi nao yapi?ukiona Hamas anawachia mateka basi fahamu labda wagonjwa na hawana maslahi nao. Hawajaanza leo kukwakama mateka wa Israel acha mateka wana mpaka maiti za Waisrael.
Nimetoka kutazama video panther za Israel zinavyokong'otwa Gaza na TelAviv inavyowakaKubadilishana wafungwa ndiyo karata pekee ambayo Hamas imebaki nayo. Ila likelihood ya hiyo karata kufanikiwa kipindi hiki ni ndogo sana.
viongoz wa hamas wanakula bata huko QatarHao wazayuni,wanapiga wapi...?
Kwanini makomandoo wao wasiende kusakomboa?
Vita hivi vinachanganya sana.
Sisi kuhusu wale majamaa wawili,watumwe MP wawili wa Lugalo,waende wakawakomboe watanzania wenzetu.
soma na upepo wa ss hv , urusi kavuruga utulivu wa dunia , ss hv mwenye nguv atakudunda mpk aridhike watu wanaogopa kuingilia sabab watakuza vitaFuatilia historia ndiyo utajua Hamas akamate Muisrael amuachie bila masharti?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] komando kipensi sioUnaleta mambo ya kwenye movie boss wangu maana kwenye movie wanatumwa makomandoo 3 tu
buffer zone sio sehemu ya makaz , wazayun watawadunda tu maana walishaambiwa hapo kuna kitu kinaenea kutokea ila ubishi wao , ngoja kiumane si wamechagua kifo dhidi ya uhaiKipondo wanapiga raia watoto na wanawake umri wako mdogo hujui chochote kuhusu Mashariki ya Kati zaidi ushabiki mandazi.
nan atawapa hizo huduma za kijamii wkt wana serikali yao , kwamba wao ni vilema mpk wapewe huduma na serikali ya wazayunHamas wasifanye kosa la kutaka kubadilisha mateka wa Israel kwa wafungwa wao.Hiyo ni faida ndogo sana kwa faida kubwa wanayoweza kupata kwa kuawashikilia mateka walionao mpaka mwisho
Masharti yao yawe mawili
Shartila mwanzo ni kuachiwa raia wote wanawake na watoto kwa kusitishwa vita na kurudishwa huduma zote za kijamii.
Shari la pili ili kuachiwa askari na mateka waliobaki ni kurudisha nyuma askari wote walioingia Gaza.
Masharti hayo yatasaidia kwa muda tu kwani Israel si watekelezaji wa ahadi
.Hamas katika kipindi cha mwaka mmoja waangalie mwenendo wa kuundwa kwa serikali ya Palestina yenye mamlaka kamili na bila kuweka shinikizo la kumpa madaraka Mahmoud Abbas.Kwa maana Hamas wawe ni sehemu ya serikali hiyo.
Kama masharti hayo hayatotekelezwa waweke wazi kuwa wataandaa shambulio jengine kama la Oktoba 7.
wawarudishe tu, ila wakitua tu tel aviv, kipigo kianze upya.Wanaukumbi
Mkuu wa Hamas anasema mkataba wa kubadilishana lazima uhusishe wafungwa wote wa Palestina katika magereza ya Israeli.
Inasema inawashikilia mateka zaidi ya 200 wa Israeli Gaza wakiwemo askari na raia
CHANZO; ALJAZERA
mp wetu wanapigana na raia kaweHao wazayuni,wanapiga wapi...?
Kwanini makomandoo wao wasiende kusakomboa?
Vita hivi vinachanganya sana.
Sisi kuhusu wale majamaa wawili,watumwe MP wawili wa Lugalo,waende wakawakomboe watanzania wenzetu.
Ujinga ni mzigo pole sanaHamas ni magaidi pasee
Pole sanaMark ma word. Hawa jamaa watawaachia soon bila mashart.
Ujinga ni mzigo pole sanaSubir historia. Hicho kipondo kinachoendelea wataongea tu.